Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Acha viroba hapa ni bk vs moshi sio kagera vs kilimanjaro
HAHAHA UKWELI UNAUMA EEH
BUKOBA HAIWEZ KUFIKIA MOSH HATA ROBO
INGIA WEB YA TRA UANGALIE KT YA BKB NA MOSH IPI INACHANGIA PATO KUBWA
MANDHARI YA MOSHI N NZUR MARA MIA YA BKB MAJENGO MAKUBWA YAMEPANGILIWA SAAFI
ALAFU NYIE N MBWE MBWE TU HATA MABASI YA KUJA KWENU BKB N YA WAT WA MOSH MFANO. PRINCE MURO,OSAKA,KIDIA ONE NK
 
Chamecha meku nyingine naziona za vijijini kabisa marangu mtoni hembu wawekee na zile hotel za vijijini kabisa waone yaani hawa machalii kweli wanajaribu kukutanisha mbingu na ardhi maajabu haya
yan hawa wahaya n majigambo tu hawana kingine
Kule kwao bkb hata mabasi yanayofanya safar n ya watu wa moshi kina prince muro,kidia,osaka
 
Aisee mkubali tu mambo ya kpost za majiji mengine kama dar. Na mwanza nà arusha acha hamna picha bk inawagalagaZa kimajengo
kwi ww Istanbul n sikio LA kufa
hata kichaa atakushangaa kwa kukuona ukifananisha mosh n bkb
nyie MNA uchumi gan wa senene?
mnachangia pato kiss gan?
majengo yenu hayafikii yetu hats kwa 10%
 
So far so good! Nilitaka niwashauri mjaribu kuwasikiliza wale waliowahi kufika hayo maeneo yote mawili ndo mtapata mnachokilenga la sivyo naona wadandiaji ni wengi sana. Utaongeleaje kitu usichokijiua na hata hujawahi kufika?

NB: Hiyo ni Kagera ( Bukoba) katika picha ilivyo leo bado haijajengwa hata barabara, bado usafiri wa meli hakuna, bado stand hakuna. Imagine hivyo vitu vingelikuwepo leo make soon vitakuwepo, nipe tu picha patakuwa pana sura gani. Kuna mambo mengi ya kutizama na kupima ukiachia majanga yote yaliyopita pale bado unaweza ukafeel vipi isingekuwa yalitokea unafikiri leo hii Bukoba ingekuwa inalinganishwa na nini ..labda Tanga/Mbeya.

Na ukiangalia ukuaji wa hii miji miwili kwa miaka kadhaa ijayo unaona miji miwili tofauti lakini moja ikiwa na nafasi ya kukua zaidi kuliko nyingine as upande wa magh. wa Nchi yetu una link inayokua na kuimarika kwa kasi kama rasrimali zitaanza kutumika kwa kuunganisha mipaka ya nchi na mikoa ya ukanda huo. Mnahitaji kuongea kwa kutizama mambo hayo hata kama leo itakuwa ama inalingana ama hailingani kwani kwa kila mkoa kuna vitu fulani muhimu ukilinganisha na pengine na vinaonekana kwa macho. Anza na vyuo, barabara, majengo, huduma, mandhari, ukubwa wa eneo, wingi wa watu, biashara, mvuto wa macho n.k
BUKOBA HAIJAIFIKIA MOSHI NA HAITAKAA IIFIKIE
 
Bukoba tena cheki inawagalagaza nyie mnaweka nssf tu. Victorious hotel hiyo
0b184cbf76a9393795247a2d6ce12160.jpg
1f231682a3b884dc774fc30aaaa470e5.jpg
jamhuri road
cb1bb8c2f6ed67559fad4b01a99e7a52.jpg
mkombozi bank
20f9fddd1f8eb63f598313d006bf55e3.jpg
benk ya posta na tra
946284ad892a0ebac0b30e44e66a1663.jpg
jengo la hazina
d68da7ef003f5fe51b38eb24d6900e9c.jpg
ndizi round about
fa7665f53bcc50358deb57ba2832c510.jpg
vodashop
0d359ef4d1f631144bb6189de402fad1.jpg
bk Rc cathedral
c9e7647983c2e77c613d0957cc41cb37.jpg
1288e68d082ee0254d4916403b100a01.jpg
d807e7b1575210e8fbe3303b96e20622.jpg
kcu
49c49b504df6b9a9dadb20075f590c42.jpg
f3be39da0b3703fa96c1c6f699918b39.jpg
akemps
361db75a6614ef2855f01f6fd74dee0c.jpg
456bd93e4d5a9ea83f2b0b47bf6e63c4.jpg
bk airport
5f2b7f6036b976d8a7af812f1362b294.jpg
msira island
NIMEAMIN WW N MSHAMBA
HIVYO VIJENGO HAVIJAFKIA HATA 10% YA MOSHI
NYIE MMETUZD KWA MBWEMBWE TU
 
Kitu cha ajabu moshi hawajaweka vitu vya kusuport zaidi ya kutukana
KUTOKUWEKA HAIMAANISH HAKUNA ACHA USHAMBA
BKB HAITAKAA IIFIKIE MOSHI KAMWE
NYIE MNACHANGIA PATO KIASI GAN? KWANZA HAMPEND NYUMBN MMEKIMBIA MJI WENU UCHUMI UMEKWISHA
 
"kama MNA viwanda vingi mbona halmashauri ya moshi inaingiza mapato mengi kuliko bukoba?
ingia web ya tra uone
pia mkoa wa kagera n mkoa wa 3 kwa umaskini sasa mnajivunia nn
Nyie mna Kilimanjaro

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app[/QUOTE]
MBNA nyie MNA ziwa victoria? yaan nyie hajatuzid kwa kitu chochote labda majigambo
umaskini ndii jadi yenu
 
Viwanda bk ni vingi kuliko moshi asilia water,kagera sugar,yetu chair,Mali juice,tanica,bunena water,tanica water, kyaka milk,diva mafuta nk
kyaka IPO bukoba? acha uongo
viwanda vyenu vyote ulivotaja hapo vya juice,maji n sawa na kiwanda chetu cha cocacola pale moshi
achilia mbali mlima KLM,uwanja wa ndege wa kimataifa wa kia nk
 
Acha uongo, Kolping haipo Nkindo. Zaidi ya ile "SAUT" Ambayo haina tofauti na sekondari ya kata hakuna kitu kingine. Kolping ipo karibia na ziwani mjini
bukoba hakuna chuo kikuu hata kimoja n matawi ya vyuo tu
mishi kuna vyuo vikuu kamili vifuatavyo
mwenge catholic university(mwecau), Stephano moshi memorial university,muccobs,kcmc university nk
 
Kagera ni kubwa watu wake ukubwa unaifanye mapato ya bk yamezwe.na wilaya kama biharamulo, ngara,na kyerwa ambazo ni wilaya maskini na misenyi ambayo ni wilaya change.pia majanga kama tetemeko,na kuwa mbali na tz ndo maana ni maskin


Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
Elewa kwanza mada, hapa ni bk na moshi sio kagera vs kilimanjaro[/QUOTE]
JE BUKOBA NA MOSHI IPI INACHANGIA ZAIDI PATO? INGIA WEB YA TRA ALAFU URUDI HAPA
YAAN MAPATO YA BKB N MADOGO KULIKO YA WILAYA YA SAME MKOAN KLM
SEMBUSE MOSHI?
SISI WOLAYA ZOTE ZA MKOA WA KLZINAJIWEZA SIO MASKINI KAMA BIHARAMULO,KYERWA,KARAGWE,MISENYI
MTACHUKUA MIAKA 100 KUIFIKIA MOSHI/KLM
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom