Bongo movies...

Bongo movies...

Polisi anamkimbiza jambazi lakini anajipoint bastola..... Just in case
 
..hivi lazima mlinzi mlangoni awe anachekesha au anafanya vituko visivyoeleweka?..sijawahi ona mlinzi ana akili timamu..
 
Ni katika bongo movies:
1. Majeruhi na maiti zinabebwa kwa mikono mitupu.
2. Maiti zinatetemeka macho
3. Ukitaka kucheka zaidi angalia scene za kipelelezi na za kimahakama.
4. Aliyepigwa risasi ana damu kama sample ya kupimia malaria.
5. ...endelezeni wenyewe mi bado naangalia.
m.e.m.a 'nilikuwaga' hewan kwa id ya nelly nely sijui ilitokea nini!niko hewani kwa id hii
 
Kulaleki kina ile ina itwa ngoma nzito ya mtanga mungu wangu, nliangalia kwny banda la video nusu nilie kwann nltoa hela yangu, na mzimu wa kinyonga yan hawa watu cwaelew kabisa
 
Kulaleki kina ile ina itwa ngoma nzito ya mtanga mungu wangu, nliangalia kwny banda la video nusu nilie kwann nltoa hela yangu, na mzimu wa kinyonga yan hawa watu cwaelew kabisa

Bongo movie kaka ukalipia kabisaa!! Bora ungeangalia movie ya wanyama.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom