DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,636
- 81,533
Wanasiasa Ambao mnavyeti vyamagumashi kiukweli Mnaonekana kuwa hampo vizuri kiutendaji .
Mimi nimeona hilo.
Mimi nimeona hilo.
WanajijuaWataje 🐼
Akitaja atatekwaWataje 🐼
Ponjoro wa Kinondoni wa kwanzaWataje 🐼
Kuna nini tena?Ponjoro wa Kinondoni wa kwanza
wananchi ndio kuamua kwenye ballots papers ndani ya ballot boxes na sio vyeti vya form four au university vya mtu.Wanasiasa Ambao mnavyeti vyamagumashi kiukweli Mnaonekana kuwa hampo vizuri kiutendaji .
Mimi nimeona hilo.
🤡🤡🤡wananchi ndio kuamua kwenye ballots papers ndani ya ballot boxes na sio vyeti vya form four au university vya mtu.
kujua kusoma na kuandika ndio sifa msingi ya kiongozi kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi yetu.
kuona umagumashi wa vyeti vya mtu with no evidence inaonekana tu kuna issues za binafsi ndani yake 🐒