Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

mikel anatunyima ushindi wapi matic leo?

Kwani Mikel ni mchezaji wa Newcastle? Tuliposema Chelsea ina top performers wasiozidi wa5 Matic being among them, mlisema kila nafasi iko covered na viwango vya dunia, next game Fabregas naye bench, mpaka ifike January mtaongea sababu zoote
 
Naona mmefufuka.....! Basi mtupe pole sio mnaoholojeka tu hovyo!

wiki mbili, tatu zilizopita tulikuwa tumeshawapa ubingwa. Mmeshapoteza advantage ya 6 to 9 points. Ligi sasa ndiyo inaanza kuwa tamu. Nasubiri Maureen atakavyochonga baada ya mechi, sababu kabla ya mechi alikuwa analia kuwa Newcastle huwa wanaikamia Chelsea tu wakicheza na timu nyingine wanakuwa kama wanacheza mechi za kirafiki. Poleni sana.
 
On a football side, Matic mchezaji muhimu sana kwetu. Hizi goli esp la pili lazima ule mpira usingepita angekuwepo.
 
Kama walivyosema wengine bahati haikuwa yetu leo. Na bora tumefungwa tena na timu ya chini. It's a wake up call. Na hii itaondoa pressure kwa timu na tunaanza kucheza bila pressure ya statistics
 
Man U hii ya LVG na RRONDO irudi kileleni?This is more than a jok jamani!

Man U hata kwa Sotton Jumatatu hatoki salama
Najua umeongea ki ushabiki tu, lakini ukweli unaujua. Soton kesho kutwa anapakuliwa than linabakia pengo dogo baina yenu.
 
Last edited by a moderator:
Chelsea amepigwa leo angalau wataacha kujiskia. Oscar na huyu mjinga Costa alikuwa kama hayupo uwanjani.
Mo nae kachelewa fanya sub,
Bora Drogba awe main striker
 
Kama walivyosema wengine bahati haikuwa yetu leo. Na bora tumefungwa tena na timu ya chini. It's a wake up call. Na hii itaondoa pressure kwa timu na tunaanza kucheza bila pressure ya statistics
Kuna mdau alishawahi andika humu "KILA SIKU ZINAVYO KWENDA NA CHELSEA INAZIDI KUPUNGUA MAKALI YAKE". Hapo kabla nilidhani jamaa anasukumwa na ushabiki, lakini sasa naanza kumuelewa.
 
Ni kweli,Newcastle hawakuwashinda dimbani ila wao walipata nafasi 3 wakatumia 2 vyema tofauti na nyie mlio poteza nafasi kibao!

Naanza kuona tatizo la kumalizia sasa linarudi tena

Hakuna Hilo tatizo la ufungaji mkuu!
 
wiki mbili, tatu zilizopita tulikuwa tumeshawapa ubingwa. Mmeshapoteza advantage ya 6 to 9 points. Ligi sasa ndiyo inaanza kuwa tamu. Nasubiri Maureen atakavyochonga baada ya mechi, sababu kabla ya mechi alikuwa analia kuwa Newcastle huwa wanaikamia Chelsea tu wakicheza na timu nyingine wanakuwa kama wanacheza mechi za kirafiki. Poleni sana.

Anasema ukweli sio uongo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom