Uchaguzi 2020 CCM wana maana gani kuandika Fomu zao za Urais ni za kuwania Uongozi katika Vyombo vya Dola?

wanajuwa ccm haina ubavu tena wa kutawala nchi hii japo kwa dakika isipokuwa kwa mtutu wa vyombo vya dola. bashiru is an idiot with a PhD.
 
Photo editor umeiona wazi hiyo acha ujinga.

Chadema kwishney hoja hamna mnaanguka kwenye ngazi tu
FB_IMG_1591856563507.jpeg
 
CCM wapo makini sana kwa kuandika hivyo. Form za kugombeea urais bado zipo na itafika wakati wa mwisho wa kuchukua hiyo form hakuna atakayejitokeza isipokuwa huyo mmoja.Kwa maan hiyo alichopewa JPM sio form za kugombea nafasi ya urais bali ni kitu kingine kabisa amabcho hakihusiani na uchaguzi huu.
Umakini au ni hofu ya demokrasia ndani ya chama?...binafs naona ni kutokujiamini
 
Acha ulaghai wa kitoto wew kibwengu kwamba ww hujui mchakato unaanzia kwenye vyama kuomba nafas then ukipitishwa jina linapelekwa tume.Hapo mmejaa mijinga tupu
Hujui lolote halafu unasumbua watu tu hapa.
 
Dola ina vyombo vitatu (Serikali, bunge na mahakama) isipokuwa kwa mahakama, vyombe vilivyobaki nafasi zake ni za kuchaguliwa. Rais wa Tz ni mkuu wa Serikali na kwa kuwa Serikali inaingia kwa kura hivyo kauli hiyo ni sawa
Hebu jisome upya halafu uniambie kama umejielewa
 
Back
Top Bottom