Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,122
- 6,205
Wanafanya haka katoto kaonekane special sana wakati wamekaacha mbaliIn short freya, Joshua na huyu sheridah hakuna anachofanya kwa kweli wengi wamezingua Bora hata yule aliyeimba taarabu
Wanafanya haka katoto kaonekane special sana wakati wamekaacha mbaliIn short freya, Joshua na huyu sheridah hakuna anachofanya kwa kweli wengi wamezingua Bora hata yule aliyeimba taarabu
MuonekanoHawa wanaona nini kwa Sheridan?
Kwakweli maana anaonekana ana yake moyoniAbbah angemchukua sheridah toka top 15
Wametujazia nafasi tu
Labda.Muonekano
Kucheza
Na kuimba kidogo maana muziki wa studio hauzingatii sana sauti
KweliPraise should take things easy... Atabeba. Asioverreact.
Kaperform kawaida ila kabebwa na shangwe na watu wa Mbagala, magomeni kwahiyo ni ngumu kwake kutokaAmenikera sana
Mitaarab ilimtoa kipindi kile
Anarudia tena kuimba wakati ni mkali sana kwenye Nyimbo za kiingereza
AtatokaKaperform kawaida ila kabebwa na shangwe na watu wa Mbagala, magomeni kwahiyo ni ngumu kwake kutoka
Kweli kabisa yeye anaafadhali kuliko hao wengineIla bora yeye kidogo hao wengine ndo kabisaaa!
Abbah anadata na shepu la sheridah au sio? 😀😀😀
Alitakiwa atoke tip 15Kwakweli maana anaonekana ana yake moyoni
Samarellah hawezi kutoka performance yake ina unafuu kuliko wengine waliperform ukimtoa PraiseSheridah
Joshua
Samarelah
Watatoka
Ngoja tuoneAtatoka
Zile kelele hazibadili chochote kwenye kura za majaji
Ameimba vibaya
Hakika.Hadi Sasa
Namuona mshindi ni Praise
Kwa hizi performance zote walizofanya.
Leo Praise anastahili kushinda.
Bora umeamua kuwa mkweliHadi Sasa
Namuona mshindi ni Praise
Kwa hizi performance zote walizofanya.
Leo Praise anastahili kushinda.