Bongo Star Search Season 16 Special Thread

Wabongo kwa kutia maboko 🙌

Huyu shaira cjui shaila, c alishamaliza nafasi yake, vp tena wanamrudisha kuperform

C bora wangemuweka wa mwisho hukooo aimbe huku watu wanaondoka

Nyimbo yenyewe baya 😂
 
Nyimbo za watu alikua anaimba huku kachangamka ya kwake kasimama kama mlingoti
 
Wabongo kwa kutia maboko 🙌

Huyu shaira cjui shaila, c alishamaliza nafasi yake, vp tena wanamrudisha kuperform

C bora wangemuweka wa mwisho hukooo aimbe huku watu wanaondoka

Nyimbo yenyewe baya 😂
Class ya huo wimbo imezagaa tu mtaani, anatakiwa kukaza sio kufanya kama wengine.
 
Hawajamzidi, ila wimbo si maarufu.
Kwasababu upimaji ni subjective. Unakua sahihi pia kusema hivyo.
Binafsi wimbo huu haujanionesha kipaji chake ninachokijua. Na kama angekua anafanya ivi hatua zote, sidhani kama angefika huku
 
Abbah sasa ajitahidi kumjenga Sheridah, atatoboa maana pia sio mbaya kihivyo. Uwezo anao. Akiweka bidii atatoboa.

All the best kwake ❤️❤️
 
3rd round performance
1 Freya Bellamy
2 Samarelah
3 Praise
4 Sophia
 
Kwasababu upimaji ni subjective. Unakuakua sahihi pia kusema hivyo.
Binafsi wimbo huu haujanionesha kipaji chake ninachokijua. Na kama angekua anafanya ivi hatua zote, sidhani kama angefika huku
Praise n pure singer, huyu demu n mburudishaji kwa maneno, tofauti na wengine wanaweza na kuchangamsha.

Ndo mana kuna comment yangu nimesema, mshindi akichaguliwa kwa kigezo cha kujua kuimba tuu, bc praise anashinda hii mchana kweupe, ila wakise waangalie kuimba na kuchangamsha bc anaweza kushinda so fire.
 
She's good
Anajua basics za muziki maana amepita hadi THT
OH kama n hv bc safi, japokuwa sioni future kwake.

Ila kumanage mwanamke kimuziki sio kazi ya kitoto, Abbah ana kazi kubwa sana kwake, wakike n mwepesi sana kutoka kwenye reli.

Maybe kwakuwa amepitia THT anaweza kusogea mbele.
 
Praise n pure singer, huyu demu n mburudishaji kwa maneno, tofauti na wengine wanaweza na kuchangamsha.

Ndo mana kuna comment yangu nimesema, mshindi akichaguliwa kwa kigezo cha kujua kuimba tuu, bc praise anashinda hii mchana kweupe, ila wakise waangalie kuimba na kuchangamsha bc anaweza kushinda so fire.
Waichagua kigezo kwa kigezo cha kuimba
Basi mshindi ni Freya

Wakichagua kigezo cha selection ya songs
Praise ni Mshindi

Wakichagua mshindi Kwa kigezo cha uburudishaji Sophia atashinda

Kwa kigezo cha Sauti nzuri
Samarellah ni Mshindi
 
K
Tupo pamoja! So fire alitakiwa kushindana na Praise ila kutofata maelekezo kumemfanya ashuke.

Aliambiwa fanya rap huku unaimba ila kakazania kurap tupu ila huwa anakua wa moto akimix
Kabisa. Anakuwa mtamu aliumba na kurap, tena rap ya taratibu. Sasa yeye kakomaa na rap kelele.
 
Tupo pamoja! So fire alitakiwa kushindana na Praise ila kutofata maelekezo kumemfanya ashuke.

Aliambiwa fanya rap huku unaimba ila kakazania kurap tupu ila huwa anakua wa moto akimix
Hajui kuchagua nyimbo
Hiphop ndo muziki una hitsong nyingi sana
Aemfeli kuzichagua
 
Tupo pamoja! So fire alitakiwa kushindana na Praise ila kutofata maelekezo kumemfanya ashuke.

Aliambiwa fanya rap huku unaimba ila kakazania kurap tupu ila huwa anakua wa moto akimix
Yah so fire n rahisi kumu-win mana yeye yupo na style moja tuu, anyway anajua kuwainua watu
 
Back
Top Bottom