camillus wambura

Camillus Mongoso Wambura is a Tanzanian civil servant and current Inspector-general of police force in Tanzania. He was appointed by Tanzanian President Samia Suluhu Hassan on July 19, 2022.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jaji Ndunguru: Summons zitolewe kwa DCI, CDF na IGP waje kutoa ushahidi upande wa utetezi

    Mahakama Kuu kupitia kwa Jaji Dunstan Ndunguru imekataa ombi la mshtakiwa Tundu Lissu la kuwaita baadhi ya mashahidi wa utetezi katika Kesi ya Uhaini Na. 19605/2025, ikieleza kuwa ushahidi wao hauna umuhimu kwani wajibu wa kuthibitisha kosa ni wa Jamhuri. Hata hivyo, Jaji Ndunguru ameagiza...
  2. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura: Wananchi na Polisi si makundi mawili tofauti, sisi ni wamoja

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillus Wambura, amesisitiza kuwa askari polisi na wananchi si makundi mawili yanayopingana bali ni sehemu ya jamii moja inayotegemeana, ambapo amri ya usalama inafanikiwa zaidi pale pande hizo mbili zinaposhirikiana kiuchumi na kijamii. Akizungumza leo...
  3. R

    JamiiForums Tanzania IGP Camillus Wambura: Udhibiti na usiamaizi wa silaha ni jukumu la kila mtanzania, sote tunawajibika kuilinda nchi yetu

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, amewataka Watanzania wote kushiriki katika jukumu la udhibiti na usimamizi wa silaha, ili kulinda nchi yetu ikiwa ni utekelezaji wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. IGP Wambura ameyasema hayo Februari 3, 2026 jijini Dar es Salaam...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 IGP Wambura: Siasa, dini visitugawe Watanzania

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Camillus Wambura, amewapa 'somo' Watanzania, akiwataka wasikubali kugawanyika kutokana na sababu yeyote ile, iwe ya kisiasa, kidini au rasilimali. Aidha, amewaomba Watanzania washirikiane na Polisi popote, kuhakikisha nchi inakuwa salama. Wambura...
  5. Troll JF

    JamiiForums Tanzania CP Camilius Wambura wanaopanga na Kuratibu maandamano watakiona

    Inspekta Jenerali Kamishna wa Polisi Camilius Wambura amewaonya vikali wale wote wanaoratibu na kupanga kufanya maandamano siku ya kupiga kura kuwa hawataachwa salama. Ewe kijana tarehe 29/10 tafadhali kapige kura tulia nyumbani msiwape wazazi wenu ukiwa huwa wanatia huruma sana pale mnapokua...
  6. Msanii

    JamiiForums Tanzania Fikra Tunduizi: Ukatili wa Polisi dhidi ya CHADEMA unaashiria nini?

    Awamu hii ya sita, hususan baada ya Rais Samia kumteua Wambura kuwa IGP, tumeshuhudia ukatili mkubwa tena wa wazi unaotekekezwa na polisi dhidi ya viongozi na wanachama wa CHADEMA. Mara kadhaa tumeona viashiria vya uhusika wa Polisi kwenye utekaji, ulawiti, utesaji na hata vifo vya wanachama wa...
  7. I

    JamiiForums Tanzania GE2025 IGP Wambura: Usalama wa Waandishi wa Habari ni kipaumbele cha Jeshi la Polisi

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, Camilius Wambura amesema kuwa kipaumbele chao ni kuhakikisha waandishi wa habari wanakuwa salama katika kipindi cha uchaguzi, ambapo ameeleza kwamba wanahabari wakiwa salama katika kutekeleza majukumu yao jamii nayo inakuwa salama. Ameongeza kuwa waandishi wa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awapandisha vyeo Maofisa watatu wa polisi, IGP Wambura awavisha rasmi kuwa Makamishna wasaidizi waandamizi wa polisi (SACP)

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura leo Jumanne, Julai 1, 2025, amewavisha vyeo vya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura leo Jumanne, Julai 1, 2025, amewavisha vyeo vya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi...
  9. BigTall

    JamiiForums Tanzania IGP Camillus Wambura: Rais Samia umefanya mambo ambayo yalitakiwa kufanyika kwa Miaka 50

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura ameyasema hayo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam, leo tarehe 9 Juni, 2025.
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Camillus Wambura: Jeshi la Polisi halipo tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura, amesema Jeshi halipo tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani. Amesema hayo leo Juni 9, Jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe ya kufunga kozi ya maafisa na wakaguzi wa Jeshi la Polisi. "Sote tunatambua kuwa mwaka huu 2025...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Sikujua IGP Camilius Wambura ni mahiri hivi; system ya nchi yetu haijakosea, ni mtu sahihi, nchi iko mikono salama

    IGP Camilius Wambura leo amenikosha sana sana, ameongea mambo makubwa kifupi kwa weledi wa hali ya juu sana. Ni mtu sahihi kwa wakati sahihi, Mungu amlinde, ampatie afya njema, ampe hekima na busara kubwa sana. Nimeipenda kauli yake "Jeshi la polisi lina wivu mkubwa na amani ya nchi hii" Ahsante...
  12. N

    JamiiForums Tanzania IGP Camilius Wambura amepoa sana, Rais mweke CP Awadh Juma Haji

    Huyu IGP wa sasa Camilius Wambura mbona hata kuongea Kiswahili hawezi, ni mtanzania kweli. IGP anatakiwa mtu kama Awadh Juma Haji au Jumanne Muliro, lazima awe very strong, anayeelewa mambo ya siasa na propaganda zake. Hizi propaganda za utekaji tungekuwa na IGP strong zingeshamalizwa. IGP...
  13. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Bashungwa: Namuagiza IGP Camilus Wambura kuhakikisha wanaomkashifu Rais mtandaoni 'wanashughulikiwa'

    Hiki ndio CCM na Serikali mnajua best, 'kushughulikia' watu, kuhakikisha wanajuta kuwachagua lakini sio kuwajibika na kuhahakisha wananchi wanapata huduma nzuri na kujiona wapo kwenye nchi inayozingatia sheria na yenye utawala bora. ===== Waziri Bashungwa wakati akihitimisha wasilisho la...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura ampa Bajaji kijana aliyepoteza mguu wakati akipambana na uhalifu

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camilius Wambura, ametoa msaada wa Bajaji kwa kijana Masima Nyau kwa ajili ya kujiendeleza kiuchumi baada kujeruhiwa mguuni wakati akitekeleza majukumu yake ya ulinzi shirikishi kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kwenye oparesheni za kupambana na wahalifu hali...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dar: IGP Camillus Wambura apiga Kura, awahimiza Wananchi kutimiza Haki ya Kikatiba

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, Novemba 27,2024 amepiga kura kuwachagua viongozi wa serikali za Mitaa. IGP Wambura amepiga kura Jijini Dar es salaam ambapo amewasisitiza wananchi pamoja na askari kujitokeza kwa wingi kutimiza haki yao ya kikatiba.
  16. nyamadoke75

    JamiiForums Tanzania Hatima ya Vigogo wa Polisi watuhumiwa wa kesi za Mirungi na Rushwa, Mikononi mwa IGP Camilius Wambura

    Mahakama ya kijeshi la jeshi la polisi imewatia hatiani wakaguzi waandamizi wanne wa polisi mkoani Arusha kwa makosa matatu ikiwemo kushawishi na kuomba rushwa ya shilingi milioni 10 na kuachia madawa ya kulevya aina ya mirungi kilo zaidi ya 1200 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 60...
  17. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa IGP: Mkoa wa Geita uwe Kanda Maalum

    Hali ya usalama wa raia mkoa wa Geita ni mbaya. Kuna ajali za kutisha, mauaji ya Raia, albino, wizi, wahamiaji haramu. Pia vyombo vya habari mkoani Geita vimeshindwa hata kuriporti matukio, kwani matukio ni mengi mno. RPC mkoani Geita, kazi imemshinda na ninashauri iundwe Kanda Maalum. Hali...
  18. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Hongera Camilius Wambura kwa utulivu huu nchini

    Takriban miezi 2 kufika leo media zote zilijaa mambo ya upotoshaji kutoka kwa akina Mwabukusi, Dr. Slaa, Mdude, Nshala, Lissu etc. Hawa walikuwa wanatumia lugha ya vitisho na matusi dhidi ya viongozi wa Serikali kuhusiana na Mkataba wa Bandari na DP World. Wapo pia waliotumia fursa zao kukosoa...
  19. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura awaonya vikali wanaotaka kuandamana, asema huo ni uhaini akitaka "Wakome" na Wasitishe matamshi yao ya Kichochezi...

    Jeshi la Polisi Tanzania, limetoa onyo kali watu wanaotangaza mpango wa kuiangusha serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia akibainisha kuwa huu ni uhaini na hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. Akitoa taarifa hiyo, Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillus Wambura...
  20. kadendu

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Barua kwa Camilius Wambura, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania

    Nianze kwa kukupa pole na majukumu ya kitaifa pia nikupongeze kwa kuaminiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, uwe Mkuu wa Jeshi la Polisi. Sina shaka na utendaji wako uliotukuka, pichani ni Askari wako Inspekta Emmanuel Govella ambaye alikuwa Mkuu wa Kituo cha...
Back
Top Bottom