Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,186
- 3,421
Kwan chelsea ndo imetoka?
Ndo vile
Kwan chelsea ndo imetoka?
Mechi hizi ndiyo chanzo cha Costa kusajiliwa lkn huwa anapotea kabisa
Hapo ingekuwa anacheza na Villa angetupia mbili
Hapana mkuu
Diego Costa inabidi sasa awe benched maana hizi ndiyo mechi anazo stahili abebe team lkn yy huwa anapotea
Hajafunga mechi ya ngapi sasa?
Ndiyo maana namwona Maureen ni kocha mjanja mjanja tu...anabahatisha sana games....
kwahiyo karamu yenu ni chelsea kutolewa,tunaongoza premier league,hahahaha,ya leo ni bonus,kwani nye mpo huko???kama hampo huko mtakuwa majitekenya na kuchekaWapenzi na washabiki wote wa Chelsea pokeeni hongera kwa timu yenu kucheza ovyo kabisa. Mmeununua msiba huu kwa kucheza kwa kujihami.
Huku uswahilini wanasema kusudi haipewi, Pole. Lakini sitafanya roho mbaya kwa Ntuzu, Viol, Mentor, Kalou "poleni"
Sasa tuachieni jukwaa tufanye karamu yetu.
Haya wale, watani wa Chelsea njooni kwenye karamu
Nzi, kuja msalimia Viol... Wacha 1 kuja huku msalimia Kalou, Mbu leta malaria huku.
BAK weye! kalale, lakini tupia picha ya bao la Silva.
The party begins!
hapana mkuu aliyekuwa anaachia magoli ni yule wa real madrid leo chelsea walikuwa dhaifu sana, pia mwarabu aliwaahidi psg euro 250000 kila mchezaji kama watafanikiwa kuitoa chelsea, ilibidi mrusi akopi swagahakuna cha we will be back....tumecheza ovyo wala hakuna msamaha.....diego costa na kipa wameuza timu...kipa anaacha goli sana..kosta nae ni mkorofi mwanzo mwisho...ni upumbavu tu tangu mwanzo mpaka mwisho
BAK kwa heshima na taadhima nakuomba ile single yao nisiitoe tutaua watu hapa....... ingawaje jumatatu walikuwa pamoja na wewe nashangaa unawakana.😉😉😉
Unaikumbuka hii?Jamaa wakipata goli la pili ndo tumetolewa.
kwahiyo karamu yenu ni chelsea kutolewa,tunaongoza premier league,hahahaha,ya leo ni bonus,kwani nye mpo huko???kama hampo huko mtakuwa majitekenya na kucheka
kwa mimi maono yangu wala hajakose kwasababu huyo zouma aliyeingia hajacheza vibaya.
![]()
Ole ole ole wao .... ..... .... ..