nelly nely
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 665
- 229
Nilikuwa jukwaa la siasa,huko kuna bongo muvi mpya imetoka jana,'steringi' hajulikani!
kila m2 anaipa jina lake,nahisi itakua ni 'series' maana cjui itaisha lini!wadau wote wamekimbilia kule toka jana,huoni kmya humu?me nilijiuliza nikaamua kuwasaka,kumbe wanaifatilia kwa makini kule!Hahahaha..hapo ss..! Inaitwaje hiyo?
kila m2 anaipa jina lake,nahisi itakua ni 'series' maana cjui itaisha lini!wadau wote wamekimbilia kule toka jana,huoni kmya humu?me nilijiuliza nikaamua kuwasaka,kumbe wanaifatilia kwa makini kule!
haina haja ya link,we zama jukwaa la siasa af pitia threads zote,ZINAFANANA!!ni povu mwanzo mwsho,utakereka tu!Hebu naomba link ya hiyo kitu...(thread link)
aaah wapi!Hata Hollywood walianza hivo hivo
aaah wapi!
polisi hawana sare ikitokea wamebahatisha kuzipata basi kachumbari yake utachoka,shati na suruali havifanani unajiuliza huyu ni askari wa malawi!!!
Wote manafanya biashara kwa kupitia bandari utasikia ''yale makontena yameshafika bandarini''
sema tumezid kuiga shine!Kweli tena sema sisis 2mezidisha ukiritimba
kwakwakwaaaaaaa!familia za kitajiri lazima ukute kuna ulinzi mkali kwa watt wa kike na wengi wao wanasoma nje ya nchi
polisi hawana sare ikitokea wamebahatisha kuzipata basi kachumbari yake utachoka,shati na suruali havifanani unajiuliza huyu ni askari wa malawi!!!