Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Mkuu nianze tu kwa kukwambia kuwa hilo kanisa japo la mtandaoni bado sana kwa makanisa ha bk huko vijijini. Twambie la location ya kanisa na pia na picha ya kibao cha kanisa lenyewe. Mbona ya mwanzo umeweka!??

Ila pia nikwambie tunataka picha za kupiga na kamera yako! Mwambie mtu apige akutumie. Sio hizi za kuunga unga. Huu mchezo tukiufanya sisi mtalia. Kwa nini usilete picha original from the source kama unajiamini?? Mbona sisi tunatupia vitu vyenyewe na wewe unasuuzika!??



Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo hizo picha sio halisi? Hilo ni kanisa la kibosho yaan kibosho parish
Kuna vitu vingine Ni elementary havihitaji ubishi kama umebanwa mbavu unaomba poo sii kujidhalilisha hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimegundua unaijua Moshi tu! Jitahidi uijue na Bukoba! Kuijua Bukoba sio kufika mjini na kupita. Hizi pumba unazoandika hapa ni aibu!

Sent using Jamii Forums mobile app
We ndio hujui kitu nimetembea kagera,misenyi,bk vijiin , muleba karibu yote Hadi vusiwan kule bumbile,ikuza na rwazi
Huniambii chochote mkoa wenu Ni mapori pori tu check hapa kemondo hahaha
Kumechakaa kweli
tapatalk_1548942283774.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhesabiwa mkuu
Mabasi kama hayo kule uchagani ndio yenyewe mostly
Si unajua kampuni za mabasi tz nzima 55% zinamilikiwa n'a watu wa Kilimanjaro?
Check hapo chini ni basi la rombo to Arusha kilometa 90 tu check ngoma ilivyo utadhan ya dar mwanza
Hapo ni daraja la ungwasi vile vile View attachment 1017430

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafahamu kutoka bukoba Tu kwenda ngara kuna mabasi na ni ndani tu ya mkoa .hata miji ya karibu kahama na mwanza mabasi unayafahamu? Na je Meli za bukoba mwanza ni ngap?

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Wachagga mnachekesha kweli, yaani wenyewe biashara wanayoota ni mabasi. Mtu kama hana mabasi eti hana pesa, hahahahaha acha kukariri
Hapo sio barabara kuu
Ni barabara ya ndan ya wilaya alafu unaona hilo basi? Nyie maskin wa kihaya mna uwezo wa kumiliki hiyo?
Manake kampuni za mabasi tz 55% zinamilikiwa n'a watu wa kililmanjaro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom