Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Hebu tuchambue sasa kwa mahitaji ya kijamii Kama shule hospitali Barbara na huduma ya maji ..
Kielimu moshi Ina shule nyingi Sana za sekondari na vyuo vya ufundi pamoja na vyuo vikuu
Kuhisu afya moshi in a hospitali ya mkoa pamoja na rufaa ya Kcmc poa huduma ya barabara lami mpaka vijijini kuhusu maji siongei kwan kila mtu anajibu fursa za ajira hasa kwenye utalii ni nying Sana kulinganisha na bukoba pia hata mapato ya Halmashauri ni makubwa kulinganisha na bukoba xo nimalize ubishi kwamba kulinganisha mikoa hatuangalii majengo Bali ni huduma kwan hata kwa majengo bado moshi inaiacha bukoba mbali
Angalau nimekuelewa sana wewe Mkuu.
 
Tukiondoa kukariri facts na kufikiri kwa uhalisia, jionee mwenyewe!
bk2.jpg
bk.jpg
 
Ikiwa hawauzi walizonunua huko kwingine ndo wauze za Moshi? Utasubiri sana. Hata uwatukane hadi mwisho ila mijamaa haitabadilika asee
Haulazimishwi kubadilika kaa na ujuha wako kwani kila mmoja ana aina yake ya upimbi, mtashangaa vijiji na vitongoji vinakuwa majiji nyie mmekaa na ubaguzi wenu
Isitoshe mkiacha kubagua wakuja mtaanza kubaguana wenyewe hadi dhambi hii itakapo maliza koo lako kwa ubaguzi
 
Hebu tuchambue sasa kwa mahitaji ya kijamii Kama shule hospitali Barbara na huduma ya maji ..
Kielimu moshi Ina shule nyingi Sana za sekondari na vyuo vya ufundi pamoja na vyuo vikuu
Kuhisu afya moshi in a hospitali ya mkoa pamoja na rufaa ya Kcmc poa huduma ya barabara lami mpaka vijijini kuhusu maji siongei kwan kila mtu anajibu fursa za ajira hasa kwenye utalii ni nying Sana kulinganisha na bukoba pia hata mapato ya Halmashauri ni makubwa kulinganisha na bukoba xo nimalize ubishi kwamba kulinganisha mikoa hatuangalii majengo Bali ni huduma kwan hata kwa majengo bado moshi inaiacha bukoba mbali
Cheki bk tena
066606ddf9619210125a454907c95270.jpg
3963aa1e15377167b253fb3538ee1372.jpg
4a4827f2b8b45552043303aea771fac5.jpg
81116904432b797225acd4750ddada22.jpg
 
Hebu tuchambue sasa kwa mahitaji ya kijamii Kama shule hospitali Barbara na huduma ya maji ..
Kielimu moshi Ina shule nyingi Sana za sekondari na vyuo vya ufundi pamoja na vyuo vikuu
Kuhisu afya moshi in a hospitali ya mkoa pamoja na rufaa ya Kcmc poa huduma ya barabara lami mpaka vijijini kuhusu maji siongei kwan kila mtu anajibu fursa za ajira hasa kwenye utalii ni nying Sana kulinganisha na bukoba pia hata mapato ya Halmashauri ni makubwa kulinganisha na bukoba xo nimalize ubishi kwamba kulinganisha mikoa hatuangalii majengo Bali ni huduma kwan hata kwa majengo bado moshi inaiacha bukoba mbali
He bk hakuna shule kama kaizirege inayoongoza kila mwaka four na seven,kwanza shule hazipo moshi zipo wilayani. Hospital zipo nyingi kagondo,government, mugana.etc pia elimu bado IPO juu
 
Mimi kwa hizi picha sijafika lakini Bukoba panaonekana pazuri.Na obviouslly maeneo yaliyo ukanda wa bonde la ufa ni mazuri even Moshi mazingira yaliyopo ni impact ya bonde la ufa hata wanamezea mate.NAIPENDA TANZANIA.Acheni hoja zinazolenga ukanda na ukabila,Nazichukia sana maana zinalenga kuturudisha nyuma (one step backward!!!)
 
Tatizo sio wakazi Bali serikali ya eneo
Fafanua zaidi, naona unatoka nje ya mada kabisa.. lengo lako la kwanza ilikuwa ni kusema Bukoba ina maendeleo kuliko Moshi, ndo mana inakuwa na majengo mazuri.. ila kwa sababu ki takwimu unaanza kwenda kinyume na ulichosema mwanzo. Mi nakuambia tu, huwezi kufananisha Bukoba na Moshi kamwe.... Mi nikikuwekea picha za moshi vijijini na wewe ulete za bukoba vijijini utajiona mjinga
 
Kwa hiyo umekubali mjini subiri vijijini lakini vijiji vingi havipo bukoba vipo misenyi karagwe muleba na kyerwa vijiji vingine vinauzunguka mji Wa bk na hakuna picha za juu ila vijiji vinafanan vya moshi

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
 
Fafanua zaidi, naona unatoka nje ya mada kabisa.. lengo lako la kwanza ilikuwa ni kusema Bukoba ina maendeleo kuliko Moshi, ndo mana inakuwa na majengo mazuri.. ila kwa sababu ki takwimu unaanza kwenda kinyume na ulichosema mwanzo. Mi nakuambia tu, huwezi kufananisha Bukoba na Moshi kamwe.... Mi nikikuwekea picha za moshi vijijini na wewe ulete za bukoba vijijini utajiona mjinga
Moshi iko juu kwa lipi??? Ushahidi plz!!!!!
 
Fafanua zaidi, naona unatoka nje ya mada kabisa.. lengo lako la kwanza ilikuwa ni kusema Bukoba ina maendeleo kuliko Moshi, ndo mana inakuwa na majengo mazuri.. ila kwa sababu ki takwimu unaanza kwenda kinyume na ulichosema mwanzo. Mi nakuambia tu, huwezi kufananisha Bukoba na Moshi kamwe.... Mi nikikuwekea picha za moshi vijijini na wewe ulete za bukoba vijijini utajiona mjinga
Si ulete za moshi mjini kama mie

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
 
Tuachane na kodi tuje ktk walimbwende WENYE wa kaskazini na MAENDELEO kwa uchache:

Shose sinare
Nancy Sumari
Theresa Shayo
Shose Sinare
Hoyce Temu -dada wa shoka
wahaya hawajielewi..

wanajipa moyo na kujifariji tu

kujifanya wasomi kwao buree kabisa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom