Bongo Star Search Season 16 Special Thread

Bongo Star Search Season 16 Special Thread

Shida wengine wengi wamezingua, round hii waliofanya vizuri ni Comedian na Praise tu.
Nafikiri waliobaki watajitafakari kutuliza wenge na Kila mtu kufanya katika namna zao Bora.
Hadi Sasa praise amekuwa na round 2 Kali mfululizo
Round ya kwanza amekuwa wa 2 kuperformance
Round ya 2 anaongoza. Huku wenzie round zote wsmepotea

Hata ya 3 aliboronga back atashinda
 
Back
Top Bottom