Bongo movies...

Bongo movies...

Mimi umaliziaji wake tu, hoi! Sijui hawajasoma kiswahili (maigizo)

Sidhani kama kuna aliyesomea sanaa. Ukiwa na kaumaarufu tu hata ka mavazi tayari wewe ushakuwa muigizaji. Baada ya movie 3 basi director au script writer!
 
Sidhani kama kuna aliyesomea sanaa. Ukiwa na kaumaarufu tu hata ka mavazi tayari wewe ushakuwa muigizaji. Baada ya movie 3 basi director au script writer!
Hhahahaha, kama Steve shabiki wa Yanga, mana hata kulia hawezi, tayari yupo bongo movie, kaazi kweli kweli.
 
Hhahahaha, kama Steve shabiki wa Yanga, mana hata kulia hawezi, tayari yupo bongo movie, kaazi kweli kweli.

Sasa hapo kitatokea nini kama sio style za kulia tu hapo.!
 
6. Asubuhi demu anatoka usingizini kajipodoa
7. mwizi lazima awe na sura ngumu na avae miwani na koti kubwa
8. kipande kimoja mtu anaonyeshwa anatoka nyumbn barabarani mpka ofisi zaidi ya dk 30
9. tajiri kupenda maskini
10. Tajiri anavaa suti mwanzo mwisho
 
Samahani lkn iv wasanii hawaoni fursa nn. Wanashindwa kutengeneza muvi kupitia tukio la wastegate, mafisadi tanzania, shekh ponda, kapuya, madawa ya kulevya tanzania, mambo ya polisi ccm, kimbunga, na hata mauaji ya tembo na kushamiri kwa wachina na wahind bongo
 
Samahani lkn iv wasanii hawaoni fursa nn. Wanashindwa kutengeneza muvi kupitia tukio la wastegate, mafisadi tanzania, shekh ponda, kapuya, madawa ya kulevya tanzania, mambo ya polisi ccm, kimbunga, na hata mauaji ya tembo na kushamiri kwa wachina na wahind bongo

Kapuya style ipo ya JB, Anti Ezekiel na yule jamaa anaefanana fanana na Hemedi...cjui nani yule...ok ni Mlela. Title yake siikumbuki. Ya madawa nayo ipo ambayo Steve Nyerere ni gateman (fyatu fyatu kama kawaida ya magate man wa bongo movie)..title nayo siikumbuki.

Hawa wanapenda visa rahisi rahisi tu..jambazi kaua wanafamilia, tajiri kampenda maskini, mapenzi, na 'ok ok'.
 
Tatizo lao kubwa shule ndogo wanalazimisha fani ya uigizaji wanachojua ni kuigiza mapenzi. Jamii inasumbuliwa na rushwa, huduma mbovu za elimu maji afya hata hawa wa bongo fleva nyimbo asilimia 99 ni mapenzi sasa wanafundisha nini kwa Jamii RIP Kanumba
 
Kitu ambacho sipendi ni waigizaji masharobaro... Wewe mtu yuko kijijini, kavaa mlege (hata kama ni kaptula chafu chafu but mlege upo pale pale), halafu wave kichwani, na pete vidoleni... uhalisia hakuna...

Au unakuta sistaduu anaigiza, katoka kuamka asubuhi, lakini usoni ana make-up mbichi kabisa ambayo inaonekana katoka kuiweka...
 
5. Starring ametoka kijijini, +
6. Kafika ubungo bus terminal wakamuibia
7.Katokea demu tajir kamsaidia.
8. Kawa houseboy/girl badae baba mwenyenyumba
9. Kawa bosi ofis kubwa mjini
10. Anatembea na mke,mume au mtoto wa bosi.
11. Kumpiga mtu kofi inapelekwa slow motion
12. Wanaongea kama wanasoma maelezo ya mchezo eg. John - kwaniiini unautesa moyo wangu ivi.
13. watakaokuwa wanaishi kijijini lazima nguo ziwe zimechanikachanika.
14. Wahusika wanaongea taratibu ili kupoteza muda muvi iwe ndefu.
15. Amepania kwenda kuanzisha ugomvi, anafika anabisha hodi anamuuliza housegrl mama nimamkuta.
16. Usiombe kuona kipande aka scene ya mtu kashtushwa na jambo mpk kazimia. Utazimia mtazamaji.
16. Nyingine copy and paste za ki-nigeria au ghana
Wanajf nimestaaf kwa hiyar kuangalia
 
tukio linalofuata mtazamaji unalijua kabla hata hajafikia,mlinzi wa geti lazma awe kama hazimtoshi
 
Kahaba lazima avute sigara.....jambaz lazma livae koti refu na miwan myeus....mganga wa kienyeji lazma awe porini,mchafu,halaf anaongea kwa ukali!

Amevaa shuka jeusi au jekundu......
Anacheka kimzimu mzimu
Usoni kapaka chokaa
 
Mapenz yanaanza pale mwanamke anapoharibikiwa na gari af mwanaume anatokea kumsaidia......au wanapopigana vikumbo,mafaili ya dem yakidondoka mwanaume anaokota fasta anampa af wanatabasamu...kwisha kazi!

Mussa Banzi huyo....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom