Baada ya kusumbuka kwa takribani wiki tatu sasa, afya yangu ikiharibika kwa kasi huku mimi binafsi,vipimo na ushauri wa madoctor ukionyesha ni uchovu tu au tatizo la kawaida Jana nimekuja kufanya vipimo hapa Nairobi na inaonyesha nina cancer katika figo langu.
Ninarudi nyumbani kesho, nitajitahidi kuendelea na maisha yangu kama kawaida, lakini huu ni ukweli mbaya sana, cancer is haunting my life.
Pole ndugu yangu,mi nakushauri kwa uponyaji wa uhakika kama imani hii unayo na nafasi/uwezo kidogo upo,nenda kafanyiwe maombi kwa TB.Joshua.hutarudi kama ulivyo nguvu ya Mungu ni kubwa sana mahala pale