The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,799
- 1,681
wahaya hawajielewi..
wanajipa moyo na kujifariji tu
kujifanya wasomi kwao buree kabisa
umeishiwawahaya hawajielewi..
wanajipa moyo na kujifariji tu
kujifanya wasomi kwao buree kabisa
umeishiwaAcheni kufananisha kifo na usingizi, huo unaouita uzuri wa majeng wa Bukoba una implication gani katika uchumi wa sehemu husika?
Embu kodoa macho kwenye hizi takwimu za TRA uniambie hiyo Bukoba yako inaingia vipi kwa Kilimanjaro
View attachment 451273 View attachment 451274 View attachment 451275
Kweli kabisa, sifa nyingi halafu wahaya wengi wezi... Nikikumbuka ESCROW machozi yanitokawana sifa wanajipa moyo tuu
japo mm sitoki moshi Ila wahaya waache wivu
ndo sofa kuu za wahayaBukoba ni Kigoma tu.....hakuna mpango wowote kule Zaidi ya kula senene, chuki, unafki na uchoyo.
Kweli kabisa, sifa nyingi halafu wahaya wengi wezi... Nikikumbuka ESCROW machozi yanitoka

![]()
![]()
![]()
![]()
umeishiwa
wana sifa wanajipa moyo tuu
japo mm sitoki moshi Ila wahaya waache wivu
Kawadanganye ambao hawapajui. ..ilo ni mengi la Kiwanda cha Maji Asilia na Pembeni kuna depot ya Tanzania BreweriesUmefanya utafiti kabla ya kuongea kiwanda cha balimi maarufu kama via ya kanda ya ziwa kipo mwz na bk mtaa Wa national housing karibu na wizara ya maji hiki hapa chini ya mlima Wa mawehilo jengo lenye ranging nyeupe![]()
Siwezi kuchangia hii mada maana moshi sipajui ila kiukweli hakuna sehemu Tanzania ninayoweza kukaa katika vijiji vyake Kama KageraMimi kwa hizi picha sijafika lakini Bukoba panaonekana pazuri.Na obviouslly maeneo yaliyo ukanda wa bonde la ufa ni mazuri even Moshi mazingira yaliyopo ni impact ya bonde la ufa hata wanamezea mate.NAIPENDA TANZANIA.Acheni hoja zinazolenga ukanda na ukabila,Nazichukia sana maana zinalenga kuturudisha nyuma (one step backward!!!)
kwa mujibu wa tra, moshi inaingiza mapato mengi kuliko bukoba, sasa unaifananishaje?Ni bk vc moshi
watu wa bukoba n kujisifu tu Hanna loloteNi bk vc moshi
Dunia nzima watu wanabaguana. Tangu iumbwe. So relax. Ishi.Haulazimishwi kubadilika kaa na ujuha wako kwani kila mmoja ana aina yake ya upimbi, mtashangaa vijiji na vitongoji vinakuwa majiji nyie mmekaa na ubaguzi wenu
Isitoshe mkiacha kubagua wakuja mtaanza kubaguana wenyewe hadi dhambi hii itakapo maliza koo lako kwa ubaguzi
pole sana ukweli unaumaJenga hoja acha kuongea uji.... Kuna uhusiano gn kati ya umasikin na mwonekano mzuri wa mji? Kwan nchi tajir duniani ni zile znye maliasili nyingi jenga hoja kama great thinker hii sio forum ya watoto
MmmmmBukoba huwezi kulinganisha na Moshi ata kidogo, Moshi pamezidiwa na Arusha, Dar na Mwanza tu. Mjini Moshi ni pazuri kuliko Mbeya mjini
UKWELI UNAUMA EEH, NINY N MAJIGAMBO TU MAENDLEO N 0% INGIA WEB YA TRA UONE KATI YA MOSHI N BKB IPI INATOA MAPATO MENGPunguza viroba ujue mada vzuri povu la nini??