Wavunjifu wa amani wadhibitiwe mapemaMkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Camillius Wambura, amesema jeshi hilo limejipanga kikamilifu kuhakikisha Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 unafanyika kwa amani na utulivu, na haitamvumilia mtu yeyote atakayevuruga hali hiyo katika kipindi chote cha uchaguzi.
Akizungumza leo Jumatatu, Juni 9, 2025, jijini Dar es Salaam wakati akifunga kozi ya maofisa na wakaguzi wasaidizi wa Polisi waliomaliza mafunzo yao katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Kurasini, IGP Wambura amesema:
“Tunakuahidi, nchi hii ni salama, ina amani, Jeshi la Polisi haliko tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani kwa namna yoyote ile. Sisi kama Jeshi la Polisi tuna wivu mkubwa na amani ya nchi yetu na tutalinda amani, utulivu wa nchi hii kwa wivu mkubwa kipindi chote, kabla, wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu,” amesema IGP Wambura.
Hiyo heading ya "Billionaire" sasa hivi ita editiwa na modereta.Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Camillius Wambura, amesema jeshi hilo limejipanga kikamilifu kuhakikisha Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 unafanyika kwa amani na utulivu, na haitamvumilia mtu yeyote atakayevuruga hali hiyo katika kipindi chote cha uchaguzi.
Akizungumza leo Jumatatu, Juni 9, 2025, jijini Dar es Salaam wakati akifunga kozi ya maofisa na wakaguzi wasaidizi wa Polisi waliomaliza mafunzo yao katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Kurasini, IGP Wambura amesema:
“Tunakuahidi, nchi hii ni salama, ina amani, Jeshi la Polisi haliko tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani kwa namna yoyote ile. Sisi kama Jeshi la Polisi tuna wivu mkubwa na amani ya nchi yetu na tutalinda amani, utulivu wa nchi hii kwa wivu mkubwa kipindi chote, kabla, wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu,” amesema IGP Wambura.
HII NCHI INAYOTEKA NA KUUA WANANCHI KISA NI WAPINZANI NDIO INA AMANI ? HAWAJAWAHI KUONA FUJO YA WANANCHI KWANI WAKO WANGAPI?Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Camillius Wambura, amesema jeshi hilo limejipanga kikamilifu kuhakikisha Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 unafanyika kwa amani na utulivu, na haitamvumilia mtu yeyote atakayevuruga hali hiyo katika kipindi chote cha uchaguzi.
Akizungumza leo Jumatatu, Juni 9, 2025, jijini Dar es Salaam wakati akifunga kozi ya maofisa na wakaguzi wasaidizi wa Polisi waliomaliza mafunzo yao katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Kurasini, IGP Wambura amesema:
“Tunakuahidi, nchi hii ni salama, ina amani, Jeshi la Polisi haliko tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani kwa namna yoyote ile. Sisi kama Jeshi la Polisi tuna wivu mkubwa na amani ya nchi yetu na tutalinda amani, utulivu wa nchi hii kwa wivu mkubwa kipindi chote, kabla, wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu,” amesema IGP Wambura.
Acheni kumnyanyasa choko,
Kweli wambura,waliompiga padri kitima wanalenga kuvunja amani ya nchi haya tuone kama utawavumiliaMkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura, amesema Jeshi halipo tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani. Amesema hayo leo Juni 9, Jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe ya kufunga kozi ya maafisa na wakaguzi wa Jeshi la Polisi.
"Sote tunatambua kuwa mwaka huu 2025 nchi yetu inatarajia kufanya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani. Katika maandalizi ya Uchaguzi Mkuu huo Jeshi la Polisi limejipanga vyema katika kuhakikisha kwamba Uchaguzi huu unafanyika kwa Amani na Utulivu kabla, wakati na baada ya Uchaguzi huo"
"Mheshimiwa Rais tunakuahidi Nchi hii ni salama, Nchi hii ina Amani. Jeshi hili la polisi haliko tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa Amani kwa sababu yoyote ile"
Hata wewe kama umeingia IGP huna kitu sana kwenye account yako una mabilioni inabidi uwe chawaMkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura, amesema Jeshi halipo tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani. Amesema hayo leo Juni 9, Jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe ya kufunga kozi ya maafisa na wakaguzi wa Jeshi la Polisi.
"Sote tunatambua kuwa mwaka huu 2025 nchi yetu inatarajia kufanya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani. Katika maandalizi ya Uchaguzi Mkuu huo Jeshi la Polisi limejipanga vyema katika kuhakikisha kwamba Uchaguzi huu unafanyika kwa Amani na Utulivu kabla, wakati na baada ya Uchaguzi huo"
"Mheshimiwa Rais tunakuahidi Nchi hii ni salama, Nchi hii ina Amani. Jeshi hili la polisi haliko tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa Amani kwa sababu yoyote ile"
Hata watekaji wafatiliwe , kunguni tusiwachekee hata kidogo ...tuwafuatilie hadi chooni 🙂 🙂Chadema wanadhani wanauwezo wa kuichafua amani ya nchi yetu.
hawa kunguni msiwachekee hata kidogo.....wafuatiliwe hadi choooni.
NRNEMkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura, amesema Jeshi halipo tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani. Amesema hayo leo Juni 9, Jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe ya kufunga kozi ya maafisa na wakaguzi wa Jeshi la Polisi.
"Sote tunatambua kuwa mwaka huu 2025 nchi yetu inatarajia kufanya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani. Katika maandalizi ya Uchaguzi Mkuu huo Jeshi la Polisi limejipanga vyema katika kuhakikisha kwamba Uchaguzi huu unafanyika kwa Amani na Utulivu kabla, wakati na baada ya Uchaguzi huo"
"Mheshimiwa Rais tunakuahidi Nchi hii ni salama, Nchi hii ina Amani. Jeshi hili la polisi haliko tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa Amani kwa sababu yoyote ile"
Inakusaidia nini??No reforms, No Elections
We utakuwa miongoni mwa mashoga wa LissuJeshi la polisi Tanzania kmmae zenu