Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
kageravn mkoa wa 3 kwa umaskini sasa mnajifananisha na KLM?

Jenga hoja acha kuongea uji.... Kuna uhusiano gn kati ya umasikin na mwonekano mzuri wa mji? Kwan nchi tajir duniani ni zile znye maliasili nyingi jenga hoja kama great thinker hii sio forum ya watoto
 
kilimanjaro-marathon-22.jpg
moshi_town-b03-1.jpg
moshi_town-b03-1.jpg
 
Moshi imepangika vizuri kimji lakini kwa marefu , mapana na mandhari nzuri haioni kitu kwa Bkb. Custom, Buyekera mjini kati, Kashai ,Hamghembe, Rwishenye ,Nshambya, Ihungo, Kahororo ,Kibeta, Kashule, mandhari ya ziwa Bkb ni mwisho wa maneno!!
Ta Kamugisha unaitwa huku!!

Absolutlly right Bk iko wide moshi n theme kubwa n lile jengo la uchumi supermarket ilipokuwa before ifungwe... Na nadhan ukubwa wa moshi unatokana na ukubwa wa jins gn inaongelewa na watu wa huko lkn unless otherwise hakuna maajabu moshi na songea hakuna tofaut kuuubwa sana zaid ya uoto wa asili
 
Kumbe hauifahamu bk sijasema IPO nkindo Bali kashura barabara ya maruku mkabala na walkguard zote zipo milimani km kama NNE kutoka mjini
Pole mkuu, anyway ngoja niwaachie ligi yenu Bukoba vs Moshi. Nilikuuliza Nkindo kuna nini ndio ukaquote hapo ukasema hayo.
 
Mtoa mada, hebu jaribu kutuwekea picha za mji wa Moshi nazo tuone ili tuchambue ndo tutoe tofauti.
 
Ila Kilimanjaro si mahala pa mchezo jaman kidunia inatangaza sana Bongo land yetu ila km ww c msafiri wa kwenda nchi mbalimbali huwezi jua maana inafika unamuelewesha mzungu even mwafrica mwenziyo kuwa nimetoka TZ atababaika ila ukimtajia nimetoka bara lenye mlima mukubwa KILIMANJARO utackia ooooh i know Mount Kilimanjaro
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom