Yeeahh, wakitumia wastani wa alama kwa Kila round yeye zote amefanya vizuri, na sidhani kama ataharibu hii ya mwisho.Hadi Sasa praise amekuwa na round 2 Kali mfululizo
Round ya kwanza amekuwa wa 2 kuperformance
Round ya 2 anaongoza. Huku wenzie round zote wsmepotea
Hata ya 3 aliboronga back atashinda
Wamezingua sana ila performance zao za nyuma walifanya vizuriHawa dancer kuendelea kuwepo inathibitisha uchawi upo, naona wanarukaruka tuu sielewi wanafanya nn
Yeeahh, wakitumia wastani wa alama kwa Kila round yeye zote amefanya vizuri, na sidhani kama ataharibu hii ya mwisho.
Anabeba, labda Rita azingue, maana eti alikuwa anamuhoji Koy kwanini azingatie alama za kwenye karatasi.
Mm sijafatilia sana haya mashindano, ila kwa hapa naona wanarukaruka tuu, hapo walipofika n uchawi tuuWamezingua sana ila performance zao za nyuma walifanya vizuri
Huyo comedian ni mkali ndio angalau snamsogelea Praise kwa performanceHao dancers na Comedian wawape zawadi zao
Wanatuchosha.
Tubaki na waimbaji
Comedian round 3 zote amefanya vizuri sanasana.Huyo comedian ni mkali ndio angalau snamsogelea Praise kwa performance
Yah jamaa anajua sanaIla huyu comedian ni noma sana, sema tu Kuna wa Muziki ndani yake.
Freya ni mzuri lakini choice of songs nizilikuwa zinamuangusha kupendwa na watanzania na ndio maana sijawahi kumchukulia ni mshindani wa PraiseNi final tu
Ila kabla ya final alikuwa na ushindani mkubwa sana
Kiuwezo Freya ni mkali sana zaidi yake
Ilahajachanga karata zake vizuri Leo
Ameona ahamie kwenye minyimbio ya kelele ambayo haipimi uwezo wake kuimba.
Ana zawadi yake nadhani haihusiani na Hizi helaHuyo comedian ni mkali ndio angalau snamsogelea Praise kwa performance
Watanzania wanamkubali sanaFreya ni mzuri lakini choice of songs nizilikuwa zinamuangusha kupendwa na watanzania na ndio maana sijawahi kumchukulia ni mshindani wa Praise
Nyimbo anazochagua sio maarufu hiyo ndio shida yakeFreya kingine kitakachomnyima ushindi pia ni taifa lake
Mwaka jana alishinda Mcongo
Mwaka huu watanyima Mcongo