Boko haram jana wameua 17 juzi 118

Boko haram jana wameua 17 juzi 118

vyanzo vyako vya habari ndio vilivyokufanya uendelee kuwa ndani ya box hadi leo.
Sept/11. Walikufa watu wangapi leo hii mwenye akili zake ataekubali kwamba ni osama bin laden ndie alie husika.

wewe tupe chanzo chako cha habari juu ya tukio hilo.
 
muulize tofyo ndie aliyetoa hoja hio!

mwenzetu umeinza weekend au. Yaani umeshasahau mara hii ulichokuwa unakiuliza Faiza Fox.

Mi nimeona mnamsumbua tu na hamtaki kuelewa na ndio maana nimeingilia,maana mimi huwa ni mwalimu wa mabubu na hakuna mtu mbishi kama bubu.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna dini inayoruhusu kuuliwa mtu asiyekuwa na hatia si uislamu wala ukristo wauwaji wako pande zote muache ushabiki wa kidini
 
kweli "kiswahi" ni kigumu, ila kiswahili rahisi sana, tufanye hivi: jeshi lililojaa waislamu kwa zaidi ya 70% la naijeria halina nidhamu!

nimeona nikuwekee

Unajuwa maana ya jeshi au unajisemea tu? pata darsa dogo:

Jeshi, liwe la kupigana liwe la polisi, maana yake ni nidham, na nidham ni kutii amri ya mkubwa wako, akisema piga wewe piga tu akisema uwa wewe uwa tu ukiuliza au ukikataa wewe ndio msaliti na unahukumiwa kijeshi na mkiwa kwenye "operation" unaweza kuuliwa wewe kwa kuto-kutii amri.

Kumbuka hilo.
 
from kogi, nigeria....In The History Of The
World Who Has Killed Maximum Innocent
Human Beings??? 1) "Hitler" Do You Know Who
Was He????? He Was a Christian, But Media Will
Never Say That Christians Are Terrorist!!!!! 2)
Joseph Stalin Called As Uncle Joe "He Has Killed 20 Million Human Beings Including 14.5 Million Were Starved To Death" Was He Muslim??? 3) Mao Tse Tsung (China) "He Has Killed 14 To 20Million Human Beings." Was He Muslim??? 4) Benito Mussolini (Italy) "He Has Killed 400 Thousand Human Being, Was He Muslim??? 5) Ashoka "In Kalinga Battle He Has Killed 100Thousand Human Being, Was He Muslim??? 6) Embargo Put By George Bush In Iraq 1/2 Million Children Has Been Killed In Iraq Alone!!!

Imagine This People Are Never Called Terrorist
By The Media. Why??? Today The Majority Of The Non Muslims Are Afraid By Hearing The Words

"Jihad" Jihad Is An Arabic Word Which Comes
From Root Arabic Word "Jahad" Which Means
"To Strive" Or "To Struggle" "To Strive Or
Struggle" Against Evil And For Justice, It Does
Not Mean Killing Innocents,The Difference is We Stand Against Evil , Not With Evil".
Much As u Can !!! You still think that ISLAM is the problem??? 1. The First World War 17 Million dead (caused by non-Muslim) 2. The Second World War 50-55 Millions dead (caused by non- Muslim) 3. Nagasaki atomin bombs 200000 dead (caused by non-Muslim)

4. The War in Vietnam over 5 Million dead (caused by non- Muslim)

5. The War in Bosnia/ Kosovo over 500000 dead (caused by non-Muslim)

6. The War in Iraq (so far) 1,2000,000 deaths (caused by non-Muslim)

7. Afghanistan, Burma etc (caused by non muslim) In cambodia 1975-1979 almost 3 million deaths (caused by non muslim )
Wapi Idd amini , SADAAM HUSAIN, Mzee GADDAFI HAO WALIKUWA WANAUWA WAISILAMU WENZAO, ANGALIA KINACHOENDELEA IRAN,ANGALIA SERIKALI YA PAKISTAN, Angalia TALIBAN group yani from now on naona uislam is not dini ni ushweatan
 
Huyo ni mola wako wa kifikirika lakini si wa Uislam.

Hao wanaotambika na kunywa pombe wangekuwa wanatatua matatizo wasingepewa kaniki watu wakachukuwa Almasi.

Mbona hafazali utamaduni wa kutambika kwa kunywa pombe na kuchinja mbuzi kuliko Uislam wenu wa kujilipua ili ukapate bikira sabini. hata hao babu zetu unao wakejeri kwa kulaghahiwa kwa kaniki, milazao ziliwaruhusu kujifunza kutoka kwa waarabu na wazungu tofauti na akili zenu za boko haramu za kukataa elimu ya dunia. hakuna watu wanaoonekana wajinga kama wabantu mliokumbatia tamaduni za Kiarabu zakijinga kama kukataa elimu huku waarabu wenyewe wanaikimbilia elimu dunia hukohuko kwa wazungu huku wakiwacheka waisla wa afrika. mfano wa bantu wajinga ni wazanzibar wanaoona miaka ya utawala mwuarabu sultan zanzibar ndio ilikuwa mizuri wakati hao waarabu walishakuwa vibaraka wa waingereza na sultani apopinduliwa akakimbilia uingereza. Na ukiangalia famililia za sultani waliokuwa wakiwatawala zanzibar wamesoma sana elimu dunia uingereza. Alamu mibantu huku afrika inaona elimu hiyohiyo ni haramu.
 
vita ya udini ni mbaya sana, Tanzania tumuombe MUNGU yasitokee kama yanayotokea huko Nigeria before its too late...
 
Unajuwa maana ya jeshi au unajisemea tu? pata darsa dogo:

Jeshi, liwe la kupigana liwe la polisi, maana yake ni nidham, na nidham ni kutii amri ya mkubwa wako, akisema piga wewe piga tu akisema uwa wewe uwa tu ukiuliza au ukikataa wewe ndio msaliti na unahukumiwa kijeshi na mkiwa kwenye "operation" unaweza kuuliwa wewe kwa kuto-kutii amri.

Kumbuka hilo.

Nimeuliza hao wanajeshi ni wa dini gani, acha siasa jibu swali!!
 
pia kuna maswali najiuliza haya makundi ya kiislam silaha magari na pesa za kufanya harakati zao wanazipata wapi?
maana toka nimeanza kusikia vita dhidi ya ugaidi duniani sijawahi kusikia nchi yeyote ikitajwa kuwauzia silaha hawa jamaa au dunia ikiwasaka hawa wanawauzia silaha.
 
Wapi Idd amini , SADAAM HUSAIN, Mzee GADDAFI HAO WALIKUWA WANAUWA WAISILAMU WENZAO, ANGALIA KINACHOENDELEA IRAN,ANGALIA SERIKALI YA PAKISTAN, Angalia TALIBAN group yani from now on naona uislam is not dini ni ushweatan
kwakipi kinaendelea iran?,ama umeshakubali propaganda za CNN?,Wamarekani wenyewe hawaviamini sana media zao kama cnn,fox news etc na wana opt kuangalia RT,CCTV,AL JAZEERA ,PRESS NEWS.

Hao akina sadam,gadaf hawawezi kumzidi bush,blair etc kwa kumwaga damu za watu wengi wasiokuwa na hatia.
 
Nimeuliza hao wanajeshi ni wa dini gani, acha siasa jibu swali!!
nigeria ni kama Tanzania kwa uwiano wa kidini kwa maana kuwa hesabu ya wakristo na waislamu ni almost 50 kwa 50,sasa huwezi kupata data kwamba askari wa nigeria ni wa dini ipi.
 
kwakipi kinaendelea iran?,ama umeshakubali propaganda za CNN?,Wamarekani wenyewe hawaviamini sana media zao kama cnn,fox news etc na wana opt kuangalia RT,CCTV,AL JAZEERA ,PRESS NEWS.

Hao akina sadam,gadaf hawawezi kumzidi bush,blair etc kwa kumwaga damu za watu wengi wasiokuwa na hatia.

tatizo ni watu hamuwezi kuelewana kwa kuwa mna miono tofauti.wakati bush anapeleka jeshi Iraq ama libya ilikuwa ni kwa political interests na sio ili dini yake ikaenee huko wala hakutumia mgongo wa kitabu chochote zaidi ya American book of secrets.kinacholeta utata ni mtu kufanya mauaji kwa mgongo wa dini.mimi nadhani dini zote hupenda haki,iweje mtu achukue haki ya mwingine kwa mgongo wa dini ambayo inapaswa kutetea haki.iwapo boko haram wanapinga elimu ya magharibi na wanataka utawala kwa misingi ya Shari'a ni serikali au marium abdul na john ikechukwu waliowaua kwenye bomu ndio wanaopinga lengo lao? je raia wa Nigeria wapo radhi na hilo? hata kama Koran inatamka kuwa katiba imeshushwa toka kwa Allah je inataka raia asiye na hatia auwawe ili isimame? sidhani kama mitume waliopita waliua watu wasioshika panga tena wake pia.iwapo kinachofanywa na boko haram ni sawa basi kuna tatizo mahala na iwapo kuua raia asiyejua wala kuwa na ufahamu kuwa leo napigwa bomu ni kosa basi wote tunapaswa kuupinga udhalim huo
 
ajabu ni kwamba wanawauwa waislam wenzao
99% wa waliouwawa ni waislam sasa hapo wanatetea kipi?
baadhi ya maeneo waislam wameanza kuandaa wanamgambo wa kupambana na bh ya mapigano kati ya bh na wanamgambo hao yameshatokea

wapotezee cz dini inawaruhusu kuwauwa waislam wenzao
 
wakuu
hawa jamaa wameshindikana kabisa kwanini wanaua watu wasio na hatia yeyote?
na je wanavyoua hivi hata waislam nao si wanakufa au wanawabagua pembeni?
_Na je wale mabiniti bado wametekwa?
=======================
pia kuna maswali najiuliza
haya makundi ya kiislam
silaha magari na pesa za
kufanya harakati zao
wanazipata wapi?
maana toka nimeanza
kusikia vita dhidi ya ugaidi
duniani sijawahi kusikia nchi
yeyote ikitajwa kuwauzia
silaha hawa jamaa au dunia
ikiwasaka hawa wanawauzia
silaha.
we unajua?

maghala ya silaha ya libya yalipovunjwa silaha zilienda wapi?
 
ajabu ni kwamba wanawauwa waislam wenzao
99% wa waliouwawa ni waislam sasa hapo wanatetea kipi?
baadhi ya maeneo waislam wameanza kuandaa wanamgambo wa kupambana na bh ya mapigano kati ya bh na wanamgambo hao yameshatokea

wapotezee cz dini inawaruhusu kuwauwa waislam wenzao

unaongelea machafuko,machafuko hayana macho.Watanzania mlio wengi huwa mnadhani vita ni kama movies.
 
Lumanyisa.
Ukweli ni kwamba uislam ndio dini ya kweli na ndio maana umeshindwa kukubali kwamba G.bush through America book of secrets kwamba nayo ni dini vilevile.
Na hutaki kuwa muwazi kwamba G.Bush aliingia vitani kupambana na uislam kama yeye mwenyewe alivyodai.
Na kama hivyo ndivyo basi.tukubali kwamba dini ya uongo(Amerca book of secrets) ilipambana/inapambana na dini ya ukweli (Uislam).

N:B. Kumbuka hicho kitabu ndicho baba yake na bush alikitumia alipokuwa anaapishwa.
 
Wewe umesema ni dini ya kweli sijawahi kupinga na wala siji kupinga.America ilipeleka jeshi kwa Afghans kwa sababu ni Islamic state? Hapana,the truth is far beyond that.vile vile siongelei juu ya dini ipi ni ya kweli ama ipi ya uongo naongelea juu ya kumuua lumanyisa asiyefahamu lolote juu kile mlichopanga.nilichosema ni sahihi kwa utekaji na mauaji wanayoyafanya boko haram kupokewa kama kitu chema kwenye milango ya dini? Kumteka mtoto wa kike kama kidhibiti ni jambo linaloruhusiwa? Wanachodai boko haram ni uwepo wa Shari'a hili linaingiliana vipi na kuua plus kuteka watu? Ina maana jambo hilo halifanikiwi bila ya kupoteza uhai wa wasiokuwa na hatia? Iwapo watauwa wanigeria wote hiyo Shari'a itamhusu nani?.......kwakuwa hawachagui wakuteka wala kuua vuta picha binti yako ndio amekamatwa kama mateka ungeendelea kusema wanalengo jema la kuendeleza dini ya kweli? Baba au mama yako angekuwa mmoja kati ya waliozikwa jana bado lengo lingekuwa jema kwako?
 
Last edited by a moderator:
Lumanyika nashukuru sana kutoliweka pingamizi juu uislam kuwa dini ya kweli.

Mimi nimeanzia kwenye neno uliloliweka "Amerca Book of secrets".kwahio Amerika inaongozwa na secret society which they have their own system of control America politicaly,socialy etc.

Usichokijua na ndicho kinachowasumbua walio wengi ni kuwa Nini maana ya dini.

Ngoja nitoke ijuma' kisha nikute umeweka kitu chochote unachokijua kikielezea maana ya neno dini. Kisha tuanzie hapo.
 
Back
Top Bottom