Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 8,988
- 11,862
Kufikia mwezi wa 4 2025, vituo 10 vya CNG vilianza kujengwa katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro.
Kampuni ya PUMA Energy Tanzania Limited ilianza kujenga vituo Tegeta, Ubungo External, Mbezi Beach, na Morogoro.
Energo Tanzania Limited ilianza kujenga kituo Mikocheni.
Victoria Service Station Limited inajenga kituo Kipawa.
Rafiki CNG Station ilianza kujenga kituo Tabata Relini.
Tanzania States Natural Gas Holdings Company Limited ilianza kujenga kituo Goba.
Natenergy ilianza kujenga kituo Kigamboni.
Kiwanda cha Kinglion kilianza kujenga kituo cha kupokelea gesi asilia iliyoshindiliwa (CNG Receiving Facility) Kibaha.
Vituo vilivyo kamilika mpaka sasa ambavyo vinajaza gesi ni Tembo Energy - Tabata, TPDC - Mlimani, TAQA Dalbit - Sam Nujoma, Rafiki CNG Station - Tabata.
Kampuni zinazo safirisha gesi ni Kampuni ya Tan Health Limited.
Kutokana na ongezeko la ujenzi wa vituo vya CNG, unafuu wa gharama unaopatikana katika matumizi ya gesi asilia kama nishati mbadala ya mafuta katika vyombo vya moto na mwamko mkubwa wa wananchi kutumia CNG, idadi ya watumiaji wa gesi hiyo katika vyombo vya moto inatarajiwa kuendelea kuongezeka kwa kasi.
CNG inaweza kutumika kwenye pikipiki, bajaji na magari.