Cancer inachukua maisha yangu

Cancer inachukua maisha yangu

Hello bro pole sana. Hakuna lisilowezekana kwa Bwana.

Ushauri wangu kwa uzoefu wangu kuhusu ugonjwa wa cancer!, huu ni ugonjwa unaotokana na lifestyle, vyakula na mazingira tunayoishi. Ila kwa sehemu kubwa ni vyakula.

Kwa kuwa unaendelea vizuri baada ya upasuaji nakushauri ujitahidi kabisa kubadilsha lifestyle.

Kwanza acha kabisa vyakula vya protine, hii itakusaidia kuzuia uwezekano wa kuipata tena. Kwa kuwa protine ni chakula cha cancer.

Pili acha kabisa matumizi ya sukari, maziwa, nyama nyekundu, vyakula vya kukaanga. Hii inamaana hakikisha kila unachokula kinakupa virutubisho vya kutosha na vitamin na fiber. Sukari unayoitaji mwilini utaipata kwenye matunda na vyakula vingine. Kula unprossesed food.

Jitahidi kupunguza matumizi ya antibiotic na pain killer, tafuta food supplement maalum kwa magonjwa ya cancer.

Nitajaribu kukaa chini nikuandalie mchanganua wa ingredients unazohitaji kutumia kila siku.

Kwa ushauri zaidi tunaweza kuwasiliana kwa no 0763 578057. Utapona na utaishi maisha ya kawaida

I will keep intouch, nikirudi home ntakupigia, na wote walionipatia number zao, ninauona ushirikiano wenu kwa namna ya tofauti sana.
 
Hauna haja ya kutokwa machozi tena, Jitie nguvu na umtukuze Mungu, Baada ya kuishi kama mfu kwa zaidi ya wiki mbili, nimekuwa mzima tena na habari ya kansa haiko nami tena.

Oh!!! Thank God!!!!!!!!!!! Hakika Mungu amesikia maombi ya watu wake, Asifiwe milele!!!! I am very, very happy to get this sweet news. Tupo pamoja mkuu Sangarara kwenye raha na majonzi, hakika sisi JF ni familia moja!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
pole sana mkuu,ebu tutajie japo dalili tatu unavyojisikia,kuna neno nataka kutoa.

Moes, sikupata nafasi ya kukueleza nilivyokuwa nikijisikia, na labda sikupa nafasi ya kuumizwa na kuteseswa na tatizo lile, nachokumbuka nilikuwa naishiwa nguvu ghafla na mpaka wakati naondoka Nairobi tayari nilikuwa nimepoteza fahamu (likely kwa hofu au maumivu niliyokuwa nayo sababu mwili pia ulianza kunivimba) you can imagine wakati magaidi wanaishambulia Nairobi na mimi nikiwapo hapo nimekuja kupata taarifa hizo juma tano wiki jana, lakini leo nadhani hata mwezi haujaisha, nimerudiwa na uzima.

Nawashukuru sana kwa maombi yenu.
 
Mkuu pole sana kwanza mshukuru Mungu kwa kutambua tatizo, nimeshuhudia watu wengi wakiponywa magonjwa makubwa kwa imani. Take time meditate then fanya uamuzi sahihi.kumbuka aliyekuumba ndie aliyekupa figo hizo,kwa hiyo hashindwi kuzikarabati. Chukua hatua sasa.
Mungu akupe ujasiri wa kufanya maamuzi bora
 
Oh!!! Thank God!!!!!!!!!!! Hakika Mungu amesikia maombi ya watu wake, Asifiwe milele!!!! I am very, very happy to get this sweet news. Tupo pamoja mkuu Sangarara kwenye raha na majonzi, hakika sisi JF ni familia moja!!!!!!!!!

ArushaOne
Nimetiwa nguvu sana ushirikiano wa watu hapa ndani, nimeumia sana baada ya kukuta kuna watu wengi sana walikuwa wakitoa options za nini cha kufanya kukabiliana na tatizo hizi, nimeumia sana kwamba wakati mimi nimelala siwezi kufanya kitu chochote zaidi ya madaktari kuuchana mwili wangu huku kuna watu walikuwa wanamatuamini makubwa kwamba nitapona, kwamba kuna watu walikuwa wakiomba na kukemea nguvu za Kifo, wakati huo sikuwepo japo kusoma mambo haya.

Nimemuachia Jambo hili Mwenyezi Mungu, Nguvu iliyoingilia maisha yangu na ya kuyarudishia uzima, ikufuateni wana JF wote na kuwabariki. Ikalete matumaini kokote palipo na hofu, wasiwasi,shida na mashaka, uzima kote kuliko na maradhi, furaha kote kuliko na huzuni, mafanikio kote kuliko na mahitaji.
 
Pole mkuu.

You may want to get a second opinion and verify the stage and what your options are.

I am not encouraging self diagnosis, false hope or doubting doctors, but it is worth getting as much information as you can and verification of the information given by doctors.

Kidney Cancer Symptoms, Causes, Treatment - How is kidney cancer staging determined? - MedicineNet

Hi Kiranga
I am back, If it were not your advice to seek further verification I could have stayed in Nairobi and die, I have just come to find that, by the time my healthy was deteriorating like a falling stone the terrorists had paralyzed every meaningful efforts to rescue my life by the Kenyans, when It got to a point we noticed they had agreed to let me die because they also already had a terrifying matter to handle, we quickly decided to rush out of east Africa, we cancelled my trip back home and run for Israel, I am now healing my operation wounds no More cancer.
 
Baada ya kusumbuka kwa takribani wiki tatu sasa, afya yangu ikiharibika kwa kasi huku mimi binafsi,vipimo na ushauri wa madoctor ukionyesha ni uchovu tu au tatizo la kawaida Jana nimekuja kufanya vipimo hapa Nairobi na inaonyesha nina cancer katika figo langu.

Ninarudi nyumbani kesho, nitajitahidi kuendelea na maisha yangu kama kawaida, lakini huu ni ukweli mbaya sana, cancer is haunting my life.
Pole sana! wakati unatafuta second opinion, ambalo ni wazo zuri, ukweli ni kuwa tabia ya cell za cancer ni rahisi sana kuchanganywa na dalili (symptoms) nyingine. Ila tiba muhimu ni KUWA STABLE PSYCHOLOGICALLY! Yaani uwe fit kiakili na usipanic maana afya yako itatetereka kwa sababu ya msongo. Kula vizuri hasa hasa mbogamboga za kijani cheusi na matunda ya bright colored yatakusaidia sana kukupa afya njema. Epuka kutumia vyakula vitakavyoichosha figo na utumie maji ya kutosha.

Cancer nyingi kwa sasa zinatibika, wahi upate uhakika na ushauri mapema: Kuna website nyingi ukigoogle utapata, ial uwe na uhakika ni aina gani hiyo waliyokuwambia na ujiridhishe na dallili zako unavyojisikia: Kidney Cancer Symptoms, Causes, Treatment - Methods of kidney cancer treatment - MedicineNet
 
Mkuu Mzizimkavu
Nashukuru kwa ushauri wako, unfortunate sikupata nafasi ya kupractice hii medication, Figo yangu ilifail ghafla, nimefanyiwa operation na kuiondoa, na nitaanza kutumia hii kitu, ni vyema watu wote wakaitumia sababu bin binafsi sikuwahi kufikiria ntapitia majaribu niliyopitia ghafla namna hii.

Ubarikiwe sama.
Pole sana ili ukitaka usiumwe tena na maradhi yoyote yale mwilini mwako fanya hivi: Kila siku unapoamka Menya punje 1 ya kitunguu saumu kisha ukimeze hicho kipunje kimoja kila siku hutawea tena kuuguwa na maradhi yoyote yale jaribu kisha uje unipe Feedback.
 
Mungu yu mwema

Dada Yangu
Nashukuru kwa ukarimu wako, Kwa sasa naendelea vizuri, siku nimeweka post hii hapa, ni kama niliharibu mambo, siku hiyo jioni hali yangu ilibadirika sana, na ilipofika siku ya Juma tatu figo ilifail kabisa, bahati mbaya Alshaababu walikuwa wameivuruga Nirobi nasikia daktari aliyekuwa akiniangalia alipoteza familia yake pale.

Nashukuru, niliweza kuondoka siku hiyo hiyo kuja huku Israel, Figo ilikuwa imefail kabisa, na ingeweza kunisababishia madhara makubwa zaidi, imeondolewa, na kama unavyoona leo kwa mara ya kwanza nimeweza kuingia JF.

Naweza kusema, Sasa niko salama tena,
 
ArushaOne
Nimetiwa nguvu sana ushirikiano wa watu hapa ndani, nimeumia sana baada ya kukuta kuna watu wengi sana walikuwa wakitoa options za nini cha kufanya kukabiliana na tatizo hizi, nimeumia sana kwamba wakati mimi nimelala siwezi kufanya kitu chochote zaidi ya madaktari kuuchana mwili wangu huku kuna watu walikuwa wanamatuamini makubwa kwamba nitapona, kwamba kuna watu walikuwa wakiomba na kukemea nguvu za Kifo, wakati huo sikuwepo japo kusoma mambo haya.

Nimemuachia Jambo hili Mwenyezi Mungu, Nguvu iliyoingilia maisha yangu na ya kuyarudishia uzima, ikufuateni wana JF wote na kuwabariki. Ikalete matumaini kokote palipo na hofu, wasiwasi,shida na mashaka, uzima kote kuliko na maradhi, furaha kote kuliko na huzuni, mafanikio kote kuliko na mahitaji.

Amina, na iwe hivyo mkuu! Leo ni kumbukumbu nzuri sana maishani mwangu kwani nilikuwa mmoja wa wale waliokuwa wanaomba ili upone!!
 
Are you a believer? omba rehema na mshukuru mungu sana hata kwa huo ugonjwa, kumbuka there is no disease that jesus can not heal, nashukuru kujua kuwa ulishapiga hatua, endelea kuishi na watu wenye imani wazidi kukujengea mazingira ya kukuza imani yako. fellowships za kiroho zinasaidia sana, karibu kwenye fellowship yetu tuendelee kuomba kwa pamoja, ni pim nikupe contacts, pia kaombewe na manabii wanaomjua yesu, TB Joshua namuanini sana usione ubahili tafuta safari hata kama ni kwa testimony, nenda kwa kuwa badi una nguvu, ila kikubwa ya vyote ni hicho unachokifanya, kabidhi maisha yako kwa bwana
 
Pole na Hongera sana Sangarara
natamani useme kidogo kuhudu uzima huu
uliotunukiwa na Bwana.

Hauna haja ya kutokwa machozi tena, Jitie nguvu na umtukuze Mungu, Baada ya kuishi kama mfu kwa zaidi ya wiki mbili, nimekuwa mzima tena na habari ya kansa haiko nami tena.
 
Last edited by a moderator:
Hi Kiranga
I am back, If it were not your advice to seek further verification I could have stayed in Nairobi and die, I have just come to find that, by the time my healthy was deteriorating like a falling stone the terrorists had paralyzed every meaningful efforts to rescue my life by the Kenyans, when It got to a point we noticed they had agreed to let me die because they also already had a terrifying matter to handle, we quickly decided to rush out of east Africa, we cancelled my trip back home and run for Israel, I am now healing my operation wounds no More cancer.

Glory be to GOD'
 
kweli pole sana nilivyoona post nilishikwa na kigugumizi nikahuzunika angalau umekuja na habari njema Mungu ashukuriwe atuepushe na ugonjwa huu imagine huna uwezo wa kufika ulikofika si unakufa kabla ya siku zako?
 
Nashukuru, niliweza kuondoka siku hiyo hiyo kuja huku Israel, Figo ilikuwa imefail kabisa, na ingeweza kunisababishia madhara makubwa zaidi, imeondolewa, na kama unavyoona leo kwa mara ya kwanza nimeweza kuingia JF.

Naweza kusema, Sasa niko salama tena
,

Mkuu, nimefarijika sana na ulivyo malizia comment yako, nimepata nguvu, mwanzo niliumia sana na maandishi yako ya mwanzo kwenye thread hii... Mungu wetu ni mwema sana, tuna paswa kumshukuru na kumsifu wakati wote ule, iwe kwa furaha au shida...
 
Sangarara this is very goodnews to me!! comments zako zimenifurahisha mno!! Mungu ni mwema sana!
 
Last edited by a moderator:
Nenda Kwa tb joshua ukaombewe. Au ingia youtube uangalie video clips mbalimbali za watu wenye kansa utapata faraja kuu
 
Dada Yangu
Nashukuru kwa ukarimu wako, Kwa sasa naendelea vizuri, siku nimeweka post hii hapa, ni kama niliharibu mambo, siku hiyo jioni hali yangu ilibadirika sana, na ilipofika siku ya Juma tatu figo ilifail kabisa, bahati mbaya Alshaababu walikuwa wameivuruga Nirobi nasikia daktari aliyekuwa akiniangalia alipoteza familia yake pale.

Nashukuru, niliweza kuondoka siku hiyo hiyo kuja huku Israel, Figo ilikuwa imefail kabisa, na ingeweza kunisababishia madhara makubwa zaidi, imeondolewa, na kama unavyoona leo kwa mara ya kwanza nimeweza kuingia JF.

Naweza kusema, Sasa niko salama tena,

Nashukuru Mungu amejibu maombi yetu,
Mungu ni mwaminifu atakupa afya na nguvu tele zaidi na zaidi.
 
Back
Top Bottom