Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Uingereza mwaka huu hakuna timu itakayonusa robo fainal.
Next week Monaco na Barca nao wanafanya yao.

Ha ha ha, kwa kuwa wewe haupo hata kombe la mbuzi(uefa uropa)?. Arsenal itaua mtu.
 
hapana mkuu aliyekuwa anaachia magoli ni yule wa real madrid leo chelsea walikuwa dhaifu sana, pia mwarabu aliwaahidi psg euro 250000 kila mchezaji kama watafanikiwa kuitoa chelsea, ilibidi mrusi akopi swaga

ndio maana nikasema tangu mwanzo hadi mwisho ni upuuzi tu....na leo tumestahili kipigo na kutoka juu...
 
Mourinho alikebehi achievement ya Benitez kutwaa kombe la UEFA.
 
Nzi;

arifu chukua hiyo man u premier league mna schedule ngumu hamtakwepo nafanya nne umegundua hilo?
 
Last edited by a moderator:
B_2aAR5VAAAJt5P.jpg
 
kuna shabiki wa chelsea alisema kuwa henry kasema cfc wanatwaa ndoo ya ucl kwahiyo akawa amekaa anasubiri kombe
 
Cheating always pays off. By off I mean ZERO. Sitoshangaa Mourinho kufukuzwa kazi msimu huu au ujao. Manchester United mtamchukuwa.
Cc Nzi, DonDonald, Belo

Hata mie nikipewa karatasi ya kupiga kura nitaandika mara mia tisa aondoke huyu jamaa maana mbinu zake ni za kipuuzi sana. Uzuri boss alikuwepo kaona kilichotokea. Kaumia so mwisho wa msimu tutajua kitachotokea. Mou maneno mengi hakuna vitendo kabisa
 
Morinho ana dharau sana, PSG alimpiga mtu 4 akasema mazoezi ya Chelsea magumu kuliko league 1 ya Ufaransa.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Jamaa anaishia ongea kwa media wakati wenzao wanafanya zoezi. Huu ni ujinga ambao hatutakiwi kuukubali kamwe huyu jamaa anatuharibia timu na Costa lake
 
arifu chukua hiyo man u premier league mna schedule ngumu hamtakwepo nafanya nne umegundua hilo?

Calm down arifu....sijui unaandika vitu gani!!!

Kwani leo United ndiyo alikuwa akicheza ama Rentboys vs. Arab monies?

Chukua tu na kujikaza kiutu uzima...

B_2ZydIUgAAUh5_.jpg
 
Kipa huyu nimelalamikia toka zamani. Mechi nyingi katuua yeye hadaki au anaona mpira haruki.
Washambuliaji wamekua mizigo hata treni haibebi. Mtu kufunga hadi beki ndo afunge.
Chelsea wana relax sana angalia mechi hizi
Mancity, United, psg in out zote wametufunga karibia na mwisho yaani kila tukifunga twajisahau na kufungwa. Wachezaji mipira wanacheza ovyoooooo.
Kocha nae anachangia maana yeye ndo anapenda defencive games.
Nadhani saa ingine aondoke tu

tumefanya makosa makubwa sana.....goli la pili ni uzembe wa terrt katika kumark mtu..na kuna mda alitaka kusababisha tufungwe bahati kipa aliruka akautoa...kwa upande wa kipa naungana nawe moja kwa moja...hakui hata kuwapanga wachezaji wenzake.. anaacha gol sana, na pia mipira anayotakiwa kuruka na kudaka anaacha kwanza wapige vichwa wachezaji...matokeo yake ndio hayo....costa ni liability katika mechi kama hizi...
 
Kitendo cha David Luiz kuwafunga Chelsea ni kizuri sana...it was a bullet of a head!
Mourinho ajifunze...kama alivyojifunza juzi LvG kwa Danny Welbeck!
 
Kipa huyu nimelalamikia toka zamani. Mechi nyingi katuua yeye hadaki au anaona mpira haruki.
Washambuliaji wamekua mizigo hata treni haibebi. Mtu kufunga hadi beki ndo afunge.
Chelsea wana relax sana angalia mechi hizi
Mancity, United, psg in out zote wametufunga karibia na mwisho yaani kila tukifunga twajisahau na kufungwa. Wachezaji mipira wanacheza ovyoooooo.
Kocha nae anachangia maana yeye ndo anapenda defencive games.
Nadhani saa ingine aondoke tu

Mhhhhh! Me leo sijaona defensive game toka kwetu sema tu psg walitubana sana golini kwao pia kosta mburula, bora angeingia remy badala ya drog(mzito,mzee), tungepata winga wa kulia creative kama hazard au ramires at his best ingesaidia, willian ni butu katika offence, fab si yule wa mwanzoni kachoka, goli la silva kipa kazingua kidogo pia
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
hakuna cha we will be back....tumecheza ovyo wala hakuna msamaha.....diego costa na kipa wameuza timu...kipa anaacha goli sana..kosta nae ni mkorofi mwanzo mwisho...ni upumbavu tu tangu mwanzo mpaka mwisho

Cjaona kabisa kosa la kipa sema kichwa alichopga silva alikuwa kamuangalia kipa amekaaje!
 
Kipa huyu nimelalamikia toka zamani. Mechi nyingi katuua yeye hadaki au anaona mpira haruki.
Washambuliaji wamekua mizigo hata treni haibebi. Mtu kufunga hadi beki ndo afunge.
Chelsea wana relax sana angalia mechi hizi
Mancity, United, psg in out zote wametufunga karibia na mwisho yaani kila tukifunga twajisahau na kufungwa. Wachezaji mipira wanacheza ovyoooooo.
Kocha nae anachangia maana yeye ndo anapenda defencive games.
Nadhani saa ingine aondoke tu
Unajua maana ya Special One?
Siku zote mnamsifia hapa,hakuna kocha kama Mourinho ( Domo-kaya) leo amewaonesha umakini wa kupanga ngome nyuma isiyopitika bado mnalalamika.
Juzi mlibeba kikombe cha mbuzi, mmeshasahau furaha hiyooo!!???

Mnataka ndooo, nilimiambieni mje huku Seregea timpatieni ndoo moja, mbili, tatu, nne kama mnataka quadruple.

Ndoto mbili zimezimwa na zimekuwa njozi, mmeambulia cha mbuzi....sasa kazeni buti msipokwe tonge mdomoni na Man City, Man, United, Arsenal au Liverpool.

Lakini huu msiba wa leo, mmeununua wenyewe.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi

Similar Discussions

Back
Top Bottom