form four

In mathematics, a quadratic form is a polynomial with terms all of degree two ("form" is another name for a homogeneous polynomial). For example,




4

x

2


+
2
x
y

3

y

2




{\displaystyle 4x^{2}+2xy-3y^{2}}
is a quadratic form in the variables x and y. The coefficients usually belong to a fixed field K, such as the real or complex numbers, and one speaks of a quadratic form over K. If



K
=

R



{\displaystyle K=\mathbb {R} }
, and the quadratic form takes zero only when all variables are simultaneously zero, then it is a definite quadratic form, otherwise it is an isotropic quadratic form.
Quadratic forms occupy a central place in various branches of mathematics, including number theory, linear algebra, group theory (orthogonal group), differential geometry (Riemannian metric, second fundamental form), differential topology (intersection forms of four-manifolds), and Lie theory (the Killing form).
Quadratic forms are not to be confused with a quadratic equation, which has only one variable and includes terms of degree two or less. A quadratic form is one case of the more general concept of homogeneous polynomials.

View More On Wikipedia.org
  1. ndege JOHN

    Ungejuaga mapema baada tu kumaliza form four ungeenda kusomea nini na wapi?

    Ni watu wachache ambao imewabidi kazi yao wanayofanya Kwa sasa waikubali tu Kwa sababu walijikuta wamesema vyuoni na inawapa Hela na ukizingatia uchache wa ajira ila wengi Kiukweli baada ya kumaliza form 4 hawakuwa na akili kama waliyonayo Kwa sasa. Binafsi ungenirudisha Tena form four 2012...
  2. Daspauls 238

    Nimemaliza kidato cha nne, napenda kusoma MD

    Matokeo yapo kama hivi Civ C Bio C Chem B English B Phy D Math D History B Kisw B Nitumie njia ipi ili nitimize ndoto yangu ya MD kupitia Diploma ya clinical medicine
  3. The dumb Professor

    Nina dogo amemaliza Form Four, nimpeleke shule/chuo gani?

    Wakuu, Naombeni ushauri. Nina dogo amemaliza form four, je nimpeleke shule/kozi gani kwa ajili ya future yenye uhakika? Ana division 1 ya 10 NB: uwezo wa kumsomesha chochote popote upo.
  4. Execute

    Matokeo ya Kidato cha Nne yamenikumbusha wakali hawa wa mwaka 2005 kutokea kule Mbeya

    Basi enzi zile kuna mitihani ya darasa la saba ikijumuisha shule za Maanga, Sinde, Mwenge, Nzovwe, Ilemi, Muungano na Ruanda nzovwe kulikuwa na wakali wao mwaka 2001. Stephen Swetala, Ibrahim David, Daudi Mwala, Goodluck Mlwilo, Diligent Mmbaga, Wilson Ngole, Mbawala (wa muungano) na yule jamaa...
  5. Mufti kuku The Infinity

    TBT: Ulipokea matokeo yako ya Form Four ukiwa wapi, na ilikuwaje?

    Mimi ilikuwa mwaka 20__. Nilikuwa zangu nyumbani nimetulia naperuzi tu. Ila nilifurahi sana. Yako yalikukutia wapi, na ilikuwaje?
  6. Gordian Anduru

    Bwana Ahmed Ally Sisi tuliofeli Form Four Tuhame Simba?

    Kwa masikitiko makubwa nawasilisha malalamiko yangu dhidi ya msemaji wa Simba. Amekuwa akitukandia sana Form Four Failure Kwenye spichi sake. Sasa Sisi mashabiki wa kolowizard tuliofeli Form Four Tuhamie Yanga?
  7. The Boss

    Hadi kijana wa Tanzania anamaliza form four anatakiwa ajue haya yafuatayo...

    Nafikiri sasa wakati umefika kurekebisha mitaala iweze kum equip kijana na maarifa mbali mbali ya sasa....ili akiingia mtaani aweze moja Kwa moja kuchangia maendeleo na sio kugeuka mzigo wa na kuanza tena kupewa "training" ili aweze Ku fit in... Hizi trainings vijana wapewe kabla hawajamaliza...
  8. male issa yahaya

    Kwa ufaulu huu wa Form Four kozi ipi yapasa nisomee na ajira zake bado zina patikana?

    Mimi ni mwanafunzi nilie maliza kidato cha nne naomba kuulza ni kozi ipi nzuri ya ajira naweza kusomea na ikawa rahisi kuajiriwa au kujiajiri yani ambayo bado ina fursa nzuri za ajiraa.
  9. Naanto Mushi

    Ndugu yangu ana C mbili na D tatu ila ana division 4 form four, ataweza kwenda advance ya hata private?

    Aisee kuna huyu ndugu yangu mtoto wa mjomba alimaliza form four mwaka jana sasa alipata division four. Ila ana C mbili na D tatu, nipo naulizia kama zinaweza kumtosha kwenda form five hata ya private, nataka kujitolea niwekeze kwake hata aweze kusoma kama ataweza kwenda form five. Kingine kama...
  10. Kaveli

    Job Ndugai: Kwenye negotiations lazima upeleke 'brains' zako, first class thinkers. Form four (Makarai matupu) ataenda kunegotiate nini?

    "....Kwenye negotiations tukae vizuri watanzania. Yako mambo ambayo lazima upeleke 'brains' zako. Siyo unapeleka Senior mwenye 'gentleman degree' na form four alipata 'makarai' matupu, ataenda ku-negotiate nini? Haiwezekani" -Kaveli-
  11. Pascal Ndege

    Elimu ya form four iongezwe masomo zaidi, kuna maprofesa hawajui umuhumu wa kusoma topic electrolysis na electroless

    Nimekutana na professor mmoja mbobezi katika kupractise na kufundisha sheria shule kuu ya sheria chuo kikuu Dar es salaam katika hotel Moja hapa Kariakoo. Ghafla tulifikia mada ya ubora wa elimu Tanzania. Nikamwambia watoto wanamaliza wapo weupe na mbaya zaidi hawajui hata haki zao. Akaniambia...
  12. B

    Ukipoteza cheti cha kuzaliwa cha Form Four na Form Six unaweza kupata kingine?

    Nimepoteza cheti changu cha form four, kuzaliwa na cha form six Wana JF, naomba mnishauri nitumie njia zipi kupata vyeti vyangu tena. Nimeshaenda police kutafuta loss report
  13. Dr Matola PhD

    Naomba kuuliza, hivi ni lini wanafunzi waliofanya vizuri mitihani ya form four 2023 watatowa selection ya shule walizopangiwa A level?

    Anajuwa humu kuna wadau wa mambo yote, matokeo ya form four yalishatoka na kila muhusika anajuwa ana division gani. Sasa nataka kujuwa ni lini serikali itatangaza selection ya shule za serikali kwa waliofanya vizuri?
  14. stineriga

    Nafasi za kazi vijana wawili form four na wanojua kutumia computer

    NAFASI ZA KAZI Posts: 2 -Elimu kuanzia form four -Uwe unajua kutumia computer, nb kama hujui computer usiombe plz -Ukiwa na certificate ya computer ni kigezo cha nyongeza -Kama una degree au diploma hatukuhitaji usiombe plz -Location ya kazi ni Dar es salaam -Jinsia ya kiume tu -Umri...
  15. G

    Hii namba ni form four EQ2022001273.2018?

    Hizo namba hapo juu nimekuwa nikiziona kwenye admission za vyuo mbalimbali kama Index number. Naomba kuelimishwa ni namba za form four mpya au ikoje?
  16. Sangatitti

    Chanzo Cha Masifuri form four ni lugha ya Kingereza

    Mwanafunzi mwenye uelewa mzuri wa lugha ya kingereza hata asipoingia darasani mwaka mzima hawezi pata sifuri katika mtihani wa kidato cha nne. Wewe mzazi ebu hakikisha Mwanao unamjenga katika msingi Bora wa kufahamu kughq ya malkia . watu .wengi wamenifata pm ili niwape ushauri bada ya...
  17. Sangatitti

    Waziri wa Elimu wekeni matokeo kwa majina ya form four

    Ili tuone unaupiga mwingi ebu weka matokeo kwa Majina ndo tuamini upo serious na Kazi yako. Watoto huku uswahilini wanataja taja tu namba za uongo wakati wamepata zero na mbaya wanadanganya wazazi wao.
  18. Z

    Matokeo ya kidato cha nne yamegoma kutoka?

    Miaka mitatu hii matokeo yamekuwa yakitoka mwanzoni mwa January. Kunaa nini kimewasibu NECTA mwaka huu. Nini kinaendelea huko NECTA?
  19. Naanto Mushi

    No offence, ila tunaoishi na wanawake form four na la saba, tunakula maisha sana

    Mwaka wa tano huu sasa, hakuna mba mba mba wala nye nye nye! Namshukuru Mungu. Sijui ni kwanini ipo hivi, no offence pia kwa wanawake wenye degree zenu. Ila mimi nazungumzia sisi tuliooa form four na la saba, yaani kwa kweli, hata kama huyu mwanamke ana makando kando, ila life lipo poa sana...
  20. Unique Flower

    Form four ulifaulu, njoo tudhibitishe Hili

    x²+16x+15=0 what is the value of x
Back
Top Bottom