Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,518
- 235,235
- Thread starter
- #281
Analazimisha arap harakaK
Kabisa. Anakuwa mtamu aliumba na kurap, tena rap ya taratibu. Sasa yeye kakomaa na rap kelele.
Analazimisha arap harakaK
Kabisa. Anakuwa mtamu aliumba na kurap, tena rap ya taratibu. Sasa yeye kakomaa na rap kelele.
Ana nidhamu piaOH kama n hv bc safi, japokuwa sioni future kwake.
Ila kumanage mwanamke kimuziki sio kazi ya kitoto, Abbah ana kazi kubwa sana kwake, wakike n mwepesi sana kutoka kwenye reli.
Maybe kwakuwa amepitia THT anaweza kusogea mbele.
Kwa Abbah n sawa, ila kwa S2kizzy hamfai, mana S2kizzy amezoea kuoiga ngoma za ukichaa na sheridah haziwez hizoKumbe hizo pigo za Sheridah ndo anazozipenda Abbah!
Huyu anachanganya miziki tuu, Ila hakuna ile ladha ya kitu kizuriHuyu dj ally b watu wanamjaza tu
Naona hamna kitu kila siku nyimbo anazomix ni zilezile tu
Mimi nikiamua kumpa yeye, ni kwasababu kwa umri wake ameshindana na walinolewa kwenye umri na maisha na bado ameonekana, hawajamficha.Praise n pure singer, huyu demu n mburudishaji kwa maneno, tofauti na wengine wanaweza na kuchangamsha.
Ndo mana kuna comment yangu nimesema, mshindi akichaguliwa kwa kigezo cha kujua kuimba tuu, bc praise anashinda hii mchana kweupe, ila wakise waangalie kuimba na kuchangamsha bc anaweza kushinda so fire.
Mixing yake haina vibe zaidi ya makelele na kulazimisha watu wasimameHuyu anachanganya miziki tuu, Ila hakuna ile ladha ya kitu kizuri
Kwenye Muziki kikubwa ni nidhamu na Ubunifu. Staili ya wimbo wake ni failure, ni staili ile ya majaribio ya waimba taarabu Kuimba bongo fleva, haikufua dafu.Ana nidhamu pia
Na ana kiu ya kufika mbali
Amepambana sana
Praise mwenyewe kanolewa sana tu! Huko kwao ni mwanamuziki nina video ya nyimbo yake aliyorecord akiwa na miaka 4Mimi nikiamua kumpa yeye, ni kwasababu kwa umri wake ameshindana na walinolewa kwenye umri na maisha na bado ameonekana, hawajamficha.
Ila ukiniambia nichukue kipaji kilicho tayari kiuimbaji, namchukua Freya. Ila naona dalili zote zakupewa praise.
😃😃😃Kwenye Muziki kikubwa ni nidhamu na Ubunifu. Staili ya wimbo wake ni failure, ni staili ile ya majaribio ya waimba taarabu Kuimba bongo fleva, haikufua dafu.
Aivishe vionjo vya Kisasa kuipendezesha.
Freya amezingua Leo tu uchaguzi wa wimbo, ila kimuziki Yuko Bora kuliko wote. Sema sasa kinachoangaliwa ni alama zao kwa siku ya Leo.Mimi nikiamua kumpa yeye, ni kwasababu kwa umri wake ameshindana na walinolewa kwenye umri na maisha na bado ameonekana, hawajamficha.
Ila ukiniambia nichukue kipaji kilicho tayari kiuimbaji, namchukua Freya. Ila naona dalili zote zakupewa praise.
Selection ya songs Kwa praise Hii nakataa.Wakichagua kigezo cha selection ya songs
Praise ni Mshindi
Subir tupate matangazo wa wadhamini wa wauzaji wa dawa za kuua mbu 😂Huyu Dj nae mjinga mjinga tu.
AbsolutelyWaichagua kigezo kwa kigezo cha kuimba
Basi mshindi ni Freya
Wakichagua kigezo cha selection ya songs
Praise ni Mshindi
Wakichagua mshindi Kwa kigezo cha uburudishaji Sophia atashinda
Kwa kigezo cha Sauti nzuri
Samarellah ni Mshindi
Umeyaangalia mashindano toka yameanza?Selection ya songs Kwa praise Hii nakataa.
Praise anaimba ngoma ambazo kibongo Bongo sio maarufu au hatuzijui, kinachombeba n English na kujua kuimba.
Na hii ndo inanifanya nimpe namba moja.
Anawatangazia boxer 😀😀Subir tupate matangazo wa wadhamini wa wauzaji wa dawa za kuua mbu 😂
Ah bc huyu ndo mtu sahihi kwa haya mashindano sasa, h ndo tunataka saaaPraise mwenyewe kanolewa sana tu! Huko kwao ni mwanamuziki nina video ya nyimbo yake aliyorecord akiwa na miaka 4
Sio tangu yameanza, but ilikuwa nikipata nafasi, so n kama 50% nimyafatilia.Umeyaangalia mashindano toka yameanza?
Ila mziki wake kwa hapa bongo n mziki wa kawaida sana aiseeAna nidhamu pia
Na ana kiu ya kufika mbali
Amepambana sana