Uchaguzi 2020 CCM wana maana gani kuandika Fomu zao za Urais ni za kuwania Uongozi katika Vyombo vya Dola?

Dola ina vyombo vitatu (Serikali, bunge na mahakama) isipokuwa kwa mahakama, vyombe vilivyobaki nafasi zake ni za kuchaguliwa. Rais wa Tz ni mkuu wa Serikali na kwa kuwa Serikali inaingia kwa kura hivyo kauli hiyo ni sawa
Najua kuna saa unajibu mwenyewe unaona aibu sema basi tu.... we unapoenda kupiga kura pale kwenye karatasi ndo wataandika hvyo??? Anaomba kua mkuu wa bunge au mahakama?? Kipi basi waspecify.. kulikua na shida gani kuandika neno husika. Na isitoshe hyo si ni fomu ya kuomba ridhaa chamani ama????
 
Kwani hizi fom kila chama kinachapisha ya kwake!? Tutoane tongotongo hapa

Mimi fikira zangu nilidhani kwasababu anatafutwa Rais wa nchi bila kujali atakuwa wa chama gani hivyo na form inakuwa ya aina moja kwa vyama vyote
Si ni mpaka kila mgombea apitishwe na chama chake kwanza hlf wanaenda kwa mtoa fomu ya uraisi sasa...
 
Dola inaenda kushika hatamu!View attachment 1484541
.
FB_IMG_15918718110569346.jpg
 
CCM wapo makini sana kwa kuandika hivyo. Form za kugombeea urais bado zipo na itafika wakati wa mwisho wa kuchukua hiyo form hakuna atakayejitokeza isipokuwa huyo mmoja.Kwa maan hiyo alichopewa JPM sio form za kugombea nafasi ya urais bali ni kitu kingine kabisa amabcho hakihusiani na uchaguzi huu.
 
Rais ni Amiri jeshi au hamjui maana yake.
Jitafakari kama mwenye uwezo wa kujibu hoja tena zenye mantiki acha kukurupuka!
Nafasi inayoombwa kwa sasa ni ya urais wa URT na siyo urais wa majeshi! Wenye akili wanataka kuwaonyesha aina ya watu waliopo huko kwenye uongozi wa ccm jinsi walivyo kwenye mioyo yao kuwa ni wanafiki japo wanampigia makofi na kumsifu kwenye mic!
Hawapendi na Halima mjadala! Naye akiekezwa kwa kwenda anakwenda tu bila kuhoji na alilewa anapokea tu bila kusoma na kuelewa!
Amini Kuna mtu anakwenda kuwekwa bench muda mfupi ujao hasa aliyeandaa mfuko huo na tangazo hilo! Mmeamua kumwonyesha kwa wapiga kura kuwa anagombea kuongoza majeshi na siyo wananchi!
Kwa maneno mengine ni kuwa ccm haijatoa fomu za kugombea urais wa URT Hadi leo!
 
Back
Top Bottom