The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,799
- 1,681
Hiki kituko badala ya kuonesha mji wanaonesha wanyama na migomba
Hiki kituko badala ya kuonesha mji wanaonesha wanyama na migomba
Umefanya utafiti kabla ya kuongea kiwanda cha balimi maarufu kama via ya kanda ya ziwa kipo mwz na bk mtaa Wa national housing karibu na wizara ya maji hiki hapa chini ya mlima Wa maweKweli wewe Mhaya eti inapakana na Kenya na Burundi...Viwanda kama Balimi etc aaah Bukoba bado saana kwanza watu wa huko bado wanasumbuliwa na funza aka jiggers
haijengeki hoja havilinganishiki hivoo
ni ushahid tosha kuwa ujawai fika mji mmojawapo kati ya hiyo inayozungumziwa anyway sio vita just n discusssion enjoy...
Nyie watani zangu, akina Kamugisha, Lwakatale, Rweyemamu, Ishengoma, Karugaba, Ruge, Mutta, Kokushubila, Rutaindurwa, Buberwa, Rugangira nk . Acheni utani kabisa! Moshi kuna mijengo mizuri achilia mbali pale mjini nenda Marangu huko ndo hatari kabisa.
Mm kwani arusha hotel inamilikiwa na wakina nani labda zinafanana maana kolping ni shirika kubwa lenye hotel nyingi bongo ni shirika la Rc.



looks exactly kibukoba
Kijiji eeh![]()

Sio kwamba mie ni mzaliwa Wa bkb Bali mie nijuavyo bk inaizidi moshi ndoo maana nimeweka za bukoba na moshi walete zao.Mimi ni mzaliwa Wa jiji la mwanza ilemela milimani barabara ya maduka Tisa ila naipenda bkWewe ndo ulipaswa kubalance story na sisi ndo tutoe majibu, kwa sasa tumeshajua tayari wewe ni mzaliwa wa Bukoba.
Ni muundo kwa sababu ya hali ya hewa ya huko by the way sijui kama unaelewa![]()
Mkuu umepatia mifananisho mingi lakini umejitoa ufahamu Dar kuifananisha na Mbeya, Mwanza, Arusha na Tanga. Sijui umetumia vigezo gani!?Bukoba na moshi ni miji tofauti sana. Fananisha Bukoba, musoma, kigoma, sumbawanga, songea, shinyanga, singida. Fananisha Moshi, Morogoro, dodoma, Iringa. Then Njombe, Babati, Geita, Mpanda, lindi. Halafu Dar, Mwanza, mbeya, arusha, Tanga. Kwa mlinganyo huu Sawa. Moshi ni manispaa inayoelekea kuwa jiji wakati Bukoba ni manispaa ambayo bado ina harufu ya halmashauri ya mji.
Hii ni Hostel ama ni nn?Kijiji eeh![]()