kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 19,173
- 11,621
Wewe una attention seeking disorder na usipoangalia itakuletelezea kuwa suicide bomber.
Mbona wenye imani tofauti na wewe hawajalalama mtu akisema inshaallah mwenyezi mungu atakusaidia? Mtu amepost habari ya huzuni hapa na kila mtu amesema a kind word kwa upeo wake. Wewe inakuhusuje? Kuna ambao hawaamini kabisa kama kuna mungu na anaweza kumsaidia chochote, mbona hawajapiga kelele. For the sake ya mwenzetu, stop running your silly show in here. Kama una lolote la msaada na unaweza kumuombea kwa imani yako iliyo bora kuliko zote fanya hivyo.
Wewe unamuombea to whoever and whatever you believe in, unamuombea ili iweje? Na kwa nini unakuwa mkali watu wakisema yesu atamponya na lazaro alifufuliwa? Anything encouraging him right now is worth for him. Keep you flawless faith to yourself na uwaache wenye imani zao waziamini manake huenda zinawasaidia wao wenyewe.
Dont bother replying manake sitaendeleza majibishano na wewe hapa. Nenda kule kwenye jukwaa lako la show.
Siku zote Nilidhani una busara kumbe duhh! I was totally wrong!
Sasa hao wanaosema inshallah umeona wanahubiri hapa!
Sitaki kusema mengi manake salvation army mnachafuka mno!!