Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,599
- 1,798
Sifa ya mama mali ya baba.Na wewe kmmae zako
Sifa ya mama mali ya baba.Na wewe kmmae zako
Nafikiri tusubiri tu ufunuo aliopewa yule nabii ambaye aliyeonyeshwa kuhusu kutwaliwa kwa mpendwa wetu wa Chato na huu mwingine pia kuhusu kiti Cha mfalme utimie.Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura, amesema Jeshi halipo tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani. Amesema hayo leo Juni 9, Jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe ya kufunga kozi ya maafisa na wakaguzi wa Jeshi la Polisi.
"Sote tunatambua kuwa mwaka huu 2025 nchi yetu inatarajia kufanya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani. Katika maandalizi ya Uchaguzi Mkuu huo Jeshi la Polisi limejipanga vyema katika kuhakikisha kwamba Uchaguzi huu unafanyika kwa Amani na Utulivu kabla, wakati na baada ya Uchaguzi huo"
"Mheshimiwa Rais tunakuahidi Nchi hii ni salama, Nchi hii ina Amani. Jeshi hili la polisi haliko tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa Amani kwa sababu yoyote ile"
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURAAbarikiwe mtumishi wa Mungu Camilius Wambura, anaribarikiwe sana aliyepewa macho ya rohoni Dr. Samia Suluhu Hassan, mkuu wa nchi yetu, Amiri jeshi mkuu na kiongozi mkuu wa serikali. Mh. Rais ni zawadi kutoka kwa mwenyenzi Mungu kwa nchi yetu. Ahsante Mungu kwa zawadi hii adhimu, AMEN!
Madam shikamoo , hivi wewe upo upande wa haki au wa dhulma na wauaji ? Samahani lakini madam🤔
Waarabu wasenge tu na wanakula mirungii ma bangi na mihadarati mingine kuliko jamii yoyote ile unasemaje kwa hilo?Kumuuliza Muislam swali hilo ni kama vile upo coco beach unauliza, baharini wapi?
Tunahitaji kuchagua viongozi tunaowataka, sio tunaopangiwa.Inakusaidia nini??
Subiri October nyie si hammo siye tunatick mitano tena!!Tunahitaji kuchagua viongozi tunaowataka, sio tunaopangiwa.
No reforms, No elections.
No Reforms, No elections.Subiri October nyie si hammo siye tunatick mitano tena!!
TunatickNo Reforms, No elections.
He's very stupid..Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura, amesema Jeshi halipo tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani. Amesema hayo leo Juni 9, Jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe ya kufunga kozi ya maafisa na wakaguzi wa Jeshi la Polisi.
"Sote tunatambua kuwa mwaka huu 2025 nchi yetu inatarajia kufanya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani. Katika maandalizi ya Uchaguzi Mkuu huo Jeshi la Polisi limejipanga vyema katika kuhakikisha kwamba Uchaguzi huu unafanyika kwa Amani na Utulivu kabla, wakati na baada ya Uchaguzi huo"
"Mheshimiwa Rais tunakuahidi Nchi hii ni salama, Nchi hii ina Amani. Jeshi hili la polisi haliko tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa Amani kwa sababu yoyote ile"
Wambura ni mwizi sasa tutaona kati mwizi na mwenye nyumba nani amevuruga AMANI yetu Tanzania,kwa hiyo sisi tutii Sheria kandamizi zinazotuzuia kulinda Mali ya umma ili wezi akina wambura na washenzi wanzao waendelee kuitafuna nchi na kututeka kila tunapojaribu kusema ukweli,sawa tusubiri ili tuone nani amevuruga AMANI yetu hadi sasa maana Amani haipo sijui anaongelea Amani gani huyu mpuuzi,mmeteka na mmeua watu ndio Amani hiyo.Wambura anajua haya au yy ni standard sevenMkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura, amesema Jeshi halipo tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani. Amesema hayo leo Juni 9, Jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe ya kufunga kozi ya maafisa na wakaguzi wa Jeshi la Polisi.