Bongo movies...

Bongo movies...

Daaaah mi sijui coz sinaga muda wa kuangalia hii mambo!!!!
 
mwanamke anamuwekea sumu mumewe kwenye kikombe cha chai anaonja kidogo aone kma imekolea then anamuwekea ila cha ajabu mume akinywa anakufa
Uwiiiiioeeee yeuwiiiiiiii, jaman we Muongo sijawah ona
 
Ni katika bongo movies:
1. Majeruhi na maiti zinabebwa kwa mikono mitupu.
2. Maiti zinatetemeka macho
3. Ukitaka kucheka zaidi angalia scene za kipelelezi na za kimahakama.
4. Aliyepigwa risasi ana damu kama sample ya kupimia malaria.
5. ...endelezeni wenyewe mi bado naangalia.
lahaula umenichekesha saaaana pale mzuka ama ghost unapotizama huku na huko ili uvuke barabara .jambazi linapovua viatu linaingia kuiba sehemu................. chineeeke
 
akiwa na hasira anangalia vitu vya kuvunja kama glass bakuli sahani
 
Miaka kama mitano nyuma nilinunuaga bongo movie kama tatu hivi kwa nyakati tofauti, nilidhani ntapata burudani! Kila niliyonunua ilizidi kuniboa zaidi nikaweka mipaka kuwa ntanunua tena baada ya miaka 10 ijayo labda watakuwa wameboresha. Kumbe mpaka leo ni yale yale! Utakuta filamu inatengenezwa na watu wasifika watano. Staring mpaka Dereva ni huyohuyo!

Mademu wa humo ni kuuza sura tu hawana uhalisia wowote action zao, wana act kwa kunatanata na kujishebedua ili kukuza soko la sura! matokeo yake wanaishia kuwa punda wa unga!
Sio punda wa unga Mkuu,wanaishia kuwa nyumba ndogo za WAHESHIMIWa,yaani full kuvaa uchi uchi na kuvaa nguo zenye kutikisa ZE TIGO.
 
hahaha! Loh mbafu sangu miye!
Mamii ,basi mimi nikajua wewe matawi fulani ,kumbe na wewe huwa unaangalia movie za house girls wetu,mimi house girl wangu huniambia"BABA NIMEMALIZA KAZI NAOMBA UNIWEKEE SENEMA ZA KINA WEMA SEPETU NIANGALIE",basi na mimi namuwekea hayo madudu,anafurahi mpaka anasahau kwao Kimbiji.
 
Hivi nani wanaotengeneza yale sponsored maigizo kama SIRI YA MTUNGI (correct me kama nimekosea title). Yale maigizo ni mazuri sana na yako very realistic n ukitizama huwezi kutoa kasoro. Bongo movies wanashindwa nini?
Siri ya mtungi,yale ni maji marefu,muhusika Mkuu ni Mzungu aliebobea katika biashara hiyo.
 
Ni katika bongo movies:
1. Majeruhi na maiti zinabebwa kwa mikono mitupu.
2. Maiti zinatetemeka macho
3. Ukitaka kucheka zaidi angalia scene za kipelelezi na za kimahakama.
4. Aliyepigwa risasi ana damu kama sample ya kupimia malaria.
5. ...endelezeni wenyewe mi bado naangalia.


Yaani hawana ubunifu wowote Zaidi ya kupigana miti location tu. Acting is so childish kama Ze Comedy vile, yaani mtu ana act anaonekana kabisa kuwa huyu hapa ana act. Wamenichosha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom