Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,509
- 235,214
- Thread starter
- #141
Bella kamzidi SoulMbona nimeona walioperformed level za chini kama sheridah, Bellah na madancer
Bella kamzidi SoulMbona nimeona walioperformed level za chini kama sheridah, Bellah na madancer
KajichanganyaFreya ni mkali sana, ila Bolingo kelele nyingi. Akitaka Kuimba za kikongo labda achague Rhumba maarufu Kali sana, labda Mayday ya iPupa, halafu aitendee haki.
Yaani ni sawa na kubadilisha gia katika ya Mlima, itakupalia tu.Leo amenikera.
Huwezi imba kitu kipya final
Kitu ambacho hujawahi kufanya
Leo ameni disappointFreya kitachomkosesha ushindi ni machaguo ya nyimbo
Angeenda na nyimbo zake zile zile tulizozozoea
Wakati huu watu wanataka kuappriciate kweli kuwa unajua Kuimba, sio kelele.Hizi nyimbo za makelele zinaminya sauti zao, zitawaponza wengi
Huwa namkubali Joshua gully, japo sio kumzidi yule mkongo mwenzie, ila leo nae sijaelewa kazi yakeLeo kila mtu amepanic
Anataka acheze cheze
Sijui sijui ndo kutafuta kelele za mashabiki
Hii ya mwaka huu haituhusu hakika, kumpa Sofia umuache Freya ni kuubaka Muziki, Samarellah aliporudi ndio alikuwa tumaini pekee, ila naye kaharibu na Muziki wake Pwani.Watanzania kushinda hizi hela
Labda tuibe kama CCM
Ona huyu anaenda kujichanganya na mitaarabu🚮
Sure. Sio unaimba halafu sauti za wasaidizi ndo zinasikika kukuzidiWakati huu watu wanataka kuappriciate kweli kuwa unajua Kuimba, sio kelele.
Hata Sofia anatakiwa aimbe na afanye commercial hiphop
Amenikera sanaHii ya mwaka huu haituhusu hakika, kumpa Sofia umuache Freya ni kuubaka Muziki, Samarellah aliporudi ndio alikuwa tumaini pekee, ila naye kaharibu na Muziki wake Pwani.
Wamepanic kweli.Ila hii round ya pili wengi wamezingua
In short freya, Joshua na huyu sheridah hakuna anachofanya kwa kweli wengi wamezingua Bora hata yule aliyeimba taarabuHuwa namkubali Joshua gully, japo sio kumzidi yule mkongo mwenzie, ila leo nae sijaelewa kazi yake
Wote hamna kituIn short freya, Joshua na huyu sheridah hakuna anachofanya kwa kweli wengi wamezingua Bora hata yule aliyeimba taarabu
Ila bora yeye kidogo hao wengine ndo kabisaaa!Amenikera sana
Mitaarab ilimtoa kipindi kile
Anarudia tena kuimba wakati ni mkali sana kwenye Nyimbo za kiingereza
Abbah angemchukua sheridah toka top 15Ila bora yeye kidogo hao wengine ndo kabisaaa!
Abbah anadata na shepu la sheridah au sio? 😀😀😀