Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
moshi ipo juu asilimia 100 piga ua garagaza kuikuta moshi kwa maendeleo ni ndoto
endeleeni kujifariji Kwanz chefuu mkoa wa kwanza wenye watumiaji wengi wa huduma za kibenki ni kilimanjaro
sasa ww mshomile tetemeko tu mmeshindwa kuchangishana seuze moshi?
viva moshi viva wachaga
MULAIRANNYE KINDO CHA UTONDO FO MANGI
Hivi moshi kuna benki ngapi bk INA nyingi kuliko moshi mjini bukoba kuna benki zaidi ya kumi. Tetemeko liachie mungu maana huamukia popote kizuri IPO hai unaweza ukashangaa hapo ulipokaa unarukaruka yaache hayo laana zitawatafuna watakaokula misaada
 
TPC,kibo match group,kncu nk
kuifananisha moshi na bukoba n kudhalilisha moshi yetu
mlima klm n mlima kubwa Africa upo moshi
Viwanda bk ni vingi kuliko moshi asilia water,kagera sugar,yetu chair,Mali juice,tanica,bunena water,tanica water, kyaka milk,diva mafuta nk
 
1482988286552.png
 
Hahaha...!!!

Badala ufananishe Moshi na Mwanza eti unafananisha na Bukoba?

Mambo ya aibu na fedhea kukafanisha kamji kadogo ka Moshi na jiji la Mwanza labda usafi tu. Lakini sio kujengeja, idadi ya watu na mzunguko wa pesa
 
Moshi na Bukoba zinafanana sana kitabia ata na tabia za watu wao.....Moshi imejengeka vizuri kulingana na utambalale wake hivyo kuna majengo mengi na Barbara double road, Bukoba haijapangika vizuri kulingana na kua sehemu ambayo nk tambalale na ambayo ni center ni padogo mno hivyo kua imebana sana Bukoba imezungukwa kwa pande tatu ni milima tupu pande moja ni Ziwa hivyo kua ni ndogo mno.....Lakini Bukoba imeanza Ku take off kwa kua wameanza kujenga mahote makubwa pembezoni mwa Ziwa na inaeneo kubwa mno kulinganisha na Moshi....Kwa upande wa vijijini Moshi vijiji vyao vimepangwa kwa kua na Barbara za lami tofauti Ila Bukoba/Kagera kwa ujumla ni kubwa hadi imebidi serikali ivunje baadhi ya maeneo km Misenyi na Kyelwa....But all in all Bukoba na Moshi hakuna tofauti kuubwa zaidi ni jiografia ndo tofauti....Nimeishi Bukoba Na Nimeishi Moshi
Umeelezea vizir mno
 
Majengo ya serikali ni ya wale wahindi waliopo migeyo umefika miembeni wewe,kashura kibeta,rwamishenye,jamhuri road,kashozi road, hamugembe je nshambya mafumbo, kahororo,ihungo jee bk haufahamu kumbe kufika stend ya bukoba ni kama nyegezi na mwanza bk hauifahamu hizi hotel za serikali?
a0a14a11a196194e5556926d8c3d50f7.jpg
c6742d9222c9456d7bea5d7bbca6684e.jpg
368b8a3df6de96e6562a8ebb357a1745.jpg
2b954cf4f63b2601e8747aee6f3c6a18.jpg
3661abc3da29eb540d08eb5df9807565.jpg
958c0bec8df6a11f66dfec0ee867757e.jpg
c19f50f12c5355bd6c2e306b6acfbd84.jpg
e9114b48ae884b1e94a2d7119d43e368.jpg
90e5688c3a97ed715e94dfe13a030a9d.jpg
5970e4c91d76a126a94e17e2bab21e9d.jpg
c4a1c466549ea48fff60c8d369f83178.jpg
68853d8dd9cf71b0dd973f79becd98c3.jpg
b22e0d30220b1b605707ee6c7ec1e899.jpg
tembea uone bkb kwanza majengo hayo mengi ya zamani yalitetemeshwa sasa hivi yanajengwq mapya so ya serikali-gallery/0a6e11f12dc249274197e0cfd4f92762.jpg[/IMG]
7272b781739623d95ff6a44529d220fa.jpg
Umetisha aseee
 
Shida wanaishia one way tu na uswaxi ni sawa na kufika mwanza na kuishia mabatini kwenye lodge umefika kashura, ukaona kibeta jee,nkindo,nyamukazi, bandarini custom nk,hotel kama coffee,bugabo,ruhunga,prince motel,sky,victorious,upendo,kolping ,walkguard,kiroyera,stalla,elct,lake view nk

unafanya promo kwa bidii zote ila naishia kuona tu coffee,nyamkazi kwa wanywa gongo Na fukwe chafu sijawahi shuhudia!

Ni bora fukwe ya bahari Kua chafu ila Sio ziwa,Na ukitaka jua fukwe chafu nenda nyamkazi.
 
Mjomba, acha utapeli hapo umeweka picha za miji mingine unadai ni Moshi, acha hizo, hakuna malipo hapa.

Picha unayoita katikati ya Manispaa ni picha ya Mwanza mjini, kwenye sanamu ya Nyerere, katikati ya mkutano ya barabara ya Nyerere na Kenyatta kwenye mzunguko jirani na Tunakopesha Limited na njia panda ya kuelekea Police Central na bandarini. Kwa mbali hospitali ya Bugando inaonekana.

Picha nyingine mbili za juu, mojawapo ipo chini ya ile unayoita ni round about ya KCMC, pia siyo ya Moshi. Hiyo na ya chini yake ni picha za Iringa, zilizopigwa Juu ya usawa wa MR Hotel, zinazoionyesha Dodoma Road, kwa mbele inaonekana Kalenga Hotel na ghorofa la Asas kama unapandisha kutokea Manispaa kuelekea Mlandege kupitia uwanja wa Samora.

Mjomba nasikia nyie mnapenda sana magumashi, nilidhani ni kwenye mtonyo tu, kumbe hata picha mko radhi kuduplicate ili kuwin argument!

Mimi sina upande ila uongo ndo uache maana humu siyo wote hatujaitembea vizuri nchi yetu. Ukipenda ongeza na za Mbeya ili ushinde zaidi. Maana Nahisi pia umepost nyingine za Tanga na Arusha

Nampongeza wa za Bukoba kwani yule yeye hajaongeza za miji mingine.
Safi sana mkuu
 
Tatizo la kina Nshomile ni kujisifu bwanaa...

Angalia tuu hata usafiri wa kwenda kwao wameshindwa kununua mabasi mazuri japo sasa njia ipo nzuri MH. Magufuli kawajengea barabara kupitia chato nzuriii......ILA angalia mabasi ya KILIMANJARO NA ARUSHA halafu chunguza mabasi yanamilikiwa na kina nani....kama hukukuta mabasi mengi ni majina yale yalee ya wenyewe...

Wahaya kwa kujisufu...hata kama hana gari atakuambia amepaki benz mlangoni...sijui kwanini...

Sisi tunaamini hata usipopiga kelele kuhusu mafanikio yako yatajionesha yenyewe...acha mafanikio yapige kelele sio wewe upige kelele....

Biashara nyingi angalia waliozishikilia ni kina nani....

Celebrities wa kihaya ni kina nani...?

Ila bila kutafuta sana....kuna kina
1. Nancy Sumari - Arusha
2. Saida Kessy
3. Hoyce Temu
4. Theresa Shayo
kichuguu-albums-miss-tanzania-picture310-world-1967-group.jpg
kichuguu-albums-miss-tanzania-picture311-tanzania67.jpg




@ instanbul polee
Arusha ni moshi
 
Hivi moshi kuna benki ngapi bk INA nyingi kuliko moshi mjini bukoba kuna benki zaidi ya kumi. Tetemeko liachie mungu maana huamukia popote kizuri IPO hai unaweza ukashangaa hapo ulipokaa unarukaruka yaache hayo laana zitawatafuna watakaokula misaada
Hivi mkuu una uhakika na unachokisema kuhusu Huduma za kibenk moshi?moshi mabenki na maduka yakubayakubadilishia fedha ni mengi sana.Ni moja ya mji unaongoza kwa Huduma za kkibenk Tz baada ya majiji yote
 
unafanya promo kwa bidii zote ila naishia kuona tu coffee,nyamkazi kwa wanywa gongo Na fukwe chafu sijawahi shuhudia!

Ni bora fukwe ya bahari Kua chafu ila Sio ziwa,Na ukitaka jua fukwe chafu nenda nyamkazi.
Taja na hotel za moshi mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom