Safi sana
Kaka leo tulizidiwa hapo kati, Faby alikuwa kafa kabisa, Hii mechi Mou lazima akubali lawama, tumeipoteza kijinga sanaKz sn mkuu....
Huyu Diego Costa kwani imekuwaje?
Bora tumetoka, angalau Mwenye timu atatafuta kocha mpya maana huyu mjinga mjinga na formation yakr na defece mechanism yake. Na mjinga njinga kipa na mabeki watimuliwe tu
Bora tumetoka, angalau Mwenye timu atatafuta kocha mpya maana huyu mjinga mjinga na formation yakr na defece mechanism yake. Na mjinga njinga kipa na mabeki watimuliwe tu
Dk ya 112 mbili nasali na kunena kwa lugha
usijali goli kupita kwenye nyavu ya chelsea ni sawa na ngamia kupenya tundu la sindano
Dah sina lakusema
Wapinzani wetu wa uingerza tukutane tena