Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Baada ya maumivu ya kufungwa kutulia watu wa mpira tuichambue timu yetu. Kwa nini tulifungwa jana?
 
Kwa mawazo yangu chanzo cha sisi kufungwa jana ni kushindwa kwetu kutumia nafasi tulizozipata 1st half
 
Leo uje RRONDO ktk Nyumba ya mabingwa!
Manumbu wenngine huwa tunaitwa humu hatuvamii....khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe 23 and out! who is unbeaten now??
 
Last edited by a moderator:
Mentor,
Ule utaratibu wa picha haupo siku hizi?

ngoja nimsaidie...

original

original

original
 
game ilikuwa nzuri sana...dk 30 za kwanza chelsea were all over newcastle.....

original

original

original

original
 
Tulipoteza nafasi kadhaa especially Willian ambaye nadhani jana hakuwa na game zuri kabisa. Amekuwa na tatizo kwenye finishing zake na sio mwepesi sana wa kutoa pasi za mwisho. Pia goli la kwanza alimfukuza mtu na akaishia kutomfanya chochote hata faul hakumfanyia kitu kilichopelekea jamaa kumvuta Ivanovic mbele na kumwacha winga ambaye alipewa mpira na akapiga cross iliyoleta goli la kwanza
 
Nna tatizo na Costa pia. Aidha timu pinzani zimeshajua jinsi ya kuzuia supply chain ya kumfikishia mipira au nae Zime instinctive predatory sensors zimepungua. Naamini ktk ile ya kwanza. Hapati supply ya mipira anayoitaka. Jana Hazard alimnyima mipira miwili ambayo yalikuwa magoli kipindi cha kwanza
 
Cahill nae jana game haikumkubali sana. Sijui bado ana hofu na kichwa chake.
 
Japo maurinho anaikataa lkn nadhani vidalili vya complacency vipo. Tulionekana kwa namna fulani wenye uhakika wa matokeo ya mwisho kuwa mazuri kwetu tangu mwanzo wa game. Kitu ambacho kwenye game yoyote ile ni hatari. Hakikisha kwanza umepata goli kadhaa Ndipo ujiaminishe ushindi
 
Mkuu Manumbu kutokana na mchezo Wa Jana tulivyokua tumeushika Yani sijui nianzie wapi kuelezea! Lkn nasisitiza mkuu kitu kimoja kwamba bahati haikua yetu! Haiwezekani kabisa unapata mashuti 25 na on target km 10 hivi Alafu unapata goli Moja! Unapata kona 8 unashindwa kufunga! Unamiliki mpira kwa asilimia 60 muda wote unashindwa kufunga!

Bahati haikua yetu mkuu! Alafu timu pinzani zinajiandaa sn kumkaba Costa Lkn Hilo sio tatizo kwasababu wakimzuia sn Costa Drogba au Remy lazima aingie na 4-4-2 inaanza kufanya kz!
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na ww Ntuzu ila binafsi kuilalamikia bahati pekee huwa napata shida. Lazima tuwe na uwezo wa kulazimisha matokeo kama tukivyokuwa wakati wa maurinho 1. Vinginevyo hivi vitimu vitakuwa vinakaba wee vikipata counter attach moja vimetumaliza na vinarudi kukaba tena.
 
Last edited by a moderator:
Alafu Manumbu kuna kitu unaweza ukaanza kukiona!

Unajua fitina ktk ligi ya EPL hua ni kubwa sn hasa kwa baadhi ya timu na mambo km haya hufanywa Na waamuzi Wa FA.

Angalia namna kadi zinavyotolewa Yani wanaua sehemu muhimu ili Wachezaji wakose michezo Fulani na kukiparaganya kikosi ambacho kimetulia!

Walianza na Costa, wamekuja Matic na sasa ni Fabregas! Wanaangalia keyPlayer mkuu!! Na ipo Siku kuna redcard itatoka au penalty!
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na ww Ntuzu ila binafsi kuilalamikia bahati pekee huwa napata shida. Lazima tuwe na uwezo wa kulazimisha matokeo kama tukivyokuwa wakati wa maurinho 1. Vinginevyo hivi vitimu vitakuwa vinakaba wee vikipata counter attach moja vimetumaliza na vinarudi kukaba tena.

Ni kweli mkuu Lkn mi naamini tumejifunza mengi na hasa kocha atakua amejifunza vitu vingi kutokana na Huo mchezo!

Timu bado iko vzr sn mkuu ata sub kocha anazofanya ni nzuri sn mkuu! Kuna vitu inabidi kuvifanyia kz sn hasa Swala la kufunga ktk nafasi tupatazo! Mashuti kumi on target unapata goli Moja? Aisee haiwezekani lazima lifanyiwe kz sn hili swala!
 
Last edited by a moderator:
2) Lack of Nemanja Matic
Without Matic, Chelsea were vulnerable in
defence, but also too slow in transition. Jon Obi
Mikel is too cautious in possession, and sits
much deeper than Matic when holding, meaning
that when Chelsea did win the ball back, they
were in their own half and Newcastle were able to
press forward and relive the pressure.
Solution:
Matic will return from suspension next week, and
won't have to worry about winning his spot back
from Mikel. In the future, when Matic is out,
Chelsea should consider playing a 4-3-3 with
Ramires, Mikel and Fabregas as a trio.
3) Poor performance from Cesc Fabregas
Fabregas got an assist from a set piece, but
apart from that put in his worst performance of
the season. This can partly be blamed on Mikel,
who didn't do enough to create space for his
midfield partner, but Fabregas looked tired.
Solution:
Fabregas needs to be rested, and Mourinho must
start rotating his side if he wants to get the best
out of them. The problem is that there are no real
alternatives for Fabregas in the squad. Oscar
might be able to do a job a bit deeper, but
Chelsea may have to look to the transfer market
or to the youth team for an alternative.
4) Defensive errors
Gary Cahill and John Terry have been imperious
all season, but against teams which sit deep and
draw Chelsea out, the pair look vulnerable. Gary
Cahill let the ball through his legs for the first
goal, and Terry won't be happy with the overall
performance.
Solution:
It's too early to call for Kurt Zouma to replace
either of the centre-backs, who have been superb
for three seasons now, but there is clearly some
coaching needed for when the team is setting up
against sides that sit deep and try to hit the
Blues on the break - which is most sides by this
point.
5) Tiredness
Jose Mourinho said this week that he wasn't
rotating because he "knew" when the players
needed a rest. He was wrong. The side's
performances are declining as the season goes on
and the players get more tired.
Solution:
Mourinho urgently needs to start using his squad
more. Players like Andre Schurrle may be out of
form, but they won't even play their way back
into it unless they are given the chance. Mourinho
must either use his squad players or sell them for
ones he considers worthy of starting for his
 
Chelsea slumped to a shock 2-1 loss at St
James' Park yesterday, but what were the
causes, and what can José Mourinho do about
them?
1) Lack of width
Chelsea were unable to create many chances
going forward because they seriously lacked width
to stretch the Newcastle defence. In fact the
Blues created more in the last ten minutes when
they started hoofing the ball up to Didier Drogba
and John Terry late on. More width is needed in
the side to create space for Eden Hazard and
Diego Costa up front.
Solution:
Azpilicueta doesn't create width on the left
because he's playing on his wrong foot, and
Ivanovic get's forward down the right but is a
poor crosser. Playing Filipe Luis at left-back
against teams like Sunderland which are going to
sit deep would create a lot more width for the
side.
Willian also cuts inside every time he gets. The
ball. A genuine wide-man like Juan Cuadrado
would be an excellent addition to the side.
 
Very wel put @skillione. Somewhere I have made similar comments.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom