Bongo movies...

Bongo movies...

Dah! Ntaendelea kusoma kesho nikiwa na hasira tena!
 
Ha ha ha!!! Nimecheka sana
1. mtu katoka kuamka lakini uso una make up
2. movie ina muziki mkubwa hamsikii hata wanachozungumza
 
Ni katika bongo movies:
1. Majeruhi na maiti zinabebwa kwa mikono mitupu.
2. Maiti zinatetemeka macho
3. Ukitaka kucheka zaidi angalia scene za kipelelezi na za kimahakama.
4. Aliyepigwa risasi ana damu kama sample ya kupimia malaria.
5. ...endelezeni wenyewe mi bado naangalia.


Mtu anaweza kufikiria (kuwaza) zaidi ya nusu ya movie ........ Vile vile mtu anaweza kuoneshwa anatembea tuuuuu au analia tuuuuuuu zaidi ya dakika 10 au zaidi
 
Nyumba ya tajiri ina magari mengi ya kifahari..Mercedez, V8, BMW...halafu tajiri mwenyewe anatoka na corrola 110 au baloon. Tena kama kapigiwa kuwa kuna dharura anatoka ndani mbio na kuacha hayo yote kisha unaona anazama kwenye baloon.!!
 
Mwanamke analia umaskini ma watoto lakini kichwani ana nywele za elfu 50 na dhahabu mwili mzima
 
HAha wazee kweli mnakerwa na hawa jamaa sio wabunifu kabisa huwa yanakutana pale leders cijui huwa waongea nini
 
Hivi nani wanaotengeneza yale sponsored maigizo kama SIRI YA MTUNGI (correct me kama nimekosea title). Yale maigizo ni mazuri sana na yako very realistic n ukitizama huwezi kutoa kasoro. Bongo movies wanashindwa nini?
 
Hivi nani wanaotengeneza yale sponsored maigizo kama SIRI YA MTUNGI (correct me kama nimekosea title). Yale maigizo ni mazuri sana na yako very realistic n ukitizama huwezi kutoa kasoro. Bongo movies wanashindwa nini?

Siri ya mtungi katengeneza msomi dr visencia shule wa udsm...bongo movie ni uharo mtupu wala siangalii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom