Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,708
- 5,711
- Thread starter
-
- #41
Watakutukana.Wanamuhadaa Hangaya aingilie mahakama waseme ni dikiteta anaingilia mpaka Mahakama.
Hangaya ulishateua majaji acha wapige kazi we endelea kujitambulisha kwa majirani.
Kikwete aliwapa chai Ikulu wakacheka naye wakamwita rais dhaifu.Watakutukana.
Tofauti yao ni kuwa mmoja anatafuna keki ya taifa and mwingine anaitamani keki hiyo na yupo tayari kufanya lolote ili aikwapue kwa mwenzake!! Mengine yote wanafanana, majambazi wakubwaMashabiki wa sabaya si ni ccm au? Kwahiyo akili za chadema na ccm zinafanana?
Separation of powers ?! Seriously Chagu wa Malunde !!Separation of powers bro.
Checks and balance jaduong lazima iwepo. Lazima kuwepo na kuchunguliana kati ya mhimili moja na mwingine, lakini sio kuingilia majukumu.Separation of powers ?! Seriously Chagu wa Malunde !!
Mahakimu & majaji wanaovizia teuzi za mshtaki mkuu ?! Rafiki yako Maghufuli alipoambiwa kuhusu separation of powers. Alijibu kuna mhimili uliojichimbia zaidi. Kisa anamiliki hazina !!. Çan you imagine
Mbowe amegaidi nini Chagu ?! Kuwa muwaziChecks and balance jaduong lazima iwepo. Lazima kuwepo na kuchunguliana kati ya mhimili moja na mwingine, lakini sio kuingilia majukumu.
Mleta mda na post mm no. 1 & 2 is the same pesrson! Pumbafu zaoChangu wa Madale mwenyewe huyo.
Wewe huwa unalala na Mbowe?Mbowe amegaidi nini Chagu ?! Kuwa muwazi
Mahakama hazipo huru Tanzania,hukumu kama Zina maslahi na Serikali,mahakimu,majaji huwa hawafati sheria,husubili maelekezo ya Serikali,sasa watu kama wewe kujifanya Hilo hamlijuhi,na kutaka kutuaminisha kwamba mahakama zetu zipo huru kama za nchi zingine,mfano Israel,South Afrika,Zambia,USA,au UK,ni ukichaa.Huku sasa kwa wanaCHADEMA ni kupaniki na hii ni baada ya Caution statement za mmoja wa watuhumiwa wenzake na Mbowe kupokelewa kama ushahidi mahakamani.
Kwa nini Mnyika J, anasahau na kutoa kauli za ajabu ambazo hazina mashiko? Kesi ipo mahakamani na rais hana mamlaka ya kuingilia muhimili wa mahakama. Lakini Mnyika anaomba rais atoe neno ili kesi ifutwe. Hii ni sawa?
Kama chama makini nilitegemea kipambane Mahakamani ili kuwashinda Jamhuri, lakini sio kuomba msaada kwenye tuta wakati wanajua mhimili wa mahakama upo huru. Hii inaanza kutia shaka huenda watuhumiwa wanakosa.
My take: Mambo ya Mahakama tuwaachie mahakama.
Jaduong, kesi ipo mahakamani,Jamhuri ndio waliomshitaki. Stori nzima unaifahamu.Mbowe amegaidi nini Chagu ?! Kuwa muwazi
Hawa CDM hakuna kuwalegezea hata kidogo. Wenyewe si ndiyo wamelianzisha kuanzia kutumishiana misuli na Rais. Waache wakione cha mtema kuni.Huku sasa kwa wanaCHADEMA ni kupaniki na hii ni baada ya Caution statement za mmoja wa watuhumiwa wenzake na Mbowe kupokelewa kama ushahidi mahakamani.
Kwa nini Mnyika J, anasahau na kutoa kauli za ajabu ambazo hazina mashiko? Kesi ipo mahakamani na rais hana mamlaka ya kuingilia muhimili wa mahakama. Lakini Mnyika anaomba rais atoe neno ili kesi ifutwe. Hii ni sawa?
Kama chama makini nilitegemea kipambane Mahakamani ili kuwashinda Jamhuri, lakini sio kuomba msaada kwenye tuta wakati wanajua mhimili wa mahakama upo huru. Hii inaanza kutia shaka huenda watuhumiwa wanakosa.
My take: Mambo ya Mahakama tuwaachie mahakama.
Kama WaTz wenye mawazo kama yako. Ndiyo umasikini umeizinga Tanganyika .Hawa CDM hakuna kuwalegezea hata kidogo. Wenyewe si ndiyo wamelianzisha kuanzia kutumishiana misuli na Rais. Waache wakione cha mtema kuni.
Samia aliwaambia suala la Katiba lisubiri ajenge uchumi, wakasema hawambembelezi. Halafu wakasema watamnyoa kwa wembe ule ule waliomnyolea mtangulizi wake (MDUDE).
Wacha tuonyeshane makali maana wao wanajifanya wanajuwa sana Katiba mpya kuliko Watanzania wengine, wakati Mbowe hawaruhusu hata kugombea kiti cha Mwenyekiti wa CHADEMA kuanzia mwaka 2003. No retreat no surrender mpaka kieleweke
Hata wewe ukitendewa visivyo sitafurahia AminiWewe huwa unalala na Mbowe?
mjinga wa kutupwaHuku sasa kwa wanaCHADEMA ni kupaniki na hii ni baada ya Caution statement za mmoja wa watuhumiwa wenzake na Mbowe kupokelewa kama ushahidi mahakamani.
Kwa nini Mnyika J, anasahau na kutoa kauli za ajabu ambazo hazina mashiko? Kesi ipo mahakamani na rais hana mamlaka ya kuingilia muhimili wa mahakama. Lakini Mnyika anaomba rais atoe neno ili kesi ifutwe. Hii ni sawa?
Kama chama makini nilitegemea kipambane Mahakamani ili kuwashinda Jamhuri, lakini sio kuomba msaada kwenye tuta wakati wanajua mhimili wa mahakama upo huru. Hii inaanza kutia shaka huenda watuhumiwa wanakosa.
My take: Mambo ya Mahakama tuwaachie mahakama.
anajitoa ufahamuLabda mahakama ya bibi yako ndio ipo huru!!
Umesema kweli 100% mkuu.hao hao ndio wanaomba katiba mpya wakati wanavunja hata hii ya sasa.Huku sasa kwa wanaCHADEMA ni kupaniki na hii ni baada ya Caution statement za mmoja wa watuhumiwa wenzake na Mbowe kupokelewa kama ushahidi mahakamani.
Kwa nini Mnyika J, anasahau na kutoa kauli za ajabu ambazo hazina mashiko? Kesi ipo mahakamani na rais hana mamlaka ya kuingilia muhimili wa mahakama. Lakini Mnyika anaomba rais atoe neno ili kesi ifutwe. Hii ni sawa?
Kama chama makini nilitegemea kipambane Mahakamani ili kuwashinda Jamhuri, lakini sio kuomba msaada kwenye tuta wakati wanajua mhimili wa mahakama upo huru. Hii inaanza kutia shaka huenda watuhumiwa wanakosa.
My take: Mambo ya Mahakama tuwaachie mahakama.
Jaduong acha hasira, tujadili jambo la msingi.Kama WaTz wenye mawazo kama yako. Ndiyo umasikini umeizinga Tanganyika .
Kumbe wewe unaona kuwa na Rais mwenye misuli dhidi ya raia wake ni mafanikio ?!
Ujinga utawaisha lini ? Haya mambo tunaenda nayo wapi ?! Mbona magu hajaenda nayo ?!
Nje ya madaJe kumfunga Mbowe kuna faida gani kwa mlala hoi?
Je kumfunga Mbowe kuna faida kwa wenye mamlaka??
Tuanzie apo