Cancer inachukua maisha yangu

Cancer inachukua maisha yangu

chakula gani kinatibu kansa
Alkaline, ila unatakiwa aache vyakula vya wanga kwa muda maalum, vyakula vingine aache ni nyama, maziwa, sukari etc ila vyote mgonjwa anapewa kwenye copy ya kitabu, pamoja na dawa kulingana na saratani husika
FB_IMG_1561538546390.jpeg
 
Baada ya kusumbuka kwa takribani wiki tatu sasa, afya yangu ikiharibika kwa kasi huku mimi binafsi,vipimo na ushauri wa madoctor ukionyesha ni uchovu tu au tatizo la kawaida Jana nimekuja kufanya vipimo hapa Nairobi na inaonyesha nina cancer katika figo langu.

Ninarudi nyumbani kesho, nitajitahidi kuendelea na maisha yangu kama kawaida, lakini huu ni ukweli mbaya sana, cancer is haunting my life.
Mkuu unaendeleaje? Mungu ni mwema bila shaka ulipona. Na kama ulipona plz andika uzi mpya. Watie moyo wenye shida kama yako, pila eleza matibabu uliyoyapitia. Pole sana.

Kuna kipindi nilimuuguza mtu mwenye kansa ya kizazi. Thank God ilikuwa stage one.aliwekwa kwenye miyonzi Imepita miaka 12 had sasa yupo hai. Huyu Mungu huyu acha aitwe Mungu. Alinifuta machozi kumuuguza mtu miezi 4 niko hospital dah ma dactori wa Mulago hospital Mungu awatunze.

Ee Mungu mtunze dr katungwensi, siku nafika Mulago hospital tulifika usiku na mgonjwa wangu, ma dr wakaniambia dr atakaemuhudumia mgonjwa wangu anaingia kesho asubuhi. Kama Mungu saa 6 siku hiyo akaingia Nilivyomuona nilimlilia sana amusaidie mzazi wangu. Akaniuliza do you speak English nikasema yes, akasema follow me.

Yale makaratasi yote niloyatoa hospital ya awali nikampa akayapitia kama nusu saa akaniambia Mama yako atapona hapa nina wagonjwa ukiwaona hutokula. Akatuelekezwa private wodi zilipo ambazo zilikuwa ni special kwa wagonjwa wanaopitia kwa foundation ya janet mseveni.

Akanambia kesho saa moja asubhi niwahi foleni, siku hiyo matibabu yakaanza dah. Mama yangu alikuwa hajawahi kula for months 3 sema mama yangu ni pande la mwanamke hakuwa amekonda kiviile. Alianza matibabu trh 1/4 , mwezi huo huo akaanza kula kidogo sana, mwezi wa 6 aka stop ku bleed dah, mwezi wa 7 trh 1, akamaliza treatment ikabaki ile ya mwisho anawekwa kwenye mionzi 24hr wakati huo anakuwa anatumia juice ya matunda tu. Aliingizwa saa 4usiku hadi saa 4usiku siku inayofata.
Trh 12/7/2010 Mungu alinionesha uwepo wake.

Sikuamini alivyotoka kwenye mionzi niliuona utukufu wa Mungu. Ni miaka 12 sasa Mungu anaendelea kumlinda akiwa na afya tele.

Asante Mungu kunifuta machozi kipindi kile.
 
Baada ya kusumbuka kwa takribani wiki tatu sasa, afya yangu ikiharibika kwa kasi huku mimi binafsi,vipimo na ushauri wa madoctor ukionyesha ni uchovu tu au tatizo la kawaida Jana nimekuja kufanya vipimo hapa Nairobi na inaonyesha nina cancer katika figo langu.

Ninarudi nyumbani kesho, nitajitahidi kuendelea na maisha yangu kama kawaida, lakini huu ni ukweli mbaya sana, cancer is haunting my life.
Pole sana mkuu una umri gani? na vipi ulikua ukijisikiaje??
 
Baada ya kusumbuka kwa takribani wiki tatu sasa, afya yangu ikiharibika kwa kasi huku mimi binafsi, vipimo na ushauri wa madoctor ukionyesha ni uchovu tu au tatizo la kawaida. Jana nimekuja kufanya vipimo hapa Nairobi na inaonyesha nina cancer katika figo langu.

Ninarudi nyumbani kesho, nitajitahidi kuendelea na maisha yangu kama kawaida, lakini huu ni ukweli mbaya sana, cancer is haunting my life.
Pole sana mkuu
By the way unaendeleaje?
 
Back
Top Bottom