Cancer inachukua maisha yangu

Cancer inachukua maisha yangu

Pole sana Nyanyuka ujiwekee Happiness 24/7 Mwenyeezi mungu yupo na wewe just Cheka nae always. Na ukipata maji ya ZamZam yatakufaa. Utapona tu Mpendwa.AMINa

mazoezi kwa wingi tiba mbadala inahusika sana pia Sangarara kuhakiki ni vizuri sana jamani hawa madr wakati mwingine mhhhh.
 
Last edited by a moderator:
weka mkono wako kwenye haya maneno, >>>> natamka uponyaji kwenye figo zako kuanzia leo uwe mzima usiwe na huo msiba tena pokea uponyaji wako sasa
 
Baada ya kusumbuka kwa takribani wiki tatu sasa, afya yangu ikiharibika kwa kasi huku mimi binafsi,vipimo na ushauri wa madoctor ukionyesha ni uchovu tu au tatizo la kawaida Jana nimekuja kufanya vipimo hapa Nairobi na inaonyesha nina cancer katika figo langu.

Ninarudi nyumbani kesho, nitajitahidi kuendelea na maisha yangu kama kawaida, lakini huu ni ukweli mbaya sana, cancer is haunting my life.
Pole sana ndugu.Kwa wakati huu naweza sema jibu lako ni Yesu tu. Mungu anaweza yote.
 
Baada ya kusumbuka kwa takribani wiki tatu sasa, afya yangu ikiharibika kwa kasi huku mimi binafsi,vipimo na ushauri wa madoctor ukionyesha ni uchovu tu au tatizo la kawaida Jana nimekuja kufanya vipimo hapa Nairobi na inaonyesha nina cancer katika figo langu.

Ninarudi nyumbani kesho, nitajitahidi kuendelea na maisha yangu kama kawaida, lakini huu ni ukweli mbaya sana, cancer is haunting my life.

Sad, pole sana ndugu.
 
MwenyeEzzi Mungu hakuleta magonjwa ila kaweka Dawa zake!! Ndugu yetu weka imani yeye ndo mponyeshaji wamagonjwa yote, Nasi tupo pamoja nawe kukutibu upone.
 
Baada ya kusumbuka kwa takribani wiki tatu sasa, afya yangu ikiharibika kwa kasi huku mimi binafsi,vipimo na ushauri wa madoctor ukionyesha ni uchovu tu au tatizo la kawaida Jana nimekuja kufanya vipimo hapa Nairobi na inaonyesha nina cancer katika figo langu.

Ninarudi nyumbani kesho, nitajitahidi kuendelea na maisha yangu kama kawaida, lakini huu ni ukweli mbaya sana, cancer is haunting my life.
Pole sana mkuu,hata mimi nauguza baba yangu mzazi ana kansa ya utumbo mkubwa,anatamuia dawa za mitishamba toka upareni kwakoa-0784368531/0754688242 mpigie huyo mzee akutayarishie dawa cost haizidi tshs20,000+logistic,pia pata juice za dynapharm-jmall.Ilimradi usitumie chemotherapy
 
Pole sana mkuu.
Amini ya kwamba hakuna kisichowezekana kwa Mungu.
Usikate tamaa, fuatilia ukirudi nyumbani Tanzania uone kama kuna namna ya kupata matibabu.
Kama bado haijaenea sana, inawezekana ukafanyiwa upasuaji na kutoa figo, ukaishi na figo moja. Pia kuna uwezekano wa kuwekewa figo lingine. Matibabu ya cancer yapo na kuna wengi waliopata matibabu na wameweza kuwa na maisha marefu na wengine hata kupona kabisa.

Tutaendelea kukuweka kwenye maombi, Amini, Mungu Atakushindia!
 
Baada ya kusumbuka kwa takribani wiki tatu sasa, afya yangu ikiharibika kwa kasi huku mimi binafsi,vipimo na ushauri wa madoctor ukionyesha ni uchovu tu au tatizo la kawaida Jana nimekuja kufanya vipimo hapa Nairobi na inaonyesha nina cancer katika figo langu.

Ninarudi nyumbani kesho, nitajitahidi kuendelea na maisha yangu kama kawaida, lakini huu ni ukweli mbaya sana, cancer is haunting my life.

Mungu akisema utapona,LAZIMA upone Pole sana ndugu na endelea kuomba.
 
Mungu akutie nguvu na imani katika kipindi hiki kigumu. Tuko pamoja kwa maombi.
 
Thanks Kiranga, I am forced to go through critical analysis and verification of these results,I went to the best hospital in DAR the whole of last week but nothing nearing this problem came into their sight.

pole sana mkuu,ebu tutajie japo dalili tatu unavyojisikia,kuna neno nataka kutoa.
 
Pole sana ndugu. Muombe Mungu kupitia kwa mwanae Yesu Kristo. If you believe you will be healed and live a Happy life.

Hapo ndipo unapokosea!

Mungu inatakiwa umuombe moja kwa.moja YEYE MWENYEWE!
Sio upitie kwa Yesu!
Mbona Yesu alikuwa akiomba Yeye mwenyewe bila kupitia kwa mtu??

Mtu anaumwa cancer! Badala ya kumpa pole! UNAANZA KUHUBIRI BIBLIA TENA!
Yaani nyie jeshi la wokovu mna tabu sana!
 
Mungu atakusaidia , weka imani yako kwake. Na usikate tamaa , pata opinion nyingine.
 
Nimejikuta natokwa na machozi. Pole sana. Mungu na akuwekee mkono wake wa uponyaji ili uwe mzima tena kwa Jina la Yesu.
 
Back
Top Bottom