Zote hizo nazifahamu,Kama kiroyera ndo Naeza sema iko juu zaidi but pia Haina jipya !kuna camping site hapo Na iko ovyo tu ,nliona kijukwaa Kama cha stage ya maharusi kimeinamia ziwani juu wakisimama watu wa Tatu wa nguvu wanaeza zama nacho .

then kwa ujumla bk Kama Ni Mgeni chakula Ni shida ,kuna Ki Mgahawa nliingia nkakuta kijana anaeosha sa hani Na kudeki kaliwa funza miguuni Na kavaa nguo ambazo zilikua hazijafuliwa mwezi.
Na mgahawa huo ndo nliambiwa ndo mkubwa.jioni ilipofika nkataka kwenda club ,nkapelekwa sehemu inaitwa oxygen duuuhh humo Ndani Ni carbon dioxide Na Giza balaa .alafu Ni nyumba ya NHC,nkakataa nkapelekwa liners.huko nako ilikua balaa