Imenikumbusha aisee ilikuwa motoMasudi kipanya alifeli wapi na Maisha plus?
Sana, nlikuwa nashabikia sana kipindi kile,,Imenikumbusha aisee ilikuwa moto
Watoe comedian na dancersTop 3 yangu.
1. Yule demu wa UG
2. Yule demu wa mbeya anayechana
3. Comedian
Mshindi ni UG
Eh kumbe 😳Watoe comedian na dancers
Hii m50 ni ya waimbaji tu
WafadhiliMasudi kipanya alifeli wapi na Maisha plus?
Kwa kipindiki kile? Hivi sasa wafadhili ni wengi,, angefanya jamboWafadhili
Sijui alifikia wapiKwa kipindiki kile? Hivi sasa wafadhili ni wengi,, angefanya jambo
NdiyoEh kumbe 😳
Kakumbuka shuka dk za mwishoDah, Freya alijiharibia hakika. Ilikuwa anamaliza huu mchezo mapema kabisa. Too late sasa, sidhani kama hii itatosha.
Huu sada muziki wa Taratibu ndio wa kwakeDah, Freya alijiharibia hakika. Ilikuwa anamaliza huu mchezo mapema kabisa. Too late sasa, sidhani kama hii itatosha.
Hakika! Ni mkali sana, sema alizingua na sebene lake.Kakumbuka shuka dk za mwisho
Kwa kweli ameua sanaBest performance from Freya🔥🔥🔥🔥🔥
Ni 💥💥💥💥💥💥💥Best performance from Freya🔥🔥🔥🔥🔥
Wanakwambia wanajiandaa kwenda American got Talent😂Kwahy hawa dancer wanajiona wanajua 😂