Ntuzu ndiyo soka kaka!
Invisible ataendelea kuwa mmoja tu EPL!Piga moyo konde tuendelee mbele!!
Jumamosi ijayo utamfunga Hull City kwako lkn Jumatatu ya Dec 22 nyumbani kwa Stoke City kwa kiwango hiki cha mechi hii na ile ya Sunderland na QPR sidhani kama mtapata matokeo mazuri
mikel anatunyima ushindi wapi matic leo?
Simunasemaga "HAKWATI MTU HAPA" sasa leo tuone. Usipo punguzwa 3 hata mbili utapunguzwa. Naiona UNITED ilee inarudi kwenye kiti chake.
Shangaa mimi from unbeaten to beaten,kwakweli ajidhaniaye amesimama aangalie asianguke....duh sasa hapa ngoma inogile balaa kila timu itacheza kwa juhudi na akili.
Invincible my ass, Only one the invincible Arsenal
bado tupo kileleni mjue,naona leo mmepata cha kuongea,ila bado tupo pale juu
Kiwango ni kizuri mkuu na tumeishika game vzr sn sema bahati haikua yetu!
Kiwango ni kizuri mkuu na tumeishika game vzr sn sema bahati haikua yetu!
Naona mmefufuka.....! Basi mtupe pole sio mnaoholojeka tu hovyo!
Man U hii ya LVG na RRONDO irudi kileleni?This is more than a jok jamani!
Man U hata kwa Sotton Jumatatu hatoki salama
Yap, but from unbeaten to beaten,mnachonga sana ndo maana watu wanafurahia kipigo chenu.....
Yap, but from unbeaten to beaten,mnachonga sana ndo maana watu wanafurahia kipigo chenu.....
so, we are not INVISIBLE, now lets focus on collecting as many 3 points as possible.
Sisi leo tunampiga stoke, tunafikisha 26, bado points 10 tu tumfikie chelsea, na ndio basi tena huyu anashuka mdogo mdogo.....
Hiyo unbeaten ilikuwa extra tu,nia ya league ni kombe,hata kama time zingua leo bado wote mpo nyuma yetu,mtukute ndo mwongee