Hulda-Tamarri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 2,537
- 3,696
1. Praise
2. So Fire
3. Awe yoyote
2. So Fire
3. Awe yoyote
Labla vingunguti got talent 😂Wanakwambia wanajiandaa kwenda American got Talent😂
Wamebebwa mpaka final walitakiwa watoke muda tu
Hawajabebwa Wana uwezo na ni wabunifu ndio maana wamefika hapo ila performance ya Leo wamezinguaWanakwambia wanajiandaa kwenda American got Talent😂
Wamebebwa mpaka final walitakiwa watoke muda tu
Hamna kitu hapo bhanaHawajabebwa Wana uwezo na ni wabunifu
Khekhekhekhe🤣Hawajabebwa Wana uwezo na ni wabunifu ndio maana wamefika hapo ila performance ya Leo wamezingua
Noma sana aiseeHuyu praise angezaliwa mbele, ah Adele Huyu hapa kabisa
Naona Praise atashinda japo naumia😎Praise au so fire mmoja anakuwa mshindi
Binafsi naenda na praise
Uimbaji wake sijawahi kuuelewaMshindi akichaguliwa kwa kigezo cha kuimba tuu, bc praise anasepa na pesa zetu 🙌
Hawajamzidi, ila wimbo si maarufu.Wimbo wamwisho aliouchagua huyu binti praise wenzie wamemzidi. Japo kipaji kikubwa.
Labla hujui kitu kizuri kudadekiUimbaji wake sijawahi kuuelewa
That's is pure singerNaona Praise atashinda japo naumia😎