Uchaguzi 2020 CCM wana maana gani kuandika Fomu zao za Urais ni za kuwania Uongozi katika Vyombo vya Dola?

Imekuwa ni kazi rahisi kuwayumbisha wapinzani kwenye mambo yao ya msingi kuliko kuyumbisha ndoo nusu ya maji kichwani.

ama kweli hawatoshi kupewa dola,maana hata hawajui kwamba wanakwenda kuongoza vyombo vyake.bunge,mahakama,serikali.
 
Ukubwa siyo mwisho kujifunza, endelea kujifunza utaelewa maana ya dhana y
a dola na matawi yake (vyombo). CCM tunazo kanuni zinazotuongoza kwa wanachama wanaotaka kuchaguliwa au kuteuliwa na chama kwenda kufanya kazi ya uongozi ktk vyombo vya dola.
Kwa lugha nyingine kikanuni tuko sawa kabisa kusema
i) FOMU ya maombi ya kugombea uongozi ktk vyombo vya dola
AU
ii) FOMU ya kugombea Urais Zanzibar /Tanzania
Tofauti ni kwamba namba moja imeandikwa kwa ujumla zaidi maana haijataja hata nafasi ya uongozi ambayo inaenda kugombea mfano Urais, Ubunge au udiwani nk
Lakini namba mbili imekuwa mahsusi 'specific' zaidi, yaani imetaja nafasi ambayo inagombewa (nafasi ya uongozi na eneo) ili kupata nafasi ya uongozi husika ktk vyombo vya dola, kwa miaka mingi fomu za kugombea urais zilikuwa zikiandikwa hivi.
Kwahiyo zote ( i) na (ii) ziko sawa kikanuni, tatizo huenda tumezoea uandishi wa aina flani kwa miaka mingi kwahiyo uandishi ukibadilika kidogo wengine wanaona kuna ajenda flani na kuanza kupotosha, lakini kila kitu kiko sawa kabisa kikatiba na kikanuni.
Mwisho, nimegundua baadhi ya wengi wanaojaribu kupinga au kutoa tafsiri hasi hawajui maana ya DOLA, huenda kuna haja watu wajifunze nini maana ya dola, na wajifunze Chadema inaposema mkituchagua tukashika dola tutahakikisha wanafunzi wanasoma bure mpaka chuo kikuu au tutawaletea maendeleo huwa wanamaanisha nini, huenda wakijua hilo itawasaidia kujuua wanapinga nini.
Nitumie meseji Whatsapp inbox ili nikutumie nakala ya 'soft copy' ya Kanuni ya uteuzi wa wagombea uongozi ktk vyombo vya dola ili upate maarifa.
View attachment 1485241
View attachment 1485241
Huu ujinga nenda ukawafundishe mataahira wenzio wa Lumumba! Unataka kutulazimisha tuamini ujinga wenu? Ubaya Lumumba akili mmeshikiwa na ka Polepole kale kagonjwa ka unyafuzi! Yaani DOLA na VYOMBO VYA DOLA wewe unaona ni sawa? Haki ya nani Lumumba imeishiwa vijana wenye akili! Ukitaja vyombo vya dola maanake unataja majeshi, maana yake ni kwamba hivyo ni vyombo vinavyoisaidia Dola kufanya kazi zake kwa usalama. Lakini ukisema DOLA hapo unamaanisha ni Serikali yenyewe! Kwa hiyo huyo mgombea wenu anaenda kugombea uonhozi kwenye JWTZ, Polisi, Magereza n.k. Sijui huko nako wameanza lini kugombea uongozi?
 
Imekuwa ni kazi rahisi kuwayumbisha wapinzani kwenye mambo yao ya msingi kuliko kuyumbisha ndoo nusu ya maji kichwani.

ama kweli hawatoshi kupewa dola,maana hata hawajui kwamba wanakwenda kuongoza vyombo vyake.bunge,mahakama,serikali.
Umejaza makamasi kwenye kichwa chako, siyo ubongo huo!
 
Imekuwa ni kazi rahisi kuwayumbisha wapinzani kwenye mambo yao ya msingi kuliko kuyumbisha ndoo nusu ya maji kichwani.

ama kweli hawatoshi kupewa dola,maana hata hawajui kwamba wanakwenda kuongoza vyombo vyake.bunge,mahakama,serikali.
Wewe hata Civics ya form two huijui.. soma mara mbili ulichoandika.. non sense kama ilivoandikwa pale
 
Imekuwa ni kazi rahisi kuwayumbisha wapinzani kwenye mambo yao ya msingi kuliko kuyumbisha ndoo nusu ya maji kichwani.

ama kweli hawatoshi kupewa dola,maana hata hawajui kwamba wanakwenda kuongoza vyombo vyake.bunge,mahakama,serikali.
Akili matope hizi. Sasa ndo umeandika nini
 
Ulifaulu vizuri na unaishia kulia lia tu mitandao,nyanyua hipsi hìzo ukakifanye ulichosomea.
Mtu mwenyewe umekimbia umande unakuja kutuletea shida hapa.. Kama hukusoma kuwa mpole kama wenzako, sio unakuwa na mdomo mrefu halafu hata elimu yenyewe huna. Bogus.
 
Mtu mwenyewe umekimbia umande unakuja kutuletea shida hapa.. Kama hukusoma kuwa mpole kama wenzako, sio unakuwa na mdomo mrefu halafu hata elimu yenyewe huna. Bogus.
Umekaa unajivunia elimu ya shule ya kimsingi .

Wee mbuzi kila mtu akianza kutangaza elimu yake hapa mijadala haitakuwa na maana hii.
 
Umekaa unajivunia elimu ya shule ya kimsingi .

Wee mbuzi kila mtu akianza kutangaza elimu yake hapa mijadala haitakuwa na maana hii.
Kaa kwa utulivu ndugu, kama huna elimu just chill... kwani shida ni nini? Wewe sio wa kwanza kukosa elimu wala sio wamwisho.. ikushauri tu kwamba, kuwa mstaarabu na watu watakuheshimu hivo hivo pamoja na kwamba elimu haipo
 
Huna elimu wewe mbuzi,wenye elimu hawana muda kujielezea.

Endelea kuimba kila wimbo wanaowachezesha ccm,maana wanajua akili hamna,mtawajibu tu.
 
Huna elimu wewe mbuzi,wenye elimu hawana muda kujielezea.

Endelea kuimba kila wimbo wanaowachezesha ccm,maana wanajua akili hamna,mtawajibu tu.
Sawa kaka yaishe, hivi vyama enyewe tunavipigania utasemwa tunapata hata cha maana.. Ni mihemko tu wakati mwingine ukijaribu kufikiria sana. Maana mtu ushabikie CCM ushabikie CHADEMA, usipofanya shughuli zako mwenyewe utakufa njaa bure
 
Rais ni Amiri jeshi au hamjui maana yake.
Hivi tutakua wajinga na wapumbavu mpaka lini ..kikatiba hakuna hiyo nafasi .Kiongozi wa dola anapatikana pale baada ya kuapishwa basi ndiyo anapata kibali cha kua kiongozi wa vyombo vya dola.Ili linafanyika tu ili tuwatishe raia basi
 
Wapinzani wa nchi hii bado sana. Mleta mada ebu tuonyeshe hiyo form na sio mkoba ili tuone content yake.
Hivi, mgombea akishinda anaenda kuongoza nini? Mbona upinzani kila siku wanasema wanataka kuongoza dola? je na wao wamekosea? Uongozi unao gombea unaenda nini? Kuna vitu vya msingi sana vya kupigania ikiwamo tume huru na sio form za ccm.
 
Back
Top Bottom