Kwa nilivyo angalia hizo picha Bukoba pako vizuri ngoja tusubiri na mwenyeji wa Moshi atupie picha za huko tuone nako panafananaje!Hii ni bukobakaitaba stadiummjini katibukoba rc cathedralmiembeni bukobakuelekea ziwani kwa mbali msira islandview from kashura
Mi naona bukoba
Kumekuwepo na mabishano makubwa kuhusu mji Wa bukoba na moshi ni mji gani mkubwa kwa eneo,majengo,idadi ya watu,miundo mbinu,mzunguko Wa pesa,na importance ya mji na location changia kwa facts. Karibu
Moshi imepangika vizuri kimji lakini kwa marefu , mapana na mandhari nzuri haioni kitu kwa Bkb. Custom, Buyekera mjini kati, Kashai ,Hamghembe, Rwishenye ,Nshambya, Ihungo, Kahororo ,Kibeta, Kashule, mandhari ya ziwa Bkb ni mwisho wa maneno!!Kwa nilivyo angalia hizo picha Bukoba pako vizuri ngoja tusubiri na mwenyeji wa Moshi atupie picha za huko tuone nako panafananaje!
Moshi kuna nini cha ajabuWe jamaa unachekesha kweli, unalinganisha Burundi na Kenya, inaonekana hujawahi kufika moshi
Unavyofikiria sivyo mji Wa bukoba una kilometa za mraba 90 huku moshi ikiwa na 59 hivyo kiukubwa bukoba ni kubwa kuliko moshi. Kwa location bukoba iko location nzuri ukizingatia imepakana na Uganda. Rwanda,Burundi, na Kenya kupitia ziwani,kimzunguko Wa pesa ni mkubwa hasa uwepo Wa bandari, nchi nyingi zilizozunguka,vyuo vingi saut,jocuko,katoke,na open.pia viwanda ni vingi tanika,bunena water,Victoria chalks,vicfish,chai yetu,asilia water,Kabanga water, Mali juice,viwanda vya mafuta ya kujipaka,kagera sugar,viwanda vya maziwa,na balimi,.tena bk IPO katikati ya mwanza na mtukula ambayo miji kuna masoko ya Africa mashariki,biachara ya ndizi ndo usiseme watu ni wengi na bukoba bado INA sehemu kubwa ya kujenga nyumba kuliko moshi ambayo imebanwa na vijiji. Nakushangaa usemapo moshi itangazwe jiji ?Duh, leo nimeamua kupost kiovyo ovyo. Bukoba vs Moshi, hapa unatudharau sana, unatakiwa uringanishe vitu vyenye league moja.
Mtazamo wangu; majengo, Moshi wapo juu, acha kabisa. Nilishasoma Bukoba na Moshi boarding, visiting day ndo nilijua Moshi ni town compared to Bukoba, Mzunguko wa pesa, still naona Moshi wapo juu, angalia vyuo vilivyopo Moshi na mashule, kwanza Moshi tourism ipo juu, Bukoba tourist aende kuangalia nini? Lake Victoria?
Ila let's not ignore the fact, Bukoba wanatoa Nshoma nshomile wengi compared to Moshi. Hapa ndo Moshi inapigwa. Escrow wengi from Bukoba, wanasheria wengi from Bukoba...
Nakukumbusha huo ni mtazamo wangu tu. Na vilevile mimi home town, Bukoba so I might be biased.
-callmeGhost