Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
"E="instanbul, post: 19067453, member: 372401"]Viwanda bk ni vingi kuliko moshi asilia water,kagera sugar,yetu chair,Mali juice,tanica,bunena water,tanica water, kyaka milk,diva mafuta nk
"kama MNA viwanda vingi mbona halmashauri ya moshi inaingiza mapato mengi kuliko bukoba?
ingia web ya tra uone
pia mkoa wa kagera n mkoa wa 3 kwa umaskini sasa mnajivunia nn[/QUOTE]
Kagera ni kubwa watu wake ukubwa unaifanye mapato ya bk yamezwe.na wilaya kama biharamulo, ngara,na kyerwa ambazo ni wilaya maskini na misenyi ambayo ni wilaya change.pia majanga kama tetemeko,na kuwa mbali na tz ndo maana ni maskin

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
 
Nyie mna Kilimanjaro

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha naona bado mnatoa hints zakutosha, watakua washaelewa lazima, bukoba me moshi bado sana na katu haitaigusa
 
Kumekuwepo na mabishano makubwa kuhusu mji Wa bukoba na moshi ni mji gani mkubwa kwa eneo,majengo,idadi ya watu,miundo mbinu,mzunguko Wa pesa,na importance ya mji na location changia kwa facts. Karibu
IMG_20160114_100632-1.jpg
images-7.jpeg
images-8.jpeg
images-17.jpeg
IMG_20160114_100632-1.jpg
 
angalieni moshi inachangia kiasi gani kwenye pato la taifa !!!!!!!!!!!!!!!! kulinganisha na bukoba kusoma NI KUELEWA KUKESHA MBWEMBWE
 
Kumekuwepo na mabishano makubwa kuhusu mji Wa bukoba na moshi ni mji gani mkubwa kwa eneo,majengo,idadi ya watu,miundo mbinu,mzunguko Wa pesa,na importance ya mji na location changia kwa facts. Karibu
Bukoba ni zaidi ya Moshi. Ninaipenda Bk katika hali zote.
 
So far so good! Nilitaka niwashauri mjaribu kuwasikiliza wale waliowahi kufika hayo maeneo yote mawili ndo mtapata mnachokilenga la sivyo naona wadandiaji ni wengi sana. Utaongeleaje kitu usichokijiua na hata hujawahi kufika?

NB: Hiyo ni Kagera ( Bukoba) katika picha ilivyo leo bado haijajengwa hata barabara, bado usafiri wa meli hakuna, bado stand hakuna. Imagine hivyo vitu vingelikuwepo leo make soon vitakuwepo, nipe tu picha patakuwa pana sura gani. Kuna mambo mengi ya kutizama na kupima ukiachia majanga yote yaliyopita pale bado unaweza ukafeel vipi isingekuwa yalitokea unafikiri leo hii Bukoba ingekuwa inalinganishwa na nini ..labda Tanga/Mbeya.

Na ukiangalia ukuaji wa hii miji miwili kwa miaka kadhaa ijayo unaona miji miwili tofauti lakini moja ikiwa na nafasi ya kukua zaidi kuliko nyingine as upande wa magh. wa Nchi yetu una link inayokua na kuimarika kwa kasi kama rasrimali zitaanza kutumika kwa kuunganisha mipaka ya nchi na mikoa ya ukanda huo. Mnahitaji kuongea kwa kutizama mambo hayo hata kama leo itakuwa ama inalingana ama hailingani kwani kwa kila mkoa kuna vitu fulani muhimu ukilinganisha na pengine na vinaonekana kwa macho. Anza na vyuo, barabara, majengo, huduma, mandhari, ukubwa wa eneo, wingi wa watu, biashara, mvuto wa macho n.k
 
Bukoba tena cheki inawagalagaza nyie mnaweka nssf tu. Victorious hotel hiyo
0b184cbf76a9393795247a2d6ce12160.jpg
1f231682a3b884dc774fc30aaaa470e5.jpg
jamhuri road
cb1bb8c2f6ed67559fad4b01a99e7a52.jpg
mkombozi bank
20f9fddd1f8eb63f598313d006bf55e3.jpg
benk ya posta na tra
946284ad892a0ebac0b30e44e66a1663.jpg
jengo la hazina
d68da7ef003f5fe51b38eb24d6900e9c.jpg
ndizi round about
fa7665f53bcc50358deb57ba2832c510.jpg
vodashop
0d359ef4d1f631144bb6189de402fad1.jpg
bk Rc cathedral
c9e7647983c2e77c613d0957cc41cb37.jpg
1288e68d082ee0254d4916403b100a01.jpg
d807e7b1575210e8fbe3303b96e20622.jpg
kcu
49c49b504df6b9a9dadb20075f590c42.jpg
f3be39da0b3703fa96c1c6f699918b39.jpg
akemps
361db75a6614ef2855f01f6fd74dee0c.jpg
456bd93e4d5a9ea83f2b0b47bf6e63c4.jpg
bk airport
5f2b7f6036b976d8a7af812f1362b294.jpg
msira island
 
"kama MNA viwanda vingi mbona halmashauri ya moshi inaingiza mapato mengi kuliko bukoba?
ingia web ya tra uone
pia mkoa wa kagera n mkoa wa 3 kwa umaskini sasa mnajivunia nn
Kagera ni kubwa watu wake ukubwa unaifanye mapato ya bk yamezwe.na wilaya kama biharamulo, ngara,na kyerwa ambazo ni wilaya maskini na misenyi ambayo ni wilaya change.pia majanga kama tetemeko,na kuwa mbali na tz ndo maana ni maskin

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app[/QUOTE]
Elewa kwanza mada, hapa ni bk na moshi sio kagera vs kilimanjaro
 
Chamecha meku nyingine naziona za vijijini kabisa marangu mtoni hembu wawekee na zile hotel za vijijini kabisa waone yaani hawa machalii kweli wanajaribu kukutanisha mbingu na ardhi maajabu haya
Nyie sijui ni viroba au?? Hapa mada ni bk vs moshi sio kagera vs kilimanjaro
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom