Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

BAK kwa heshima na taadhima nakuomba ile single yao nisiitoe tutaua watu hapa....... ingawaje jumatatu walikuwa pamoja na wewe nashangaa unawakana.😉😉😉

Mtani kalale mwaya....
 
Last edited by a moderator:
tumefanya makosa makubwa sana.....goli la pili ni uzembe wa terrt katika kumark mtu..na kuna mda alitaka kusababisha tufungwe bahati kipa aliruka akautoa...kwa upande wa kipa naungana nawe moja kwa moja...hakui hata kuwapanga wachezaji wenzake.. anaacha gol sana, na pia mipira anayotakiwa kuruka na kudaka anaacha kwanza wapige vichwa wachezaji...matokeo yake ndio hayo....costa ni liability katika mechi kama hizi...

malalamiko yote humu

complaints congrats advice
 
calm down arifu....sijui unaandika vitu gani!!!

Kwani leo united ndiyo alikuwa akicheza ama rentboys vs. Arab monies?

Chukua tu na kujikaza kiutu uzima...

b_2zydiugaauh5_.jpg

b_2x5weusaawjyk.jpg

b_2xnywweaa8vvq.jpg
wote tunashabikia uingereza,ila nye mnafurahi wenzenu watole,tusubiri premier league uzuri wenu tuone kama mtamaliza top 4
 
Mechi hizi ndiyo chanzo cha Costa kusajiliwa lkn huwa anapotea kabisa

Hapo ingekuwa anacheza na Villa angetupia mbili

Hebu tazama huu ukuta. Maxwell, Silva, luiz, marquinhos wote wabrazil, tazama akili inavyotumika hapo kuliko nguvu. Baada ya hapo unakutana na muitaliano marco verrat watu wa tuff. Hapo atapata wapi nafac ya kufunga
 
Yaani pale alipotolewa Ibra tu ndo mlitakiwa mkomae mpaka mpate goli fasta kabla hawajasettle kisaikolojia.

na baada ya kutoka ibra ndio tukacheza kipumbavu zaidi mara mbili......leo tumestahili kutolewa..tumecheza ovyo sana yaani nimekasirika sana. ..kunamda fab alikuwa na nafasi nzuri ya kufunga akimsubiri costa ammegee pande...jamaa si likabutua kwa guu la kushoto na mpira kuroka nje....
 
na baada ya kutoka ibra ndio tukacheza kipumbavu zaidi mara mbili......leo tumestahili kutolewa..tumecheza ovyo sana yaani nimekasirika sana. ..kunamda fab alikuwa na nafasi nzuri ya kufunga akimsubiri costa ammegee pande...jamaa si likabutua kwa guu la kushoto na mpira kuroka nje....

malalamiko yote humu

complaints congrats advice
 
Hebu tazama huu ukuta. Maxwell, Silva, luiz, marquinhos wote wabrazil, tazama akili inavyotumika hapo kuliko nguvu. Baada ya hapo unakutana na muitaliano marco verrat watu wa tuff. Hapo atapata wapi nafac ya kufunga

Kinacho waangusha Chelsea nowdays ni foward yao imekua butu sana!Beki yao ndiyo sasa inafunga

Leo wamecheza chini ya kiwango na hii hutokea ktk soka
 
Hebu tazama huu ukuta. Maxwell, Silva, luiz, marquinhos wote wabrazil, tazama akili inavyotumika hapo kuliko nguvu. Baada ya hapo unakutana na muitaliano marco verrat watu wa tuff. Hapo atapata wapi nafac ya kufunga

Hao wote last season walikuwepo except Luiz,Leo mmechemsha wenyewe
 
tumecheza mpira wa kipumbavu tangu kipindi cha kwanza...tumestahili kutoka
Kuna mtu za Chelsea zilifurahi mlipotolewa FA na ile timu yangu ya Shamba, Bradford na zilisema zitapata muda ya kujiandaa vizuri kwa CL.
Mmekuwa mnamsifia Mou kuwa ni kocha wa makocha, sasa leo imetokea bahati mbaya tu.

Mimi nimefurahi sana leo kwa Chelsea kupewa ile dawa ambayo kwa kawaida huwa inapenda kuwapa timu pinzani.

Pelekeni basi gereji, likitoka huko msili-pack ovyo ovyo...waenda kwa miguu, taxi, malori na mabasi mingine pia yanataka kutumia barabara.
 
Mi naona sawa tu mwaka jana si ilikuwa 3-3 chelsea akanufaika this time psg nao wamenufaika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom