Moes, sikupata nafasi ya kukueleza nilivyokuwa nikijisikia, na labda sikupa nafasi ya kuumizwa na kuteseswa na tatizo lile, nachokumbuka nilikuwa naishiwa nguvu ghafla na mpaka wakati naondoka Nairobi tayari nilikuwa nimepoteza fahamu (likely kwa hofu au maumivu niliyokuwa nayo sababu mwili pia ulianza kunivimba) you can imagine wakati magaidi wanaishambulia Nairobi na mimi nikiwapo hapo nimekuja kupata taarifa hizo juma tano wiki jana, lakini leo nadhani hata mwezi haujaisha, nimerudiwa na uzima.
Nawashukuru sana kwa maombi yenu.
real it painfull pole sana nadhani kama sio figo zone angalia uwezekano kwa kupitia ushauri wa madaktari kama wanaweza kutoa au kubadilisha moja kabla haijasambaa sana kweli nimeguswa sanakama unaamini dawa za tiba mbadala i know the guy unaweza kuni pm then nitakutafutia namba yake nikupe umtafute ujaribu
au unaweza kwenda kwa wale jamaa wa celagerm
au
dynapharm
nenda j mall wapo pale hata kama hautapata xyz ila angalau utakuwa umepata abc
Thanks Kiranga, I am forced to go through critical analysis and verification of these results,I went to the best hospital in DAR the whole of last week but nothing nearing this problem came into their sight.
i see; pole sana, ni figo zote?
Labda nenda Muhimbili pia ukaonane na Prof Mkony.
Au inaweza kuwa haijawa mbaya sana ikawezekana kubadilisha?
Am so sorry.
Baada ya kusumbuka kwa takribani wiki tatu sasa, afya yangu ikiharibika kwa kasi huku mimi binafsi,vipimo na ushauri wa madoctor ukionyesha ni uchovu tu au tatizo la kawaida Jana nimekuja kufanya vipimo hapa Nairobi na inaonyesha nina cancer katika figo langu.
Ninarudi nyumbani kesho, nitajitahidi kuendelea na maisha yangu kama kawaida, lakini huu ni ukweli mbaya sana, cancer is haunting my life.