Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kifo cha wengi harusi, lakini wenzetu wana nafuu ukilinganisha na sisi, hivyo wacha tuchapwe hata goli nne zaidi katika dakika 45 za kipindi cha pili, maybe this will speed up the process to get rid of Wenger. Kwanini Wellbeck hakuanza leo?

ngoja leo vipigo vitembee vituzindue usingizini. kupigwa ni muhimu kwa manufaa ya baadaye.
 
Mkuu Manumbu King Kenny amemaliza kila kitu mkuu yani Huo ndio ukweli uliopo!


Hawa rafiki zetu kina Malafyale walishakimbia Siku nyingi sn ktk huu Uzi wetu!

Ata RRONDO nilimwambia atajificha tu na hatokuja Na mpk sasa haonekani ktk huu Uzi wetu!

Wanasubiri tupate Draw au tufungwe ndio waje wajae humu na kutupigia kelele!

Waje watupe ata pongezi jamani kwa timu yetu inavyofanya vzr! Yani wao Wanasubiri mpk misiba tu waje watoe pole?!!
Ntuzu nimesikia umeniita....ulikuwa unasemaje???
 
Last edited by a moderator:
Man U hii ya LVG na RRONDO irudi kileleni?This is more than a jok jamani!

Man U hata kwa Sotton Jumatatu hatoki salama

mkuu nimesikia umeniita....mimi naamini timu yangu ni mbovu....lakini nikiangalia hao wanaotukashifu humu nimewaacha mbali sana sasa sijui wanaangalia kigezo gani......mimi hata nifungwe jumatatu wewe bado nimekuacha mbali saana na bado unaamini una timu nzuri kuliko mimi....this is a serious joke than man utd to get up top!!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
article-2862849-23C9149700000578-822_308x385.jpg


Out foxed
Khe khe khe khe khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee
khe he khe hj ekhe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Huyo Cisse atanunuliwa na Chelsea muda si mrefu.
Mourinho na falsafa zake,'if you cant beat them,buy them'.
Mourinho fanya yako hapo kwa Cisse sasa.

'Nlikuwepo':bolt:
 
Mentor,
Ule utaratibu wa picha haupo siku hizi?
 
Last edited by a moderator:
article-2862849-23C9149700000578-822_308x385.jpg


Out foxed
Khe khe khe khe khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee
khe he khe hj ekhe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee



Khe Khe Khe Khe Wacha1 umepotea njia nini?

Pole mwenzangu umekufa kiume!
 
Last edited by a moderator:
Khe Khe Khe Khe Wacha1 umepotea njia nini?

Pole mwenzangu umekufa kiume!

Kombe hamjakabidhiwa tu? Kombe lenu la November! Usimwambie Invisible tu wamenipa temporary entry huku khe khe ke khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee shhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh usipige kelele.
 
Kombe hamjakabidhiwa tu? Kombe lenu la November! Usimwambie Invisible tu wamenipa temporary entry huku khe khe ke khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee shhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh usipige kelele.


Ila mwenzangu umezidi nafuu ya kwangu mimi Khe Khe Khe Khe Khe Khe Khe!
 
Hodi Hodi humu!!!

Naomba mwenye kujua thread/jukwaa la Newcastle anioneshe njia. Nalitafuta jukwaa la Newcastle tokea niliposikia tangazo la ajali ya basi la Mourinho. Je ni kweli basi la Mourinho limepinduka?
 
Mourinho classic: "Everybody was waiting for
Chelsea not to win every game & one day, when
we lose, there will be a holiday in the country"
 
‘We were unlucky,’ said Mourinho. ‘The best
team lost, the team that tried to win lost, but
that’s football.
‘What’s important is that it’s the kind of defeat
which is easy to accept. I don’t like to lose
when the referee isn’t good and I blame him,
which isn’t the case. He was very good and
had no influence on the result. I don’t like to
lose and blame my players because they were
complacent, didn’t play, didn’t produce or the
attitude wasn’t good, that’s not the case, so
I’m happy about that.
‘We were unlucky, we didn’t score goals when
we could have and we conceded the only times
they crossed the midfield line, but that’s
football and I accept it. We were unlucky, that’s
crystal clear, one day we will be lucky.’
 
Interesting how people have invaded our forum. Kumbe watu walikuwa wanaombea na kusubiria kwa hamu tupoteze mechi. Lkn binafsi naona bora tumefungwa na timu ndogo. Kama tungefungwa na man City, arsenal, man u au Liverpool kelele zingekuwa lukuki.
Uzuri pia ni kwamba hata maurinho hakuwa anaamini kuwa tutacheza season nzima bila ya kushindwa. So hili c jambo la ajabu.
 
Pole mkuu Ntuzu. Naona ulimwengu mzima umekuzukia wewe
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom