Hiyo unbeaten ilikuwa extra tu,nia ya league ni kombe,hata kama time zingua leo bado wote mpo nyuma yetu,mtukute ndo mwongee
Kwani Mikel ni mchezaji wa Newcastle? Tuliposema Chelsea ina top performers wasiozidi wa5 Matic being among them, mlisema kila nafasi iko covered na viwango vya dunia, next game Fabregas naye bench, mpaka ifike January mtaongea sababu zoote
Afadhali leo tumefungwa ili tuache kucheza kwa TENSION. Kila siku huwa tunacheza under great pressure tukijaribu kutunza rekodi ya kutofungwa tangu msimu huu uanze. Ushindi huu wa Newcastle ni muhimu saea kwetu na utatusaidia kuamka na kucheza mpira kwa uhuru zaidi.
On a football side, Matic mchezaji muhimu sana kwetu. Hizi goli esp la pili lazima ule mpira usingepita angekuwepo.
Sisi leo tunampiga stoke, tunafikisha 26, bado points 10 tu tumfikie chelsea, na ndio basi tena huyu anashuka mdogo mdogo.....
Ndiyo raha ya EPL, wachache sana leo hii waliwapa nafasi ya New Castle kushinda mechi hii, hasa ukitilia maanani performance ya Chelsea msimu huu, lakini ndiyo hivyo tena vigogo wamepigwa mueleka ila wameshambulia jamani Duh!!!! Na New Castle wakasimama kiume kulinda lao pamoja na dakika sita za nyongeza. Mechi ilikuwa bomba sana.

Hatuchongi sn bhana..! Vitendo uwanjani ndo vilikua vinaongea!
Ndiyo raha ya EPL, wachache sana leo hii waliwapa nafasi ya New Castle kushinda mechi hii, hasa ukitilia maanani performance ya Chelsea msimu huu, lakini ndiyo hivyo tena vigogo wamepigwa mueleka ila wameshambulia jamani Duh!!!! Na New Castle wakasimama kiume kulinda lao pamoja na dakika sita za nyongeza. Mechi ilikuwa bomba sana.
Hahahaha!! Hii ni EPL bwana kila team ni mshindani ,kwanza mm na BAK ni timu mbili tofauti kila mtu anataka yake ndo ishinde.
Ndiyo raha ya EPL, wachache sana leo hii waliwapa nafasi ya New Castle kushinda mechi hii, hasa ukitilia maanani performance ya Chelsea msimu huu, lakini ndiyo hivyo tena vigogo wamepigwa mueleka ila wameshambulia jamani Duh!!!! Na New Castle wakasimama kiume kulinda lao pamoja na dakika sita za nyongeza. Mechi ilikuwa bomba sana.
ndio hivyo mkuu BAK, leo majanga yamezigeukia timu kubwa. ni advantage kwa man city kuzidi kusogea juu ikiwa watawafunga everton. kama nao wakiangukia pua, basi itakuwa kifo cha wengi--HARUSI. nasikitika timu nilizokuwa naziamini zimenichania mikeka chungu nzima!