Cancer inachukua maisha yangu

Cancer inachukua maisha yangu

Pole sana mkuu,bado una maisha marefu na huenda ukapona kabisa,kula sana mastafeli na muombe sana Mungu utarudi ktk hali yako ya kawaida.Ni matunda kiboko ya kansa yoyote ile.
Kwa uwezo wa Mungu utapona.
Thread ya zamani sana mkuu miaka 7 sasa....
 
Ila bangi zinazovutwa na member wa jf ni type ingine kabisaa....

Jambo la 2013

Mwamba anakuja kushauri leo.... Aaah aaah aaah afu wako serious kabisa thread inaendelea tu. Dah.
 
Ngoja nijaribu kuangalia last kuingia in jf
Mdau humu alikuwa active mpaka August mwaka jana last seen haionekani Mungu ni mwema atakuwa bado anamlinda.
Screenshot_2019-05-30-19-53-06-476_com.android.browser.jpeg
 
Mungu ni mwema sana atakuwa anaendelea vema
Japo cancer inatabia ya kujirudia baada ya miaka kadhaa
Mfano marehemu mama alipata cancer 2006 akawahi kukata titi akapata drips za chemal therapy + mionzi akapona kabisa ikawa anahudhuria zile clinc za kila miezi 3
Ila cancer haishagi bana ilikuja kujirudia tena 2014 tena ikawa kali sana maana ilikwisha sambaa hadi kwenye ini, figo, mapafu
CANCER NI UGONJWA HATARI SANA
 
Ila bangi zinazovutwa na member wa jf ni type ingine kabisaa....

Jambo la 2013

Mwamba anakuja kushauri leo.... Aaah aaah aaah afu wako serious kabisa thread inaendelea tu. Dah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mungu ni mwema sana atakuwa anaendelea vema
Japo cancer inatabia ya kujirudia baada ya miaka kadhaa
Mfano marehemu mama alipata cancer 2006 akawahi kukata titi akapata drips za chemal therapy + mionzi akapona kabisa ikawa anahudhuria zile clinc za kila miezi 3
Ila cancer haishagi bana ilikuja kujirudia tena 2014 tena ikawa kali sana maana ilikwisha sambaa hadi kwenye ini, figo, mapafu
CANCER NI UGONJWA HATARI SANA
Sio haiishagi inaisha ila
Ikiwa walikata ziwa na ikabaki hata seli moja tu ya cancer huwa inazaliana tena inaendelea kusambaa
 
Baada ya kusumbuka kwa takribani wiki tatu sasa, afya yangu ikiharibika kwa kasi huku mimi binafsi,vipimo na ushauri wa madoctor ukionyesha ni uchovu tu au tatizo la kawaida Jana nimekuja kufanya vipimo hapa Nairobi na inaonyesha nina cancer katika figo langu.

Ninarudi nyumbani kesho, nitajitahidi kuendelea na maisha yangu kama kawaida, lakini huu ni ukweli mbaya sana, cancer is haunting my life.
Hebe elezea vizuri unavyo jisikia ili nasisi tujuee dalili zake zinakuwaje.
 
Saratani /kansa huwa inatibika.
Ngoja nikupe mfano kwanza ukimpima mgonjwa wa saratani ya matiti utamkuta ana upungufu wa vitamin A, ukienda kumpima mgonjwa saratani ya mapafu utamkuta na upungifu wa vitamin A au vitamin A, imezidi.
Ukija kwa wagonjwa ya saratani ya utumbo au tumbo utakuta wengi wana damu Group A.
Niishie hapa kwa sasa, turudi kwenye tiba
, unapompa mgonjwa wa saratani yoyote vitamin B17, unatakiwa uzingatie pia vitamins , mineral na diet (hapa pia watu wengi wanakosea au wanadharau wanaamini dawa pekee inaweza kuwatibu.
Na diet inalingana na saratani husika sio saratani zote vitamins na mineral watatumia sawa.
Najua watu watanipinga ila ukweli ndio huo, ukitaka upone
FB_IMG_1561538546390.jpeg
 
Pole sana ndugu. Muombe Mungu kupitia kwa mwanae Yesu Kristo. If you believe you will be healed and live a Happy life.

matumaini yapo kwenye option ya kuiondoa hiyo figo, you just can't pray the cancer away

nani unaemjua amepona cancer kwa dawa ya "mwanae Yesu Kristo"? Acha kupotosha
 
Saratani /kansa huwa inatibika.
Ngoja nikupe mfano kwanza ukimpima mgonjwa wa saratani ya matiti utamkuta ana upungufu wa vitamin A, ukienda kumpima mgonjwa saratani ya mapafu utamkuta na upungifu wa vitamin A au vitamin A, imezidi.
Ukija kwa wagonjwa ya saratani ya utumbo au tumbo utakuta wengi wana damu Group A.
Niishie hapa kwa sasa, turudi kwenye tiba
, unapompa mgonjwa wa saratani yoyote vitamin B17, unatakiwa uzingatie pia vitamins , mineral na diet (hapa pia watu wengi wanakosea au wanadharau wanaamini dawa pekee inaweza kuwatibu.
Na diet inalingana na saratani husika sio saratani zote vitamins na mineral watatumia sawa.
Najua watu watanipinga ila ukweli ndio huo, ukitaka uponeView attachment 1146514
Umetuacha juu juu, sasa elezea tiba ya ugonjwa husika kwa kulinganisha aina ya kansa na vitamini au chakula mgonjwa anatakiwa atumie.
 
Pole sana ndugu. Muombe Mungu kupitia kwa mwanae Yesu Kristo. If you believe you will be healed and live a Happy life.
Mungu tangu lini ana mtoto? Kamzaa lini na mama yake nani?
 
Back
Top Bottom